britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Nami inabidi niulize swali kama hilo hilo, ila kwa upande wa Tanganyika: Je, kuna siku Tanganyika itajitenga?Zaweza ibuka fyoko fyoko kadhaa je yaweza kusababishwa marais wanaotoka upande wa pili? Maana wanajambo lao kifuani japo hawasemi hadharani ila nadhani there is a day zenji wataamua kukaa pembeni baada ya kuvuna bara bya kutokasha kutokana na awamu ambayo yaweza kuwa ya Bara kuhoji mzenji alowatangulia alokwepesha yaende kwao
Britanicca
Hakuna fyoko fyoko,Zaweza ibuka fyoko fyoko kadhaa je yaweza kusababishwa marais wanaotoka upande wa pili?
Hiyo siku haipoMaana wanajambo lao kifuani japo hawasemi hadharani ila nadhani there is a day zenji wataamua kukaa pembeni
Mkuu britanicca , hakuna siku Zanzibar itajitenga kwasababu Zanzibar sio nchi, ni sehemu ya JMT yenye utawala wake wa ndani.Britanicca
Kwa nini utamu wa muungano wauone CCM pekee hadi kuzuia kumtangaza mtu wa upande ule kama mshindi!!! Huoni hii ni hujuma kwa watanganyika kuwauunganisha na kitu kisicho na manufaa kwaoHakuna fyoko fyoko,
Hiyo siku haipo
Mkuu britanicca , hakuna siku Zanzibar itajitenga kwasababu Zanzibar sio nchi, ni sehemu ya JMT yenye utawala wake wa ndani.
Type ya muungano wetu ni very unique, kwa upande mmoja ni fused union, kwa nchi mbili kufa na kuzaliwa nchi moja. Nchi mbili hizo haziwezi kukufuliwa, they are dead and gone, hivyo kimataifa Tanzania ni nchi moja ya JMT, kuivunja ni uhaini!, ni muungano for life na hakuna room ya kuuvunja!.
Kwa upande wa pili ndani ya muungano, muungano wetu ni federation ya nchi mbili, serikali mbili, marais wawili, mabunge mawili. Nchi hizi mbili, moja ni dola na nyingine sio dola, nchi ambayo sio dola haiwezi kujitenga kwasababu inaitegemea dola!, hivyo muungano wetu upo sana na tutaulinda kwa gharama yoyote, na ndio maana kwenye kila uchaguzi wa upande ule kuna mtu huwa anashinda lakini hapewi kwa kuhofia hatma ya muungano!. Iwapo CCM itashindwa Zanzibar, Nini Majaaliwa ya Muungano? hivyo lazima fulani ashinde!.
P
Tanganyika ni nchi mfu, ndio maana ametaja ZanzibarNami inabidi niulize swali kama hilo hilo, ila kwa upande wa Tanganyika: Je, kuna siku Tanganyika itajitenga?
Kwa nini swali lisiwe hilo.
Tanganyika ipi?Kwa nini utamu wa muungano wauone CCM pekee hadi kuzuia kumtangaza mtu wa upande ule kama mshindi!!! Huoni hii ni hujuma kwa watanganyika kuwauunganisha na kitu kisicho na manufaa kwao
Wao waende wamchukue na Rais wao sie madeni tutalipa wenyewe hatutaki shoboZaweza ibuka fyoko fyoko kadhaa je yaweza kusababishwa marais wanaotoka upande wa pili? Maana wanajambo lao kifuani japo hawasemi hadharani ila nadhani there is a day zenji wataamua kukaa pembeni baada ya kuvuna bara bya kutokasha kutokana na awamu ambayo yaweza kuwa ya Bara kuhoji mzenji alowatangulia alokwepesha yaende kwao
Britanicca
Kama wanajua kuna asiyetakiwa kushinda Uchaguzi, kwanini wanapotezea watu muda na kuingiza nchi kwenye gharama kubwa za uchaguzi?!!!na ndio maana kwenye kila uchaguzi wa upande ule kuna mtu huwa anashinda lakini hapewi kwa kuhofia hatma ya muungano!. Iwapo CCM itashindwa Zanzibar, Nini Majaaliwa ya Muungano? hivyo lazima fulani ashinde!.
Hivi wewe huwezi kuishi bila ya kuungana na Zanzibar? Muungano umefanywa na watu na watu hao hao wakiamua vyenginevyo kuna tatizo gani?Zaweza ibuka fyoko fyoko kadhaa je yaweza kusababishwa marais wanaotoka upande wa pili? Maana wanajambo lao kifuani japo hawasemi hadharani ila nadhani there is a day zenji wataamua kukaa pembeni baada ya kuvuna bara bya kutokasha kutokana na awamu ambayo yaweza kuwa ya Bara kuhoji mzenji alowatangulia alokwepesha yaende kwao
Britanicca
Huu si muungano ni uvamiziHilo haliepukiki. Isingewezekana iwapo kungekuwa na muingiliano huru wa watu na mtu kuweza kukaa na kumiliki ardhi popote. Muungano huu toka mwanzo ulivyobuniwa, ulibuniwa kufeli.
Wewe sibure una tatizo kichwani ikija issue ya ZANZIBAR daima unakuwa unajifyatu IPO siku utakufa kihoro weweHakuna fyoko fyoko,