Vipi malipo yao UTT kwa upande wa bond, ni kila mwezi? Maana benki kuu unalipwa mara mbili kwa mwaka.Tofauti ya mambo yote ni muda wa uwekezaji.
Hati fungani na UTT units kipi bora? Hati fungani zenye faida zaidi ni zile za muda mrefu zaidi walau miaka 15 hizo ndio walau zinakimbizana na returns za funds za UTT. Kama ni miaka chini ya 15 go for UTT, pia UTT ana advantage ya kukuza uwekezaji wako kidogo kidogo, mpango bora zaidi kwa watu wenye vipato vya kuunga unga lakini steady.
Ukija kwa UTT kipi bora kati ya Bond Fund na Liquid Fund? Hapo mchawi ni malengo yako ya uwekezaji. Bond Fund ni kwa wawekezaji wa muda mrefu zaidi. Liquid ni wawekezaji wanaoweza kuhitaji fedha zao immediately
wanalipa kila baada ya miezi 6Vipi malipo yao UTT kwa upande wa bond, ni kila mwezi? Maana benki kuu unalipwa mara mbili kwa mwaka.
NiajeHabari za usiku ndugu zangu naomba kufahamishwa kwa mtu yeyote mwenye uelewa juu ya uwekezaji katika taasisi ya serikari UTT. Hizi bond fund na liquid/ukwasi zinatofautiana vipi ukiwekeza huko hela yako?
Na hatifungani za benkii kuu na hizi za UTT zipi ni nzuri zaidi?
Niaje masterHabari za usiku ndugu zangu naomba kufahamishwa kwa mtu yeyote mwenye uelewa juu ya uwekezaji katika taasisi ya serikari UTT. Hizi bond fund na liquid/ukwasi zinatofautiana vipi ukiwekeza huko hela yako?
Na hatifungani za benkii kuu na hizi za UTT zipi ni nzuri zaidi?
mkuu ningeomba utueleze mchakato unakuaje , yani ukiwa teali na fedha unapita sehemu zipi hadi unafanikisha? . binafsi napenda bond fund ya muda mrefu. ila sijui pa kuanzia pindi pale ninapokuwa teali na ukwasi.Vitu kama hivi jamani mbona wachangiaji ni wachache naomba muwe wengi tupate elimu zaidi mimi nina mwezi nimejiunga utt mfuko wa liquid Fund au ukwasi nimeona unafaida sana ila mkwanja ukiwa mrefu kidogo utafurai sana wadau
Mkuu tupe ufafanuzi hapo kwenye ukubwa, muda, interest, rate na gharama za uwekezajiNiaje
Kwanza nataka ujue utt ndio bond fund yenyewe master. Alafu liquid/ukwasi fund ni moja ya mifuko inayo tolewa na utt. I hope tupo pamoja.
Mbili hatifungani hutolewa na serikali direct kupitia brokers wanao tambulika na kukubalika.
Conclusion utt inaweza kuwekeza katika hatifungani zitolewazo na serikali lakini serikali haiwekezi utt.
Iyo ni mifuko miwili tofauti hata pesa ya uwekezaji inatofautiana utt unaweza kuweka 100K lakini hatifungani serikalini ikahitaji 5M. Vitu kama muda, interest
Niaje master
Kwanza nataka ujue utt ndio bond fund yenyewe huku liquid/ukwasi fund ni moja ya mifuko/schemes zinazotolewa na utt.
Hatifungani/public bonds ni zinatolewa na serikali kwa wananchi wake ili kufanikisha miradi mbalimbali, kupitia regulated brokers mfano solomon.
Jua kwamba utt anaweza kuwekeza kwenye hatifungani za serikali lakini serikali haifanyi uwekezaji utt.
Kitu kinachotofautisha utt na public bonds ni ukubwa, muda, interest rate na kiwango/gharama ya uwekezaji.
Ukifanya tathimini ndio utajua maaali utaeka mguu wako.
kwa theory niliyosoma. ni monthly payment, ukiwa na mil 200,000,000/= wanatoa riba asilimia 12%Vipi malipo yao UTT kwa upande wa bond, ni kila mwezi? Maana benki kuu unalipwa mara mbili kwa mwaka.
Kwa mtu ambaye hataki stress za biashara ni investment nzuri Sana.Kingine nilichojifunza diversification ni muhimu in case of any risky, unaweza kutumia hiyo profit kustabilize your business. Kuna mama mmoja aliwahi pingwa 200m na accountant wake alichokifanya alimega sehemu ya hisa nadhani UTT kustabilize biashara yake.Kwa ujumla Investment Kama hizi zinasaidia kwa kiasi Fulanikwa theory niliyosoma. ni monthly payment, ukiwa na mil 200,000,000/= wanatoa riba asilimia 12%
200,000,000 *12%=24,000,000/= per year
24,000,000 gawa kwa 12 = 2,000,000 per month.
ni hela unaweza kusema ni ndogo, ila ni kubwa sana pindi unapokutwa na majanga ya afya kupelekea kushindwa kufanya biashara hata kupoteza kazi kwa private sectors. sasa wewe hapo unaingiziwa automatically tu ukiwa umelala kitandani na ,muda wa bond ukiisha unapewa hela yako uliyokuwa umewekeza mwanzo.
Soma mtandaoni na fomu zao ziko crdb bank pia ukwasi au liquid Fund ni mfuko mzuri sana utaupenda chifumkuu ningeomba utueleze mchakato unakuaje , yani ukiwa teali na fedha unapita sehemu zipi hadi unafanikisha? . binafsi napenda bond fund ya muda mrefu. ila sijui pa kuanzia pindi pale ninapokuwa teali na ukwasi.
tunaomba utupe muongozo maana wewe umefanya kwa vitendo.
hapo bado VAT?kwa theory niliyosoma. ni monthly payment, ukiwa na mil 200,000,000/= wanatoa riba asilimia 12%
200,000,000 *12%=24,000,000/= per year
24,000,000 gawa kwa 12 = 2,000,000 per month.
ni hela unaweza kusema ni ndogo, ila ni kubwa sana pindi unapokutwa na majanga ya afya kupelekea kushindwa kufanya biashara hata kupoteza kazi kwa private sectors. sasa wewe hapo unaingiziwa automatically tu ukiwa umelala kitandani na ,muda wa bond ukiisha unapewa hela yako uliyokuwa umewekeza mwanzo.
Zipo CRBD matawi yote? Na ukishajaza Nini kinaendelea?Soma mtandaoni na fomu zao ziko crdb bank pia ukwasi au liquid Fund ni mfuko mzuri sana utaupenda chifu
Unajiunga kwa kutumia simu yako ya mkononi ndio uanenda benki kujaza fomu na passport 2 kisha unaweka pesa crdb matawi yote ziko au unaenda ofisi ya utt amisZipo CRBD matawi yote? Na ukishajaza Nini kinaendelea?
VAT?Hio iko kwny out of scope.hapo bado VAT?
UTT utalipwa 50,000 kwenye mfuko wa Bond wenye thamani ya million 5 kila mweziVipi malipo yao UTT kwa upande wa bond, ni kila mwezi? Maana benki kuu unalipwa mara mbili kwa mwaka.
mkuu ningeomba utueleze mchakato unakuaje , yani ukiwa teali na fedha unapita sehemu zipi hadi unafanikisha? . binafsi napenda bond fund ya muda mrefu. ila sijui pa kuanzia pindi pale ninapokuwa teali na ukwasi.
tunaomba utupe muongozo maana wewe umefanya kwa vitendo.
Download UTT Amis App kwenye simu yako ji register unataka mfuko gani, anza kununua, ukipata muda nenda Sukari house na passport yako ujaze details ili paperwork iwe imekamilika, pia utapia *150*82# kujisajili na kuweka password yakomkuu ningeomba utueleze mchakato unakuaje , yani ukiwa teali na fedha unapita sehemu zipi hadi unafanikisha? . binafsi napenda bond fund ya muda mrefu. ila sijui pa kuanzia pindi pale ninapokuwa teali na ukwasi.
tunaomba utupe muongozo maana wewe umefanya kwa vitendo.
Hii ni kwa bond pekee au na liquid pia.?UTT utalipwa 50,000 kwenye mfuko wa Bond wenye thamani ya million 5 kila mwezi