Je, kuna tofauti kati ya bond fund na liquid/ukwasi kwenye uwekezaji wa pamoja (UTT)?

Na muda Sasa nipo mfuko wa bond fund.kwa Sasa nimepata uelewa mkubwa kuhusu UTT, nimebakiza kununua hati fungani za serikari na hisa DSE
 
Na muda Sasa nipo mfuko wa bond fund.kwa Sasa nimepata uelewa mkubwa kuhusu UTT, nimebakiza kununua hati fungani za serikari na hisa DSE
Mkuu hiyo bond fund kwa mtu aliyeweka 5m ana uhakika wa kupata gawio la 50k kwa mwezi au inabadilikabadilika ?
 
Nilikua najaribu mfuko wa ukwasi. Nilinunua vipande vya 10 M

Vitu kama hivi jamani mbona wachangiaji ni wachache naomba muwe wengi tupate elimu zaidi mimi nina mwezi nimejiunga utt mfuko wa liquid Fund au ukwasi nimeona unafaida sana ila mkwanja ukiwa mrefu kidogo utafurai sana wadau
Naomba unielekeze umejiungaje na liquid Fund..... utaratibu
 
Vitu kama hivi jamani mbona wachangiaji ni wachache naomba muwe wengi tupate elimu zaidi mimi nina mwezi nimejiunga utt mfuko wa liquid Fund au ukwasi nimeona unafaida sana ila mkwanja ukiwa mrefu kidogo utafurai sana wa

Vitu kama hivi jamani mbona wachangiaji ni wachache naomba muwe wengi tupate elimu zaidi mimi nina mwezi nimejiunga utt mfuko wa liquid Fund au ukwasi nimeona unafaida sana ila mkwanja ukiwa mrefu kidogo utafurai sana wadau
habari, naomba unipe ufafanuzi kuhusu mfuko wa liquid fund, kianzio, na faida inapatikana vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…