Je, kuna uhusiano gani kati ya Simba na kung'oa viti?

Je, kuna uhusiano gani kati ya Simba na kung'oa viti?

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Uchambuzi

Katika Hali isiyo ya kawaida Jana makolo wakiwa kwenye michuano ya loser cup wamezua taharuki na kuchafua image ya nchi ambayo Yanga anahangaika kuijenga

....wameshinda....lakini pia wakaanza kung'oa viti

NB: Yanga wanajitahidi kujenga plenty image kimataifa.....makolo yanavuruga.
Screenshot_20241216-090502.jpg
 
Ayo ni Matokeo ya vazi la Sanda, Naiomba Serikali mechi za shirikisho kuchezwa Karume. Hazina tija yoyote kwa Taifa zaidi ya Hasara.
Kuendelea kuwaruhusu Simba kutumia Uwanja wa Ben Mkapa Kuna siku kama Taifa tutakuja Kujuta.
 
Basi ni hatari sana mkuu
 
Back
Top Bottom