Je, kuna uhusiano gani kati ya kwenda hijja na harakati za uganga ama tiba za kisuna?

Je, kuna uhusiano gani kati ya kwenda hijja na harakati za uganga ama tiba za kisuna?

MHUBIRI 9:5

"kwa sababu walio HAI WANAJUA ya kwamba watakufa; lakini WAFU HAWAJUI neno lo lote, wala HAWANA ijara tena; maana kumbukumbu lao limesahauliwa."
Naam. Ndiyo maana huyo aliye hai anawaombea wafu.

Vipi, "mungu" alipokufa, kwa mafundisho ya Kikristo, nani aliiendesha dunia?
 
ZABURI 49:6-7

“Wa hao wanaozitumainia mali zao, Na kujisifia wingi wa utajiri wao; Hakuna mtu awezaye kumkomboa ndugu yake, Wala kumpa Mungu fidia kwa ajili yake”

AKILI KICHWANI KWAKO

UNAFANYA UFUSKA UKISUBIRI UKIFA UOMBEWE,TOKA NJE YA BOX UISLAMU MMETAPELIWA
Haswaa, hayo mjiulize nyie mnaojidai Yesu kafa kwa ajili ya kuwakomboa dhambi zenu.

Eti ni kweli kila anetundikwa mtini kalaaniwa?
 
Nimeshakujibu , kanisa lolote linaloamini utatu mtakatifu Mimi ndio wa kabisa hiyo

Usitake nirudi kwa muhammad alipo kuwa Lucifer anaongea kwa kinywa chake mpaka aka sujudu kwa kina uza manat na mwingine wa tatu

Muhammad alikuwa full control by the Lucifer
Wewe piga porojo upendavyo, swali limekuwa gumu kwako.

Ona ushahidi huu wa biblia...

a Luka 4:

Yesu, hali amejaa Roho Mtakatifu, alirudi kutoka Yordani, akaongozwa na Roho muda wa siku arobaini nyikani,
2 akijaribiwa na Ibilisi. Na siku hizo alikuwa hali kitu; hata zilipotimia, aliona njaa.

Eti Mungu anajaribiwa na ibilisi, nyie mnakufuru nyie kufata ujinga huo.
 
Naam. Ndiyo maana huyo aliye hai anawaombea wafu.

Vipi, "mungu" alipokufa, kwa mafundisho ya Kikristo, nani aliiendesha dunia?

Muhammad hajui njia ya kwenda mbinguni, ni kipofu ambaye hawezi kuongoza kipofu mwenzie maana wote wataanguka shimoni.

Yohana : 14 : 6 - Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.

Njoo kwa Yesu bibie faiza
 
Ahahahah..mkuu nahis umeamua kfunika kombe mwanaharamu (FaizaFoxy ) apite.
Heri nusu shari kuliko shari kamili na
Heri kenda shika kuliko kumi nenda uje 😂😂😂
Mwanaharamu mama'ko na wewe ambae kila mwanamme anaeingia nyumbani kwenu mama'ko anakwambia mwamkie baba'ko.
 
Embu ficha ujinga wako mbele za watu
Ibn Abbas anapoongea wewe ficha mkia na ujifiche chini ya meza , huyo ni binadamu yake muhammad

Ibn Abbas, Koran 34:13 They made for him what he willed: synagogues and statues of angels, prophets and other righteous servants so that people look at them and follow their example of worshipping Allah,
Wewe peleka porojo zako Sunday School. Waislam hawamfati ibn yoyote yule, Waislam tunaifata Qur'an. Soma aya hiyo kwenye Qur'an 43:...

34_12.gif

12. Na Suleiman tuliufanya upepo umtumikie. Safari yake ya asubuhi ni mwendo wa mwezi mmoja, na safari yake ya jioni ni mwendo wa mwezi mmoja. Na tukamyayushia chemchem ya shaba. Na katika majini walikuwako walio kuwa wakifanya kazi mbele yake kwa idhini ya Mola wake Mlezi. Na kila anaye jitenga na amri yetu katika wao, tunamwonjesha adhabu ya Moto unao waka. 12

34_13.gif

13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, na madeste makubwa kama mahodhi, na masufuria makubwa yasiyo ondolewa mahala pake. Enyi watu wa Daudi! Fanyeni kazi kwa kushukuru. Ni wachache katika waja wangu wanao shukuru. 13

34_14.gif

14. Na tulipo mhukumia kufa, hapana aliye wajuulisha kufa kwake ila mnyama wa ardhi aliye kula fimbo yake. Na alipo anguka majini walitambua lau kuwa wangeli jua ya ghaibu wasingeli kaa katika adhabu hiyo ya kufedhehesha. 14
 
Dini zina mapungufu sabab ni matokeo ya binadamu kujiamulia kwa utashi wake namna ya kuntafuta Mungu.

Skuona mahali kwenye biblia Mungu alimpa dini mwanadamu.
Dini NI biashara ( unyang'anyi ) nafkiri Yesu alikuja kuharibu bizness za watu wakaona wasimkawize.
Huo labda Ukristo. Umeisoma Qur'an?
 
Wewe peleka porojo zako Sunday School. Waislam hawamfati ibn yoyote yule, Waislam tunaifata Qur'an. Soma aya hiyo kwenye Qur'an 43:...

34_12.gif

12. Na Suleiman tuliufanya upepo umtumikie. Safari yake ya asubuhi ni mwendo wa mwezi mmoja, na safari yake ya jioni ni mwendo wa mwezi mmoja. Na tukamyayushia chemchem ya shaba. Na katika majini walikuwako walio kuwa wakifanya kazi mbele yake kwa idhini ya Mola wake Mlezi. Na kila anaye jitenga na amri yetu katika wao, tunamwonjesha adhabu ya Moto unao waka. 12

34_13.gif

13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, na madeste makubwa kama mahodhi, na masufuria makubwa yasiyo ondolewa mahala pake. Enyi watu wa Daudi! Fanyeni kazi kwa kushukuru. Ni wachache katika waja wangu wanao shukuru. 13

34_14.gif

14. Na tulipo mhukumia kufa, hapana aliye wajuulisha kufa kwake ila mnyama wa ardhi aliye kula fimbo yake. Na alipo anguka majini walitambua lau kuwa wangeli jua ya ghaibu wasingeli kaa katika adhabu hiyo ya kufedhehesha. 14
Unaweka verse za kutosha ila masanamu yapo pale pale , nacheka sana
 
Unaweka verse za kutosha ila masanamu yapo pale pale , nacheka sana
Motiki, tatizo lako hutaki kusoma kwa kuelewa, unataka kubishana.

Qur'an siyo Biblia, kwa maana Biblia pekee ndiyo Mungu mara ni Shetani na Shetani mara ni Mungu. Bisha!
 
Motiki, tatizo lako hutaki kusoma kwa kuelewa, unataka kubishana.

Qur'an siyo Biblia, kwa maana Biblia pekee ndiyo Mungu mara ni Shetani na Shetani mara ni Mungu. Bisha!
Ungeelezea kwa nini Allah akaamuru mapepo yajenge msikitini na Kuweka masanamu
 
Mwanaharamu mama'ko na wewe ambae kila mwanamme anaeingia nyumbani kwenu mama'ko anakwambia mwamkie baba'ko.
😂😂😂😂 una matusi ya kizee ..Hata haya sound harsh yan 😆😆😆
 
Ni hivi, wabongo ni wajinga sana, na lapili Bongo watu ni wepesi kuchangamkia fursa.

Hao baada ya kwenda hijja kurudi Bongo watu wenyewe mitaani wakaanza kijiingiza kwenye 18 zao kwa kuwaona kuwa wao wameshakua watukufu fulani hivi kitu ambacho hakina uhalisia. NA majamaa kama kawaida ya wabongo walipoona fursa imefunguka hawakuiacha ikapita bure bure.
 
Back
Top Bottom