Je, kuna uhusiano gani kati ya kwenda hijja na harakati za uganga ama tiba za kisuna?

Injil ya Yesu, alayhi salaam, iko wapi?
Ndio utuambie sasa , Isa alayhi salaam injili yake ipo wapi , kumbuka Allah alisema alileta , na akasema
Q61:8. Wanataka kuizima nuru ya Allah kwa vinywa vyao...

Waliwezaje kuizima Nuru (injili) ya Allah Alie ileta kupitia isa? Wake
 
Kwa vinywa vyenu nyie. Mimi nimekwambia Injili Yesu haipo.

Wewe unaifata Injili ya nani?
 
Kwa vinywa vyenu nyie. Mimi nimekwambia Injili Yesu haipo.

Wewe unaifata Injili ya nani?
Unachanganya mambo , injili iliyopotea ni ya Yesu bandia wa Allah anaitwa Isa ,

Binadamu walivyomzidi wakaipoteza na kuzima Nuru ya Allah

Allah akasema
Q61:8. Wanataka kuizima nuru ya Allah kwa vinywa vyao...

Issue sio wanataka ila walifanikiwa kwa ufanisi wa Hali ya juu , leo hii ata Isa haijulikani kitabu alichipewa na Allah kilipo
 
Aisee mleta mada unaabahati sana kua na majirani wanaokua waganga.

Nawewe jipange usije ukajikuta unaunga juhudi zao mkono
 
Wewe wacha porojo, jibu swali...

Wewe unaifata Injili ya nani?
 
Wewe wacha porojo, jibu swali...

Wewe unaifata Injili ya nani?
Fungua biblia utakuta injili ya Y'shua kama ilivyoandikwa na wasimulizi 4 tofauti

Sasa unijibu injili ya Isa wa Allah ipo wapi?
 
Fungua biblia utakuta injili ya Y'shua kama ilivyoandikwa na wasimulizi 4 tofauti

Sasa unijibu injili ya Isa wa Allah ipo wapi?
Wewe jibu swali unaisoma Injili ya nani?

Hakuna kitu kama hiccho, kadanganye wengine, biblia ina Injili ya Marko, Luka, Yohana na Mathayo. Hiyo yako ya kubuni. Unafahamu kuwa huna jibu inabidi uje na uongo tu, kama mlivyozowea.
 
QURAN ILIANDIKWA NA WALEVI NA WANYWAJI POMBE NA HAO WALEVI WALIKUWA WAMEKARIRI QUR'AN HUKU WAKIWA WAMELEWA CHAKALI NA WENGINE WALIKUFA KWA ULEVI WAANDISHI WA MUHAMMAD

SWALI AYA ZIPI ZILIANDIKWA MASWAHABA WAKIWA HAWAJALEWA POMBE KATIKA SURA 114 ZA QUR-AN YENU?

Quran 5:93. Si dhambi juu ya walio amini na wakatenda mema kwa walivyo vila (zamani) maadamu wakichamngu na wakiamini na wakitenda mema, kisha wakachamngu, na wakaamini, kisha wakachamngu na wakafanya mazuri. Na Mwenyezi Mungu huwapenda wafanyao mazuri

Aya ya 5:93 Aya hizi za kukataza ulevi Kwa kashididi hii hizi zimeteremka mwaka wa sita wa Al-hijira baada ya kuwa maswahaba wengi WAMEKUFA na hali ya kuwa WAKILEWA POMBE. Basi maswahaba wengi wenziwao wakawahofia nini itakuwa hali yao siku ya Kiyama

[TAFASIRI YA ABDULLAH SALEH AL-FARSY ]
 
Porojo tu hizo, hazina maana yoyote.
 
Wewe jibu swali unaisoma Injili ya nani?

Hakuna kitu kama hiccho, kadanganye wengine, biblia ina Injili ya Marko, Luka, Yohana na Mathayo. Hiyo yako ya kubuni. Unafahamu kuwa huna jibu inabidi uje na uongo tu, kama mlivyozowea.
Mutah girl Mbona nimekujibu , injili ya Y'shua imesimuliwa na waandishi wa 4 tofauti au hujaona?

Sasa unijibu na Mimi sio unauliza tu

Injili ya Isa ipo Wapi?
 
MU
Qur'an siyo yale maandishi, Qur'an ni ujumbe uliokuja kuwekwa kweye maandishi na watu. Qur'an ipo mioyoni mwa watu. Juo ndiyo muujiza mkubwa wa Qur'an mpaka leo hii.
UJIZA GANI SASA HAPO ,mbona hakuna muujiza wowote
 
Q
Qaran haina shaka kwa mujibu wa Nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…