Uncle Jei Jei
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,684
- 2,156
Naomba mtu mmoja mwenye uelewa na hii UTT atiririke nondo hapa huenda mtu akielewa atakuwa interested maana elimu Kama hizi wanazifahamu wachache. Ukiskia michongo ya mjini ndo Kama hii.
Binafsi ningependa kufahamu yafuatayo:
1. Mtaji mdogo kabisa wa kuwekeza Utt liquidity/ukwasi ni kiasi gani? Na faida yake approximately inaweza kuwa kiasi gani kwa mwezi?
2. Kwenye utt bond kima cha chini kuwekeza ni kiasi gani? Na gawio ni kila baada ya muda gani?
3. Ni masharti yapi / vigezo vya muhimu kuwa navyo kukuwezesha kuwa navyo?
4. Ukiwekeza huko unaruhusiwa kuchukua faida kila baada ya muda gani?
Natanguliza shukrani zangu kwa atakayenifafanulia haya. Natamani kweli kupata huu mchongo