Nilikuwa utt ofisini kwao Kwa lengo la kujua namba ya hii mifuko na faida zake... Swali la kwanza kumuuliza mpokea maswali ilikuwa juu ya return au faida..jamaa alijibu Kwa kusisitiza kuwa utt haitoi faida Wala return Kwa mwenzi au Kwa mwaka... Wanachokifanya wao ni ongezeko la thamani ya kipande jinsi Inavyokuwa kutoka siku unayoanza kuwekeza Hadi siku unayopanga kufikia ukomo WA UWEKEZAJI wako...
Nilimuelewa but napata tabu napopitia huu Uzi naona Kuna wadau bado wanazungumza faida inayoingi a Kwa Kila mwenzi au Kwa Kila mwaka sijui hii imekaaje hapa...