Je, kuna somo ambalo hutakuja kulisahau kwa jinsi lilivyokutoa jasho?

Cost and management accounting ya mzumbe university , pia kuna wapuuzi wana somo lao jepesi wanaita ICT ila maksi mbovuu matokeo yakitoka
Cost accounting siwezi isahau hii aisee,mimi nilikuwa mtu wakuchukilia vitu easy,ila huyo mjomba alinitoa jasho nikapata hadi "supu".
 
Hakuna kwakweli, kama siliwezi naachana nalo wala haliniumizi kichwa.
 
Dah .. dah...!!! Siwezi Shahau EG106 na ME207 pale FoE enzi hizo... EG106 na Ishengoma
 
Na mbaya Zaidi unakuta halina msaada wowote au halitumiki kwenye utendaji wako wa kazi, mwisho wa yote ni Kama hivi tunapata vitu vya kukumbuka shule
Ni somo zuri Sana linatumika kutunga sera yaani public policy
 
Yaa it was a bit difficulty subject kama sijakosea humu ndani ndiko unakutana na Langrange Multiplier na Regression analysis.

But nilikuwa nalipenda
 
Electrostatics ya advance ilinipelekea makali khaa, kwenye kuresolve zile forces acha kabisa, necta swali la statics sijalifanya nikapiga electromagnetism
 
Measure and intergration

Measure and probability
 
Physics A level topic zote nilikuwa kilaza. πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Physics ya Advance level nilitoka kapa,

Pangu pakavu tia mchuzi

Almanusra nipige mswaki Necta.

Ila nguvu ya chabo ili nisevu...[emoji23]
 
Physics ya Advance level nilitoka kapa,

Pangu pakavu tia mchuzi

Almanusra nipige mswaki Necta.

Ila nguvu ya chabo ili nisevu...[emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila watu mna hatari?
Hivi unawezaje kuchabo??

Mie mtihani ukinikaba ndio nakufa hivyo na tai shingoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…