Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Afrika,tumekuwa wachuuzi wa bidhaa fake za kichina na zingine kutoka Japan nk wakati bidhaa hizo kwenye Masoko ya kwao hazipo.Cha kushangaza karl marx alikuwa mjerumani , lakini falsafa yake haijawa well applied kwenye nchi za ulaya magharibi. Bali ulaya mashariki na nchi za asia
Communism in another word is Marxism.Karibuni wanasayansi wa siasa na maswala ya kimataifa.
Ujerumani iliwahi kugawanyika, ufaransa iliwahi kuonja ukomunisti.Cha kushangaza karl marx alikuwa mjerumani , lakini falsafa yake haijawa well applied kwenye nchi za ulaya magharibi. Bali ulaya mashariki na nchi za asia