Je, kuna uhusiano gani kati ya kwenda hijja na harakati za uganga ama tiba za kisuna?

Kwenye usomaji wa Koran Kuna kitu kinaitwa tafsir, bila tafsir au Hadith Koran ni kitabu kisichoeleweka kabisa

Koran 34:13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, ...........
Ibn Abbas, Koran 34:13 They made for him what he willed: synagogues and statues of angels, prophets and other righteous servants so that people look at them and follow their example of worshipping Allah,

Ibn Abbas ni tafsir imeelezea hiyo Aya kwamba walimjengea Suleiman synagogue (msikiti) na Kuweka masanamu ya Malaika mitume na watumishi wa Allah
 
Koran bila maelezo ya binadamu haieleweki kabisa

Mfano
66:4. Kama nyinyi wawili hamkutubia kwa Allah, basi nyoyo zenu zimekwisha elekea huko. Na mkisaidiana dhidi yake (Mtume), basi hakika Allah ndiye kipenzi chake, na Jibrili, na Waumini wema, na zaidi ya hayo Malaika pia watasaidia

Utajiuliza hao wawili ni kina nani?
Wakisaidiana dhidi ya mtume kwani mtume kafanya nini?
Hao wawili wananguvu kubwa mpaka Allah , jibril ,Malaika wote na waumini wote muende kupigana nao?
 
Kuelewa Quran naweza kufananisha na kitabu cha elimu darasani
Nafikiri leo hii ukichukua kitabu cha Kemia cha form two ukaanza kusoma, kama hujawahi kuwa na msingi wa Kemia utaelewa kiasi kidogo.
Hivyo hivyo Quran ni ufupisho (summary) ya mambo mengi sana yenye historia tofauti tofauti hivyo kama huna msingi wowote wa mafundisho ya Quran ni vigumu kuelewa kila kitu kwa maana iliyokusudiwa
Na hii ni changamoto kubwa kwa wasomaji wengi wa Quran na hata wasomaji wa Biblia na ndio sababu madhehebu mapya huibuka kila siku kwani kila mtumishi hujiona kuwa yeye ndiye ameelewa vizuri wakati wengine hawana msingi wowote wa kitabu husika
 
Hakuna uhusiano wa hija na uganga, huo uganga wao ni harakati za kusaka tonge tu ndio maana kulivyobuma wamerudia asili zao
 
Msaada tutani, ni majina ya waislamu au ni majina ya Waarabu?
 
sasa yaliyomo hume kwenye quran 80% ndio hayohay yaliyomo kwenye biblia iliyotungwa
Si kweli, Qur'an imekuja kuyakinisha na kuelezea ukweli kwa uongo uliotungwa na watu.
 
samahani jina la kiarabu ndio jina la kiislam???
Hapana, jina la Kiislaam ni jina lolote zuri, lenye maana nzuri. Siyo jina ambalo hata kulitamka mbele ya watu ni kazi. Mfano mtu anaitwa M'boro. Inahusu nini.

Kuna Waarabu ambao siyo Waislam.
 
Wewe, huelewi kuwa Waislam tunaongozwa na Qur'an? Unaijuwa Qur'an?

Mbona unaleta mambo ya kiajabu ajabu ya kujitungia wewe na hao unaowawategemea?

Halafu hayo uliyoyaleta yanauhusiano upi na hii mada yahumu? Au mradi utafute ushari tu? Ndivyo "dini" yako inavyokutuma?
 
Ungeweka na andiko la biblia linaloruhusu kufanya hayo wanayofanya , mbali na hapo hao ni wapuuzi tu kama wanofanya mapenzi na watoto wa miaka 9

Koran inasema shoga ashutwe na kupigwa kidogo na makobasi
Wewe wa kanisa lipi?

Hivi Maryam mama'ke Yesu aliolewa ana miaka mingapi vile?
 
Na je mtu akienda hijja akisharudi anaruhusiwa kuendelea kumiliki malodge / nyumba za kulala wageni
Katika muktadha upi? Kumiliki nyumba ya wageni sio kosa kwamujibu
Nimeuliza waislamu wengi mno sipati majibu

Kwa nini mnabusu jiwe?
kama wewe ni mkristo umeshawahi kuwaza kwanini wakristo wanaabudu masanamu? Tena yapo hadi makanisani,
 
Reactions: Tui
Mutah ni sexual pleasure ambayo inalipiwa Allah kasema mfanye hii kwa siku tatu au zaidi , Sheria yake ni mtoto ata akizaliwa hana haki yoyote kwa baba na wala hataweza kumjua baba yake
Umeyatoa wapi hayo mafundisho, au ndivyo mnavyodanganyana Sunday School?

Wewe ni wa kanisa lipi?
 
Reactions: Tui
Kwa hiyo jiwe halina maana yoyote?

Wanaobusu wanahaba ya nini mpaka walibusu?
Kwa nini mkiswali mnaelekea jiwe lilipo?
Wewe wa kanisa lipi?

Nakushangaa sana unapofanya kejeli kusu Black stone.Unaijuwa Biblia kweli wewe? Soma...

Blackstone and bowing towards kaaba: Nothing to mock:-Actually you mocking on your own bible and torah
Sacred Stone in Kaaba-House of God and bowing to God facing towards Holy temple (Bible testifies and witnesses)
Sacred Stone: Gen.28:22 And this " Stone " which I have set for a pillar, shall be " God's House " and of all that thou shall give me I will surely give the tenth unto thee.
{"I will bow down toward your holy temple} and will praise your name for your love and your faithfulness, for you have exalted above all things your name and your word. (From the NIV Bible, Psalm 138:2)"
GOD Almighty's Holy Temple in Islam is the Kaaba in Mecca.
Allah Almighty Said in the Glorious Quran:
"Behold! We gave the site, To Abraham, of the (Sacred) House (i.e., the Kaaba), (Saying): 'Associate not anything (In worship) with Me; And sanctify My House For those who compass it round, Or stand up, Or bow, or prostrate themselves (Therein in prayer). And proclaim the Pilgrimage among men: they will come to thee on foot and (mounted) on every kind of camel, lean on account of journeys through deep and distant mountain highways; (The Noble Quran, 22:26-27)"
"Blessed is the man (Haji-pilmgrimi) whose strength is in thee; in whose heart are the ways of them. Who passing through the valley of Baca (Makkah) make it a well (zam zam); the rain also filleth the pools. (From the NIV Bible, Psalms 84:5-6)"
Exodus:24.4
Moses then wrote down everything the LORD had said. He got up early the next morning and built an altar at the foot of the mountain and set up twelve stone pillars representing the twelve tribes of Israel.
--------------
Exodus:20.25
If you make an altar of stones for me, do not build it with dressed stones, for you will defile it if you use a tool on it.
---------------------
Genesis:28.18
Early the next morning Jacob took the stone he had placed under his head and set it up as a pillar and poured oil on top of it.
#WHY_CHRISTIANS_IGNORANTLY_MOCKING_THE_ISLAMIC_BLACK_STONE ????
ON BLACK STONE,
If you are told that you are seeking omens from the Black Stone of Kaaba
Say:
Kissing the Black Stone can be a worship because the almighty Allah orders us to.
It is a following of the steps of the prophet, he kissed it because it is a piece of Paradise and because he told us it will be a testimony before Allah that we made pilgrimage to Mekkah ..etc
 
Kwanza sielewi "koran" ni nini. Unajisumbua na vitu nisivyovijuwa, kama unataka kuelewa kitu, uliza Waislam tukufundishe, kujifanya unayajuwa usiyoyajuwa. Ni ujuha.
 
Reactions: Tui
Hata matapeli hawazuiwi kwenda Kuhiji ili Kujenga Imani kwa Wajinga wao,Kule Makka hakuna Mchujo...Ila nasikia ukienda kwa nia Ovu inakula kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…