Je, kuna ubaya gani Serikali ikaruhusu sukari iagizwe kwa uhuru kama nguo Kariakoo?

Sukari ikiwa nyingi, Haitakua Bidhaaa hadimu. Pia idadi ya wagonjwa wa kisukari itaongezeka. Sababu tutakunywa sana Chai na Juice za matunda.
Watengenezaji wa pombe haramu nao waongezeka na kutengeza pombe nyingi. Walev wataongezeka na kukosa Nguvu kaz ya Taifa. Sababu itakua inauzwa kwa Bei ndogo
 
Hii issue ya sukari wanaofaidika nayo ni mabwanyenye wa nchi hii. Wamiliki wa viwanda ndio watu pekee wanaruhusuwa kuagiza sukari nje ya nchi hii kwa mujibu wa sheria. Lakini kwa kuwa gharama za uzalishaji sukari hapa nchini zipo juu kuliko kuagiza nje basi ni rahisi kwa wamiliki kucheza na system, kuzalisha kidogo sukari na kuomba vibali vya kuagiza sukari nje ili wapate faida zaidi.
 
Ungeusikiliza na upande wa wazalishaji.
Hawa mawaziri ni wabwatukaji tu
 

Hakuna zaidi ya kulinda viwanda vya sukari, wakulima wa miwa na viwanda vya alcohol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…