Mimi kuna somo lilikuwa lina lecturer msengee. Yaani kwanza kufundisha hajui, halafu akimaliza pindi anauliza mwenye swali.
Ukijitokeza kuuliza anaku-crash.
Basi kuna siku tumegonga paper lake, nikapata 19 ( kiukweli wakifaulu watu hata 5 hawafiki kati ya wanafunzi 66 ).
Nikawa nina hofu ya Supp.
Bahati nzuri, alijichanganya kumbe hakurekodi maksi, akampa CR hiyo kazi ya kurekodi maksi[emoji1787]
Nilichofanya, nikachana ile paper ya juu, yenye maksi 19%, nikatumia kalamu nyekundu nikajiandikia 69% nikapeleka kwa CR[emoji1787][emoji1787]