Je, kuna somo ambalo hutakuja kulisahau kwa jinsi lilivyokutoa jasho?

Cheka Tu mkuu Ila nilipitia kipindi kigumu Sana, hapana nishamaliza chuo na niliichomoa Ila kwa mbinde Sana
pole sana mzee...sometimes masomo yanatutesa sana...mimi kuna somo linaitwa econometrics lilinitesa kama biochemistry yako...yote kwa yote Mungu ni mwema.
 
Na mbaya Zaidi unakuta halina msaada wowote au halitumiki kwenye utendaji wako wa kazi, mwisho wa yote ni Kama hivi tunapata vitu vya kukumbuka shule
 
Back
Top Bottom