Je, kuna siku Zanzibar itajitenga kisa …?

Je, kuna siku Zanzibar itajitenga kisa …?

Walivyoshikwa sijui watajitoaje! Jumbe alijitahidi akaishia kuzeekea hapo mji mwema.
 
Zaweza ibuka fyoko fyoko kadhaa je yaweza kusababishwa marais wanaotoka upande wa pili? Maana wanajambo lao kifuani japo hawasemi hadharani ila nadhani there is a day zenji wataamua kukaa pembeni baada ya kuvuna bara bya kutokasha kutokana na awamu ambayo yaweza kuwa ya Bara kuhoji mzenji alowatangulia alokwepesha yaende kwao

Britanicca
HUU MUUNGANO ULIKOSEWA KUTUMIWA KWA KUUNGANISHA UDONGO .BORA KUNGEKUWA NA MAKARATASI UNGECHANWA ASUBUHI TU
 
Back
Top Bottom