Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe hata unachokiongea hukielewi. Mbona tuna "diplomats" huko miaka mingi sana.Sawa, wacha tujaribu, japo mi sina mamlaka ya kutuma diplomatic delegation huko, wacha tuwasubiri wenye power hizo..
Thubutu. Ujaribu na nani wewe.Si nimeshakwambia tutajaribu, tuishie hapo basi.
Soma uzi vizuri, nimesema mbinu za kidiplomasia, au hujui unaweza kukwapua kidiplomasia?Kumbe hata unachokiongea hukielewi. Mbona tuna "diplomats" huko miaka mingi sana.
Umebadili nyimbo? Siyo "kuvikwapua" tena.
Mnafikra za kusomea ujinga zisizojificha.
Huwezi "kukwapua" kidiplomasia. Huo ni ujinga.Soma uzi vizuri, nimesema mbinu za kidiplomasia, au hujui unaweza kukwapua kidiplomasia?
The issue sio faida ila tuna uwezo wa kunyonya hizo faida !!.. je, tulivyonavyo tumevitumia kwa kiasi gani hadi tuanze kufikiria vingineNi muhimu kuungana, umoja ni nguvu, interaction ya kiuchumi, kijamii na kisiasa ina interflow freely zaidi pale mnapoungana na mutual benefits zinafurahiwa kwa uhuru zaidi..
Sasa tukipeleka uhusiano wetu kwenda ngazi nyingine ya muungano kwa manufaa ya pende zote mbili kuna ubaya gani, jadili kwa staha na ushirikishe ubongo basiHuwezi "kukwapua" kidiplomasia. Huo ni ujinga.
Halafu eti tutatuma wanadiplomasi. Ulikuwa hata huelewi kuwa tuna diplomats tangu zamani sana huko Comoro na wala huelewi kuwa tuna mahusiano na mikataba ya ushirikiano. Hivi huwa mnalala mnaota au mnakuwa mmevimbiwa maharage na dona?
Stupid ideas.
Wakati tunaungana na Zanzibar tulikuwa tuna hayo mazingira unayoyasema?The issue sio faida ila tuna uwezo wa kunyonya hizo faida !!.. je, tulivyonavyo tumevitumia kwa kiasi gani hadi tuanze kufikiria vingine
Rasilimali zetu zipo underutilised na hii population yeti inazidi kuwa unproductive. Kuna sababu gani ya kuanza kufikiria hilo brother
Bibi umeibuka punguza hasira Bibi usitukane wajukuu sio poa utapata pressure!!Huwezi "kukwapua" kidiplomasia. Huo ni ujinga.
Halafu eti tutatuma wanadiplomasi. Ulikuwa hata huelewi kuwa tuna diplomats tangu zamani sana huko Comoro na wala huelewi kuwa tuna mahusiano na mikataba ya ushirikiano. Hivi huwa mnalala mnaota au mnakuwa mmevimbiwa maharage na dona?
Stupid ideas.
Duuuh...., sasa Dom si ipo ndani ya nchi, hapa tunazungumzia ushirikiano na watu wa nje ya mipaka yetu..
Binaadam asiye na "pressure" huyo ni maiti.Bibi umeibuka punguza hasira Bibi usitukane wajukuu sio poa utapata pressure!!
Yaani hata mimi sielewi alikwama wapi na vipi, ile ni mali yetu kabisa..!umenikumbusha jamaa produza Said Comorien sijui yuko wapi
kama vipi tuvitwae tu Nyerere sijui alikwama wapi
Wakati tunaungana na Zenji tulikuwa nanhayo unayosema?Yajenge kwanza makao makuu ya nchi.ndo uanze kuhangaika na Mambo mengine
Hicho cha uFaransa kinaweza kikawekwa pending, hawa wengine watachagua Rais wao mmoja awakilishe visiwa vyao katika Muungani, ni kama Pemba, Zanzibar na Mafia wabavyowakilishwa na Shein, muungano raha sana, asiwaambie mtu, Nyerere alikuwa mtu wa aina yake, namheshimu sana, bila kumsahau Karume, bila busara zake huu muungano tunaojivumia usingekuwepo, Afrika nzima hakuna waliowahi kuungana kama sisi, sana sana wanazidi kujigawa..Haiwezekani! Sidhani kama wako tayari kupoteza mamlaka yao kwa kuungana na Tz. Isitoshe kisiwa cha Mayotte ambapo ni moja wapo ya visiwa vya Comoro bado kipo chini ya himaya ya Ufaransa.
Hujaeleweka Mkuu black s
Wote watahamia US, ndio hivyo, ndoa ni shida na raha..Sorry Nina maana Hawaii yenyewe itatoweka kwenye uso wa dunia kwani inazama taratibu
Na sisi isije ikawa tunatamani bomu
Hapo walipo wapo ndani ya muungano na wana Rais mmoja wa muungano japo kila kisiwa kina Rais wake.Hicho cha uFaransa kinaweza kikawekwa pending, hawa wengine watachagua Rais wao mmoja awakilishe visiwa vyao katika Muungani, ni kama Pemba, Zanzibar na Mafia wabavyowakilishwa na Shein.