Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
Kwani kuwa mkristo ni DHAMBI?Ni kama vile anaeslim mpya huwa kuanzia aliposilim hana dhambi za zamani
#YNWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kuwa mkristo ni DHAMBI?Ni kama vile anaeslim mpya huwa kuanzia aliposilim hana dhambi za zamani
Injil ya Yesu, alayhi salaam, iko wapi?Koran kwani inasema Yesu bandia Isa aliongea lugha ipi , nimekuta Isa alipewa injili , injili ni neno la lugha gani?
Ndio utuambie sasa , Isa alayhi salaam injili yake ipo wapi , kumbuka Allah alisema alileta , na akasemaInjil ya Yesu, alayhi salaam, iko wapi?
Kwa vinywa vyenu nyie. Mimi nimekwambia Injili Yesu haipo.Ndio utuambie sasa , Isa alayhi salaam injili yake ipo wapi , kumbuka Allah alisema alileta , na akasema
Q61:8. Wanataka kuizima nuru ya Allah kwa vinywa vyao...
Waliwezaje kuizima Nuru (injili) ya Allah Alie ileta kupitia isa? Wake
Unachanganya mambo , injili iliyopotea ni ya Yesu bandia wa Allah anaitwa Isa ,Kwa vinywa vyenu nyie. Mimi nimekwambia Injili Yesu haipo.
Wewe unaifata Injili ya nani?
Wewe wacha porojo, jibu swali...Unachanganya mambo , injili iliyopotea ni ya Yesu bandia wa Allah anaitwa Isa ,
Binadamu walivyomzidi wakaipoteza na kuzima Nuru ya Allah
Allah akasema
Q61:8. Wanataka kuizima nuru ya Allah kwa vinywa vyao...
Issue sio wanataka ila walifanikiwa kwa ufanisi wa Hali ya juu , leo hii ata Isa haijulikani kitabu alichipewa na Allah kilipo
Fungua biblia utakuta injili ya Y'shua kama ilivyoandikwa na wasimulizi 4 tofautiWewe wacha porojo, jibu swali...
Wewe unaifata Injili ya nani?
Wewe jibu swali unaisoma Injili ya nani?Fungua biblia utakuta injili ya Y'shua kama ilivyoandikwa na wasimulizi 4 tofauti
Sasa unijibu injili ya Isa wa Allah ipo wapi?
QURAN ILIANDIKWA NA WALEVI NA WANYWAJI POMBE NA HAO WALEVI WALIKUWA WAMEKARIRI QUR'AN HUKU WAKIWA WAMELEWA CHAKALI NA WENGINE WALIKUFA KWA ULEVI WAANDISHI WA MUHAMMADWewe jibu swali unaisoma Injili ya nani?
Hakuna kitu kama hiccho, kadanganye wengine, biblia ina Injili ya Marko, Luka, Yohana na Mathayo. Hiyo yako ya kubuni. Unafahamu kuwa huna jibu inabidi uje na uongo tu, kama mlivyozowea.
Salama yako ni kuwa Muislam, tu unakwenda kuwa roasted daima huko. Yesu atakufukuza wewe, atakwambia hakujuwi wewe.
Hizoni porojo za mtandaoni. Qur'an imejaa humu, mbona hui quote? Unafikiri Uislam ni porojo?
Porojo tu hizo, hazina maana yoyote.QURAN ILIANDIKWA NA WALEVI NA WANYWAJI POMBE NA HAO WALEVI WALIKUWA WAMEKARIRI QUR'AN HUKU WAKIWA WAMELEWA CHAKALI NA WENGINE WALIKUFA KWA ULEVI WAANDISHI WA MUHAMMAD
SWALI AYA ZIPI ZILIANDIKWA MASWAHABA WAKIWA HAWAJALEWA POMBE KATIKA SURA 114 ZA QUR-AN YENU?
Quran 5:93. Si dhambi juu ya walio amini na wakatenda mema kwa walivyo vila (zamani) maadamu wakichamngu na wakiamini na wakitenda mema, kisha wakachamngu, na wakaamini, kisha wakachamngu na wakafanya mazuri. Na Mwenyezi Mungu huwapenda wafanyao mazuri![]()
Aya ya 5:93 Aya hizi za kukataza ulevi Kwa kashididi hii hizi zimeteremka mwaka wa sita wa Al-hijira baada ya kuwa maswahaba wengi WAMEKUFA na hali ya kuwa WAKILEWA POMBE. Basi maswahaba wengi wenziwao wakawahofia nini itakuwa hali yao siku ya Kiyama
[TAFASIRI YA ABDULLAH SALEH AL-FARSY ]
Mutah girl Mbona nimekujibu , injili ya Y'shua imesimuliwa na waandishi wa 4 tofauti au hujaona?Wewe jibu swali unaisoma Injili ya nani?
Hakuna kitu kama hiccho, kadanganye wengine, biblia ina Injili ya Marko, Luka, Yohana na Mathayo. Hiyo yako ya kubuni. Unafahamu kuwa huna jibu inabidi uje na uongo tu, kama mlivyozowea.
Hizoni porojo za mtandaoni. Qur'an imejaa humu, mbona hui quote? Unafikiri Uislam ni porojo?
UJIZA GANI SASA HAPO ,mbona hakuna muujiza wowoteQur'an siyo yale maandishi, Qur'an ni ujumbe uliokuja kuwekwa kweye maandishi na watu. Qur'an ipo mioyoni mwa watu. Juo ndiyo muujiza mkubwa wa Qur'an mpaka leo hii.
Qaran haina shaka kwa mujibu wa Nani?Biblia nzima imetiwa mikono ya watu, sio pa kuchaguwa wala kuonesha, ni yote.
Qur'an nzima haina shaka ndani yake.
Kwa hayo tu, tofauti ni kama mbingu na ardhi. Unatalka kufananisha Qur'an isiyo na shaka na vitabu (Biblos) vilivyoandikwa na watu na kukusanywa na kutafsiriwa na jopo la Queen James? usianzishe vichekesho.
Safi sana, alikubaka nini?
Huyu:
Mbona husemi? He was my priest and my friend. Then I found out he was a paedophile
Kabaka wanafunzi wa shule nzima hapahapa Tanzania, mbona mpo kimya? Au ndiyo starehe yenu?
("Na katika majini walikuwako walio kuwa wakifanya kazi mbele yake kwa idhini ya Mola wake Mlezi")
Haya maneno hapo juu yamenenwa na Mungu?? Yaani Mungu anabariki majini?