Je, kuna uhusiano gani kati ya kwenda hijja na harakati za uganga ama tiba za kisuna?

Je, kuna uhusiano gani kati ya kwenda hijja na harakati za uganga ama tiba za kisuna?

Wote wezi tu. Unafikiri wajanja wajanja ni wale wanaoitwa "wachungaji" tu?

Wajinga ndio waliwao.

Hao wote na hayo yote uliyoyasema hayapo katika mafundisho ya Uislam.

Uislam umeamrisha watu wasome na ndiyo maana Uislam ukatoa mabingwa wa kila fani. Kwenye medicine tuna Ibn Sinna aka Avicenna. Kwenye sayansi zingine tunao kina Alkhwaarizim aka Algorithm. Tunao Al Jabr (Aljebra).

Sifahamu kwanini wazungu waliwabadili majina yao na kuyafanya yasieleweke kuwa ni ya Waislam?Jiulize wewe kwanini?
ASANTE KWA UFAHAMU HUO.
ILA KUNA ULAZIMA KWA KILA ATOKAE KUHIJI MAKKA, AKIFIKA HOME AWASOMEE DUA WENYE MATATIZO?
 
Wote wezi tu. Unafikiri wajanja wajanja ni wale wanaoitwa "wachungaji" tu?

Wajinga ndio waliwao.

Hao wote na hayo yote uliyoyasema hayapo katika mafundisho ya Uislam.

Uislam umeamrisha watu wasome na ndiyo maana Uislam ukatoa mabingwa wa kila fani. Kwenye medicine tuna Ibn Sinna aka Avicenna. Kwenye sayansi zingine tunao kina Alkhwaarizim aka Algorithm. Tunao Al Jabr (Aljebra).

Sifahamu kwanini wazungu waliwabadili majina yao na kuyafanya yasieleweke kuwa ni ya Waislam?Jiulize wewe kwanini?
Hapa Nakubaliana na wewe kwa asilimia 100%

Umeongea uhalisia kuhusu aljebra

Kwenye ishu za dini nazo soma historia vizuri kama ulivyoelezea aljebra

Naunga mkono na kukupongeza kwenye ishu ya aljebra umesema ukweli kuhusu huyu mgunduzi Bwana Muhhamad Al kwarizim

HONGERA SANA

Kwenye uislam na ukristo Chanzo chake pia Usione Haya sema ukweli uhalisia

Quran ni kitabu kiliunganishwa na Abu Bakr na huyo ndie mtu aliyejua soma na kuandika wakati huo, Acha story kuwa kitabu kilishushwa

Biblia ni kitabu kiliunganishwa pia, Watu Waache story kufikiri biblia ni kitabu cha enzi wakati watu waliunganisha kufanya kitabu biblia

Kasome pia akili za bwana Abu Bakr, Hakika utapata mengi kuhusu uhalisia wa uislam kama ulivyoelezea ishu ya aljebra
 
Habari Waheshimiwa wa JF.

Samahani kama nitamkwaza mtu kwa swala ninalotamani kulifahamu. Rafiki yangu wa Shuleni O Level, hata sasa nipo nae karibu ktkharakati za kupambania tonge, alifanikiwa kwenda KUHIJI Makka, miaka kama 7/8 sasa.

Aliporudi, akawa na katabia ka kuwasomea watu Dua kwa kadiri ya mahitaji yao, kitu ambacho hakuwahi kukifanya hapo awali.
Baadaye kidogo akaanza kuagua watu kwa dawa za kisuna. Mwishowe yote yamemshinda, na anaendelea na harakati za kufanya kazi alizokuwa ameziacha baada ya kutoka Kuhiji.

Mtu wa pili ni jirani yangu hapa Arusha, alifanikiwa kwenda kuhiji Makka kwa msaada wa kiongozi mmoja aliyemuahidi kwamba akipita Ubunge atamsapoti kwenda Kuhiji. Hatimaye mambo yalikuwa mazuri na alikwenda kuhiji.

Huyu naye akafanya kama yule rafiki yangu niliyetangulia kumzungumzia, Ni kama miaka 3/4 hivi iliyopita, alikuwa mganga wa kienyeji kabisa. Ila sasa yamemshinda, amerudi kwenye udalali wa viwanja huko Murieti, Njiro B & Kwenye hekaheka za CHAMA.

Je, kuna uhusiano gani kati ya Kwenda HIJJA na HARAHATI ZA UGANGA ama TIBA ZA KISUNA?

Nini kinatoa HAMASA YA KUTOA TIBA YA NAMANA HIYO?

kuwa mganga ni tabia ya mtu na kwenda hija ni kitu kingine na uganga ni kitu kingine. kwani mwaposa nae kaenda hajji ? mbona anatibu mabango yapo mengi barabarani hadija mganga wa kienyeji kutoka sumbawanga kwani nae alienda hajji?
 
watu wajinga duniani ni wakristo hata kama ana phd ni raihisi kumdanganya wewe ona kanisani wanavyodanganywa ona manabii uchwara wanavyowadanganya kuwa wao waganga na wanatoa riziki ona makanisa zambia malawi wake za watu wanaongeshwa uchi na pasto
 
Nimeuliza hayo kutokana na hawa wachache niliowashuhudia kuwa waganga baada ya kutoka hijja.
sijamaanisha kila anaetoka hijja anakua mganga.
Tunaweza kujifunza kitu hata kwa ALHAJI MZEE YUSUFU na BIASHARA YA DAWA ZA KISUNA.
 
Hapa Nakubaliana na wewe kwa asilimia 100%

Umeongea uhalisia kuhusu aljebra

Kwenye ishu za dini nazo soma historia vizuri kama ulivyoelezea aljebra

Naunga mkono na kukupongeza kwenye ishu ya aljebra umesema ukweli kuhusu huyu mgunduzi Bwana Muhhamad Al kwarizim

HONGERA SANA

Kwenye uislam na ukristo Chanzo chake pia Usione Haya sema ukweli uhalisia

Quran ni kitabu kiliunganishwa na Abu Bakr na huyo ndie mtu aliyejua soma na kuandika wakati huo, Acha story kuwa kitabu kilishushwa

Biblia ni kitabu kiliunganishwa pia, Watu Waache story kufikiri biblia ni kitabu cha enzi wakati watu waliunganisha kufanya kitabu biblia

Kasome pia akili za bwana Abu Bakr, Hakika utapata mengi kuhusu uhalisia wa uislam kama ulivyoelezea ishu ya aljebra
Si hao tu. Kuna wengi sana, jiulize kwanini wanabadilishwa majina?

Hawajaishia huko tu, hata hapa kwetu Afrika wametoka mabingwa wa Kiislam, mbona hatuwasomi hapa kwetu? Kuna kina Ibn Batuta, walioiandika Kilwa na pwani ya Afrika Mashariki kabla ya 'akina" Vasco Da Gama.

Kuna bint wa Kiislaam aliyeanziaha chuo kikuu cha kwanza kabisa duniani, anaitwa Fatma Al Fikhri, unalijuwa hilo?

Unafahamu kuwa hii uijuayo sasa kama Tanganyika ilikuwa ni Zanzibar? Mbona hatuyasomi hayo?

Unajuwa kuwa Mbantu kihistoria ni mtu wa kuja tu pwani ya Afrika Mashariki? Mbona hatuyasomi hayo? Aliwakuta kina nani Mbantu alipokuja pwani ya Afrika Mashariki? Ushajiuliza hayo?

Ilikuwaje, utawala wa Kabka na huko Uganda na Kagera vazi la heshima na la asili kwao kuwa ni kanzu? Umeshayasoma hayo? Mbona hayasemwi?

Umeshajiuliza kwanini vazi la heshima kwa wahehe ni kanzu, yes, kanzu hizi za Waislam.

Umeshajiuliza kwanini kuna miji mikubwa chini ya bahari ya Kilwa, hatujulishwi historia yake na wana historia wa Chuo Kikuu cha Dar wapo huko wanafanya tafiti?

Umeshajiuliza kwanini mabaki ya Kilwa yamewekwa kwenye uriti wa dunia na yanalindwa na Umoja wa Mataifa yasiharibiwe? Je ni nani walioacha hayo mabaki na kuna historia ipi hapo?

Umeshajiuliza kama kuna mabaki hapo Kilwa, vipi kuhusu Pwani yote ya Tanzania?

Kuhus Qur'an kama ulivyochomekea mwisho hapa...

Hapana, kitabu hakijaungwa na yeyote zaidi ya aliyeshushiwa aya hizo, akisema aya hii husomwa hivi, kabla ya hii na hii husomea hivi baada ya hii na hii ni aya sura hii na hii ni aya ya sura fulani.

1) Umeisoma Qur'an?

2) Wewe ni wa kanisa lipi?

Qur'an imeshushwa kwa miaka 23 kidogo kidohgo kwa Muhammad Salla Allahu Alayhi Wasalaam. Utapoisoma na utapo uelewa mpamgilio wake kisayansi ndipo utakapoelewa kuwa si Abubakar (Alayhi Salaam), si Muhammad (Salla Allahu Alayhi Wasalaam) kuwa ndio walioandika au kupanga Qur'an ilivyo. Qur'an ni muujiza unaoishi, ilivyo ni "beyond any human comprehension". Isome usiogope, na ukitaka kufahamu zaidi ntakupa vipande vidogo dogo vya muujiza wake, usiopingika.

Kwa kuanzia, basi haufikirii hata kidogo, vipi hii Qur'an iwe ndicho kitabu pekee duniani kilichohifadhiwa na watu wengi zaidi na ndicho kitabu pekee kipo kwa lugha moja tu lakini kinahifadhiwa na watu wa lugha tofauti tofauti duniani? Huo pekee ni muujiza. Kipi kingine chenye hayo?
 
ALHAJI MZEE YUSUFU aliyekuwa anaimba taarabu, baada ya kutoka HIJJA, aliachana na MUZIKI kabisa.
Kuna wakati nilisikia TANGAZO kwamba atakuwa HOTEL moja pale DODOMA sambamba na SHEKH SHARIF kwaajili ya kuwaombea dua watu wenye shida mbalimbali pamoja na kutibu Maradhi kwa dawa za kisuna.
KWASASA ALHAJI ANA BEND MPYA YA MUZIKI WA TAARABU.
Nini kinahamasisha baadhi ya watu wakitoka HIJJA kuwa WAGANGA.
AMA KUNA NGUVU ZA UGANGA HUWA ZINAWAPATA WATU KULE MAKKA?
 
watu wajinga duniani ni wakristo hata kama ana phd ni raihisi kumdanganya wewe ona kanisani wanavyodanganywa ona manabii uchwara wanavyowadanganya kuwa wao waganga na wanatoa riziki ona makanisa zambia malawi wake za watu wanaongeshwa uchi na pasto
Mkuu drilling,,,,,,,,, si vema kutukana IMANI ya watu wengine na kuiona yakwako kuwa bora.
JF ni jukwaa la kuelimishana.
Kama huna la kumjibu muuza swali, unaweza kupita kimya kimya.
JIFUNZE KUHESHIMU IMANI ZA WENGINE P'SE.
 
Wote wezi tu. Unafikiri wajanja wajanja ni wale wanaoitwa "wachungaji" tu?

Wajinga ndio waliwao.

Hao wote na hayo yote uliyoyasema hayapo katika mafundisho ya Uislam.

Uislam umeamrisha watu wasome na ndiyo maana Uislam ukatoa mabingwa wa kila fani. Kwenye medicine tuna Ibn Sinna aka Avicenna. Kwenye sayansi zingine tunao kina Alkhwaarizim aka Algorithm. Tunao Al Jabr (Aljebra).

Sifahamu kwanini wazungu waliwabadili majina yao na kuyafanya yasieleweke kuwa ni ya Waislam?Jiulize wewe kwanini?
Hivi ni "kuamrisha" au kuelekeza?
 
Hapa Nakubaliana na wewe kwa asilimia 100%

Umeongea uhalisia kuhusu aljebra

Kwenye ishu za dini nazo soma historia vizuri kama ulivyoelezea aljebra

Naunga mkono na kukupongeza kwenye ishu ya aljebra umesema ukweli kuhusu huyu mgunduzi Bwana Muhhamad Al kwarizim

HONGERA SANA

Kwenye uislam na ukristo Chanzo chake pia Usione Haya sema ukweli uhalisia

Quran ni kitabu kiliunganishwa na Abu Bakr na huyo ndie mtu aliyejua soma na kuandika wakati huo, Acha story kuwa kitabu kilishushwa

Biblia ni kitabu kiliunganishwa pia, Watu Waache story kufikiri biblia ni kitabu cha enzi wakati watu waliunganisha kufanya kitabu biblia

Kasome pia akili za bwana Abu Bakr, Hakika utapata mengi kuhusu uhalisia wa uislam kama ulivyoelezea ishu ya aljebra
......Leo umenipa ufahamu mwingine ambao sikuwahi kuujua.
Mimi niliaminishwa kuwa HIVI VITABU VITAKATIFU VILISHUSHWA.
Kumbe viliungwa ungwa kidogokidogo hatimae vikakamilika kuwa vitabu kamili.
Aisee watu wa dini ni waongo sana.
 
Back
Top Bottom