Daktari W Sindabhalla
JF-Expert Member
- Jan 29, 2017
- 600
- 580
- Thread starter
-
- #21
nini kinawahamasisha wawe wanganga mala watokapo HIJJA?Sahihi kabisa, wengi tumekwenda Hijja lakini hatujawahi kuwa waganga wa kienyeji.
Hijja ni moja ya nguzo za dini ya kiislamu na haina uhusiano na uganga wa aina yo yote.
ASANTE KWA UFAHAMU HUO.Wote wezi tu. Unafikiri wajanja wajanja ni wale wanaoitwa "wachungaji" tu?
Wajinga ndio waliwao.
Hao wote na hayo yote uliyoyasema hayapo katika mafundisho ya Uislam.
Uislam umeamrisha watu wasome na ndiyo maana Uislam ukatoa mabingwa wa kila fani. Kwenye medicine tuna Ibn Sinna aka Avicenna. Kwenye sayansi zingine tunao kina Alkhwaarizim aka Algorithm. Tunao Al Jabr (Aljebra).
Sifahamu kwanini wazungu waliwabadili majina yao na kuyafanya yasieleweke kuwa ni ya Waislam?Jiulize wewe kwanini?
NILISIKIA KWAMBA WAKIWASOMEA WATU WENYE SHIDA, DUA ZAO HUWA ZINASWIIWapigaji tu Kama wale wengine
Hakuna ulazima bali ni vyema sana.ASANTE KWA UFAHAMU HUO.
ILA KUNA ULAZIMA KWA KILA ATOKAE KUHIJI MAKKA, AKIFIKA HOME AWASOMEE DUA WENYE MATATIZO?
asante.Hakuna ulazima bali ni vyema sana.
Ni kama vile anaeslim mpya huwa kuanzia aliposilim hana dhambi za zamani na hutakiwa awaombee dua walio karibu yake.
Inapendeza sana lakini si lazima.
Hapa Nakubaliana na wewe kwa asilimia 100%Wote wezi tu. Unafikiri wajanja wajanja ni wale wanaoitwa "wachungaji" tu?
Wajinga ndio waliwao.
Hao wote na hayo yote uliyoyasema hayapo katika mafundisho ya Uislam.
Uislam umeamrisha watu wasome na ndiyo maana Uislam ukatoa mabingwa wa kila fani. Kwenye medicine tuna Ibn Sinna aka Avicenna. Kwenye sayansi zingine tunao kina Alkhwaarizim aka Algorithm. Tunao Al Jabr (Aljebra).
Sifahamu kwanini wazungu waliwabadili majina yao na kuyafanya yasieleweke kuwa ni ya Waislam?Jiulize wewe kwanini?
Habari Waheshimiwa wa JF.
Samahani kama nitamkwaza mtu kwa swala ninalotamani kulifahamu. Rafiki yangu wa Shuleni O Level, hata sasa nipo nae karibu ktkharakati za kupambania tonge, alifanikiwa kwenda KUHIJI Makka, miaka kama 7/8 sasa.
Aliporudi, akawa na katabia ka kuwasomea watu Dua kwa kadiri ya mahitaji yao, kitu ambacho hakuwahi kukifanya hapo awali.
Baadaye kidogo akaanza kuagua watu kwa dawa za kisuna. Mwishowe yote yamemshinda, na anaendelea na harakati za kufanya kazi alizokuwa ameziacha baada ya kutoka Kuhiji.
Mtu wa pili ni jirani yangu hapa Arusha, alifanikiwa kwenda kuhiji Makka kwa msaada wa kiongozi mmoja aliyemuahidi kwamba akipita Ubunge atamsapoti kwenda Kuhiji. Hatimaye mambo yalikuwa mazuri na alikwenda kuhiji.
Huyu naye akafanya kama yule rafiki yangu niliyetangulia kumzungumzia, Ni kama miaka 3/4 hivi iliyopita, alikuwa mganga wa kienyeji kabisa. Ila sasa yamemshinda, amerudi kwenye udalali wa viwanja huko Murieti, Njiro B & Kwenye hekaheka za CHAMA.
Je, kuna uhusiano gani kati ya Kwenda HIJJA na HARAHATI ZA UGANGA ama TIBA ZA KISUNA?
Nini kinatoa HAMASA YA KUTOA TIBA YA NAMANA HIYO?
Nimeuliza hayo kutokana na hawa wachache niliowashuhudia kuwa waganga baada ya kutoka hijja.kuwa mganga ni tabia ya mtu na kwenda hija ni kitu kingine na uganga ni kitu kingine. kwani mwaposa nae kaenda hajji ? mbona anatibu mabango yapo mengi barabarani hadija mganga wa kienyeji kutoka sumbawanga kwani nae alienda hajji?
Si hao tu. Kuna wengi sana, jiulize kwanini wanabadilishwa majina?Hapa Nakubaliana na wewe kwa asilimia 100%
Umeongea uhalisia kuhusu aljebra
Kwenye ishu za dini nazo soma historia vizuri kama ulivyoelezea aljebra
Naunga mkono na kukupongeza kwenye ishu ya aljebra umesema ukweli kuhusu huyu mgunduzi Bwana Muhhamad Al kwarizim
HONGERA SANA
Kwenye uislam na ukristo Chanzo chake pia Usione Haya sema ukweli uhalisia
Quran ni kitabu kiliunganishwa na Abu Bakr na huyo ndie mtu aliyejua soma na kuandika wakati huo, Acha story kuwa kitabu kilishushwa
Biblia ni kitabu kiliunganishwa pia, Watu Waache story kufikiri biblia ni kitabu cha enzi wakati watu waliunganisha kufanya kitabu biblia
Kasome pia akili za bwana Abu Bakr, Hakika utapata mengi kuhusu uhalisia wa uislam kama ulivyoelezea ishu ya aljebra
Mkuu drilling,,,,,,,,, si vema kutukana IMANI ya watu wengine na kuiona yakwako kuwa bora.watu wajinga duniani ni wakristo hata kama ana phd ni raihisi kumdanganya wewe ona kanisani wanavyodanganywa ona manabii uchwara wanavyowadanganya kuwa wao waganga na wanatoa riziki ona makanisa zambia malawi wake za watu wanaongeshwa uchi na pasto
Kama wapo hao basi hawana tofauti na wachungaji wanaojuwa kuna "wajinga ndio waliwao".Kuna wengine wanakwenda kuhiji, wakirudi wanakuwa mabingwa wa kusomea watu albadiri na kuwapa vichaa ama kuwaua. Hapo hapo Mungu anakataza mauwaji.
Hivi ni "kuamrisha" au kuelekeza?Wote wezi tu. Unafikiri wajanja wajanja ni wale wanaoitwa "wachungaji" tu?
Wajinga ndio waliwao.
Hao wote na hayo yote uliyoyasema hayapo katika mafundisho ya Uislam.
Uislam umeamrisha watu wasome na ndiyo maana Uislam ukatoa mabingwa wa kila fani. Kwenye medicine tuna Ibn Sinna aka Avicenna. Kwenye sayansi zingine tunao kina Alkhwaarizim aka Algorithm. Tunao Al Jabr (Aljebra).
Sifahamu kwanini wazungu waliwabadili majina yao na kuyafanya yasieleweke kuwa ni ya Waislam?Jiulize wewe kwanini?
......Leo umenipa ufahamu mwingine ambao sikuwahi kuujua.Hapa Nakubaliana na wewe kwa asilimia 100%
Umeongea uhalisia kuhusu aljebra
Kwenye ishu za dini nazo soma historia vizuri kama ulivyoelezea aljebra
Naunga mkono na kukupongeza kwenye ishu ya aljebra umesema ukweli kuhusu huyu mgunduzi Bwana Muhhamad Al kwarizim
HONGERA SANA
Kwenye uislam na ukristo Chanzo chake pia Usione Haya sema ukweli uhalisia
Quran ni kitabu kiliunganishwa na Abu Bakr na huyo ndie mtu aliyejua soma na kuandika wakati huo, Acha story kuwa kitabu kilishushwa
Biblia ni kitabu kiliunganishwa pia, Watu Waache story kufikiri biblia ni kitabu cha enzi wakati watu waliunganisha kufanya kitabu biblia
Kasome pia akili za bwana Abu Bakr, Hakika utapata mengi kuhusu uhalisia wa uislam kama ulivyoelezea ishu ya aljebra
Dada FaizaFoxy,,,,,,,,,,, chambua kidogo basi,,,,,,,, Nini maana ya HIJJA.Kama wapo hao basi hawana tofauti na wachungaji wanaojuwa kuna "wajinga ndio waliwao".
Unaifahamu maana ya Hijja na kwanini Waislaam wenye uwezo wanatakiwa waende huko japo mara moja katika uhai wao?
Jionee: World's Famous Footballers Who Went To Makkah To Perform Pilgrimage