Je, kuna uhusiano gani kati ya kwenda hijja na harakati za uganga ama tiba za kisuna?

SaSa Kama binadamu wamemzidi na wamepoteza Mimi nitaionea Wapi?
Kumbe unapiga porojo za Allah kuandika "Torah" wakati tora yenyewe hauna. Huu IUjuha mtaacha lini?

Torah haipo kijana, maneno ya Allah yaliopo ni Qur'an pekee. Ukitaka kufahamu kisa cha Mussa au Yusuf au Yesu na ujumbe upi walipewa, isome Qur'an pekee. Zingine zote porojo tu.
 
Umeanza vema umeishia kuchomekea udini ati walikua waislamu kwahiyo ?! Na madhehebu mengine nao wataje au ?! Na huto tuislam tuwili ulitotutaja hapo ndio kila fani ?! Na je kujinasibu kutaja tuislamu twako hapo je umejibu swali la mtoa mada ?! "Kuna uhusiano gani kati ya kwenda Makka na uganga"
Hizo zote ni porojo za paukwa pakawa.

Wanaokwenda Hija ni nani dunia hii zaidi ya Waislam?
 
Kumbe unapiga porojo za Allah kuandika "Torah" wakati tora yenyewe hauna. Huu IUjuha mtaacha lini?

Torah haipo kijana, maneno ya Allah yaliopo ni Qur'an pekee. Ukitaka kufahamu kisa cha Mussa au Yusuf au Yesu na ujumbe upi walipewa, isome Qur'an pekee. Zingine zote porojo tu.
wewe ndie umethibitisha allah kapoteza maandiko yake , hilo hakuna wa kukubishia ni kweli kayapoteza , sasa unapo niuliza mimi ambae ata allah simtambui nikuoneshe maandiko yake unategemea mimi niyatoe wapi? allah mwenyewe kasema binadamu wamepoteza maandiko yake

Hao mitume wa allah , allah anatupa stori tu walikuwepo ila maandiko yote kapoteza, nimecheka sana
 
Kumbe unapiga porojo za Allah kuandika "Torah" wakati tora yenyewe hauna. Huu IUjuha mtaacha lini?

Torah haipo kijana, maneno ya Allah yaliopo ni Qur'an pekee. Ukitaka kufahamu kisa cha Mussa au Yusuf au Yesu na ujumbe upi walipewa, isome Qur'an pekee. Zingine zote porojo tu.
FaizaFoxy Allah alipoteza maandiko yake makusudi au aliacha makusudi yapotee au binadamu walimzidi ?
na toka allah kapoteza maandiko yake tena mengine kaandika kwa mkono wake ilipita mda gani akaleta mengine?
na kwanini aya mengine unasema alijiapiza atayalinda ila ya kwanza hakujiapiza kulinda?
 
Nilisema "utaruka kimanga". Umeshahu uichoandika, jisome tena

"surat yusuph yote ,surat mariam yote kasoro tu quran imekosea kwenye kuzaliwa yesu wakaandika shina la mtende badala zizi la ng'ombe.habari ya musa na farao yote na amambo mengine mengi to mkuu"

Ikowapi hapo 8-%? ulisema "Yote" Unajuwa maana ya "yote"? maana yake ni 100% siyo 80%. Sasa weka wewe hata 1% tuilinganishe na Surat Yusuf.

Narudia hautoweza. Wameshindwa mabingwa wa biblia kwa miaka zaidi ya 140 sasa, utaweza wewe? Fikiri.
unarukaruka tu ila kisa cha yusuph kwenye quran ndio kisa cha yusuph kwenye biblia,sasa je quran na biblia kipi kilianza,pia visa vyote vya wakina musa na pharao,ibrahimu,nuhu nk quran imevielezea kama vilivyoelezewa kwenye biblia saa sijajua unachorukaruka hapo ni nini
 
Hapana, ni visa viwili tofauti kabisa. Ysuf wa biblia ndiye Ysuf wa kwenye Qur'an, lakini Qur'an imekuja kuhadithia kisa chake cha ukweli si kile kilichotiwa mikono na watu kujazwa ujinga kwenye biblia. Kisa cha Yusuf kilichopo kwenye Qur'an hakijapatapo kusimuliwa na yeyote kabla kama kilivyo kwenye Qur'an. Labda mtafsiri kwa kukosa maarifa atie fikra zake na kukihusisha na kisa cha biblia.
 
surat yusuph yote ,surat mariam yote kasoro tu quran imekosea kwenye kuzaliwa yesu wakaandika shina la mtende badala zizi la ng'ombe.habari ya musa na farao yote na amambo mengine mengi to mkuu
ahahahaha,,,,, hii tamu kusikia😁😁😁
 
Hapana, ni visa viwili tofauti kabisa. Ysuf wa biblia ndiye Ysuf wa kwenye Qur'an, lakini Qur'an imekuja kuhadithia kisa chake cha ukweli si kile kilichotiwa mikono na watu kujazwa ujinga kwenye biblia. Kisa cha Yusuf kilichopo kwenye Qur'an hakijapatapo kusimuliwa na yeyote kabla kama kilivyo kwenye Qur'an. Labda mtafsiri kwa kukosa maarifa atie fikra zake na kukihusisha na kisa cha biblia.
eleza hapo kulikotiwa mikono kwenye biblia,oonyesha huo ukweli halisi kwenye quran na uongo kwenye biblia,onyesha utofauti wake
 
Biblia nzima imetiwa mikono ya watu, sio pa kuchaguwa wala kuonesha, ni yote.

Qur'an nzima haina shaka ndani yake.

Kwa hayo tu, tofauti ni kama mbingu na ardhi. Unatalka kufananisha Qur'an isiyo na shaka na vitabu (Biblos) vilivyoandikwa na watu na kukusanywa na kutafsiriwa na jopo la Queen James? usianzishe vichekesho.
 
Mutah girl Huwa nawacheka Sana mnajipaga moyo mpaka mnatia huruma

Ukiambia ulete original na iliyotiwa mikono , unaanza kurusha mate kama zakirinaiki
 
Kuna iki kiumbe kinatwa issa , inasemekana walitamka kumuua ila Allah akatengeneza issa mwingine akauliwa

Embu tuambie kwa nini Allah alisababisha binadamu mwingine afe
Kwa nini Allah alidanganya watu?

Allah akatengeneza Issa mwingine ambae anafanana na Isa original ili Isa clone (cloning) asulubiwe

Koran 4:157. ................................ - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu, bali walifananishiwa tu...........

Cloning -is the process of producing individuals with identical or virtually identical DNA, either naturally or artificially.
 
nani kasema quran haina shaka? au quran yenyewe ndio imesema hivyo.pia umejuaje kama biblia yote imetiwa mikono?sawa biblia imeandikwa na watu je quran imeandikwa na nani? (ulete uthibitisho)
 
Qur'an siyo yale maandishi, Qur'an ni ujumbe uliokuja kuwekwa kweye maandishi na watu. Qur'an ipo mioyoni mwa watu. Juo ndiyo muujiza mkubwa wa Qur'an mpaka leo hii.
 
Quran ni kitabu kidogo kisicho fika ukubwa wa index ya Biblia , ukishindwa kukakariri chote inabidi tukushangae
 
Kuna iki kiumbe kinatwa issa , inasemekana walitamka kumuua ila Allah akatengeneza issa mwingine akauliwa

Embu tuambie kwa nini Allah alisababisha binadamu mwingine afe
Kwa nini Allah alidanganya watu?

Allah akatengeneza Issa mwingine ambae anafanana na Isa original ili Isa clone (cloning) asulubiwe

Koran 4:157. ................................ - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu, bali walifananishiwa tu...........

Cloning -is the process of producing individuals with identical or virtually identical DNA, either naturally or artificially.
Leta ushahidi kwa uyaandikayo.

Hapo sasa.
 
Mutah girl Huwa nawacheka Sana mnajipaga moyo mpaka mnatia huruma

Ukiambia ulete original na iliyotiwa mikono , unaanza kurusha mate kama zakirinaiki
Original uitoe wapi? Umeshajijibu mwenyewe hapo.

Swali digo tu, Yesu aliongea lugha ipi?
 
Original uitoe wapi? Umeshajijiu mwenyewe hapo.

Swali digo tu, Yesu aliongea lugha ipi?
Koran kwani inasema Yesu bandia Isa aliongea lugha ipi , nimekuta Isa alipewa injili , injili ni neno la lugha gani?
 
Back
Top Bottom