Je, kuna ubaya Tanzania ikavikwapua na kuvifanya visiwa vya Comoro sehemu ya Tanzania?

Sawa, wacha tujaribu, japo mi sina mamlaka ya kutuma diplomatic delegation huko, wacha tuwasubiri wenye power hizo..
Kumbe hata unachokiongea hukielewi. Mbona tuna "diplomats" huko miaka mingi sana.

Umebadili nyimbo? Siyo "kuvikwapua" tena.

Mnafikra za kusomea ujinga zisizojificha.
 
Soma uzi vizuri, nimesema mbinu za kidiplomasia, au hujui unaweza kukwapua kidiplomasia?
 
Huwezi "kukwapua" kidiplomasia. Huo ni ujinga.

Halafu eti tutatuma wanadiplomasi. Ulikuwa hata huelewi kuwa tuna diplomats tangu zamani sana huko Comoro na wala huelewi kuwa tuna mahusiano na mikataba ya ushirikiano. Hivi huwa mnalala mnaota au mnakuwa mmevimbiwa maharage na dona?

Stupid ideas.
 
Ni muhimu kuungana, umoja ni nguvu, interaction ya kiuchumi, kijamii na kisiasa ina interflow freely zaidi pale mnapoungana na mutual benefits zinafurahiwa kwa uhuru zaidi..
The issue sio faida ila tuna uwezo wa kunyonya hizo faida !!.. je, tulivyonavyo tumevitumia kwa kiasi gani hadi tuanze kufikiria vingine

Rasilimali zetu zipo underutilised na hii population yeti inazidi kuwa unproductive. Kuna sababu gani ya kuanza kufikiria hilo brother
 
Huwezi "kukwapua" kidiplomasia. Huo ni ujinga.

Halafu eti tutatuma wanadiplomasi. Ulikuwa hata huelewi kuwa tuna diplomats tangu zamani sana huko Comoro na wala huelewi kuwa tuna mahusiano na mikataba ya ushirikiano. Hivi huwa mnalala mnaota au mnakuwa mmevimbiwa maharage na dona?

Stupid ideas.
Sasa tukipeleka uhusiano wetu kwenda ngazi nyingine ya muungano kwa manufaa ya pende zote mbili kuna ubaya gani, jadili kwa staha na ushirikishe ubongo basi
 
The issue sio faida ila tuna uwezo wa kunyonya hizo faida !!.. je, tulivyonavyo tumevitumia kwa kiasi gani hadi tuanze kufikiria vingine

Rasilimali zetu zipo underutilised na hii population yeti inazidi kuwa unproductive. Kuna sababu gani ya kuanza kufikiria hilo brother
Wakati tunaungana na Zanzibar tulikuwa tuna hayo mazingira unayoyasema?
 
Huwezi "kukwapua" kidiplomasia. Huo ni ujinga.

Halafu eti tutatuma wanadiplomasi. Ulikuwa hata huelewi kuwa tuna diplomats tangu zamani sana huko Comoro na wala huelewi kuwa tuna mahusiano na mikataba ya ushirikiano. Hivi huwa mnalala mnaota au mnakuwa mmevimbiwa maharage na dona?

Stupid ideas.
Bibi umeibuka punguza hasira Bibi usitukane wajukuu sio poa utapata pressure!!
 
Haiwezekani! Sidhani kama wako tayari kupoteza mamlaka yao kwa kuungana na Tz. Isitoshe kisiwa cha Mayotte ambapo ni moja wapo ya visiwa vya Comoro bado kipo chini ya himaya ya Ufaransa.
 
Hicho cha uFaransa kinaweza kikawekwa pending, hawa wengine watachagua Rais wao mmoja awakilishe visiwa vyao katika Muungani, ni kama Pemba, Zanzibar na Mafia wabavyowakilishwa na Shein, muungano raha sana, asiwaambie mtu, Nyerere alikuwa mtu wa aina yake, namheshimu sana, bila kumsahau Karume, bila busara zake huu muungano tunaojivumia usingekuwepo, Afrika nzima hakuna waliowahi kuungana kama sisi, sana sana wanazidi kujigawa..
 
Hicho cha uFaransa kinaweza kikawekwa pending, hawa wengine watachagua Rais wao mmoja awakilishe visiwa vyao katika Muungani, ni kama Pemba, Zanzibar na Mafia wabavyowakilishwa na Shein.
Hapo walipo wapo ndani ya muungano na wana Rais mmoja wa muungano japo kila kisiwa kina Rais wake.
 
Back
Top Bottom