Je, kuna uhamisho wa kuhama Sekta moja kwenda nyingine?

Je, kuna uhamisho wa kuhama Sekta moja kwenda nyingine?

Young atrick

Member
Joined
Jan 23, 2023
Posts
25
Reaction score
7
Habari wakuu ningependa nieleweshwe taratibu kamili za kufuata ili uweze kuhama sekt moja kwenda nyingine.
Mfano.sekta ya maji kwenda sekta ya madini.
 
Option ya 1:Ni kuandika barua hiyo sekta kuomba nafasi ta kuhamia ya Kada yako watakapokurudishia majibu kuwa wana nafasi ndipo untaandika barua kwenda kwa Katibu Mkuu Utumishi kupitisha kwa Mwajiri wako na kama umepangwa kwenye stations utapitisha kwa Immediate supervisor wako then itaenda Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala bora


Option ya 2: Ni kusubiria hiyo Taasisi ikitangaza nafasi za kazi ukaomba then ukafata taratibu za kupata kibali cha kuhama
 
Back
Top Bottom