Option ya 1:Ni kuandika barua hiyo sekta kuomba nafasi ta kuhamia ya Kada yako watakapokurudishia majibu kuwa wana nafasi ndipo untaandika barua kwenda kwa Katibu Mkuu Utumishi kupitisha kwa Mwajiri wako na kama umepangwa kwenye stations utapitisha kwa Immediate supervisor wako then itaenda Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala bora
Option ya 2: Ni kusubiria hiyo Taasisi ikitangaza nafasi za kazi ukaomba then ukafata taratibu za kupata kibali cha kuhama