Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
Nawaona waarabu wa jangwani mnavyoumia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haiingii akilini kwa kua FOOTAGE ZIPO NA MULILO kazama front hakika itajulikana TU.Uchambuzi
Katika Hali isiyo ya kawaida Jana makolo wakiwa kwenye michuano ya loser cup wamezua taharuki na kuchafua image ya nchi ambayo Yanga anahangaika kuijenga
....wameshinda....lakini pia wakaanza kung'oa viti
NB: Yanga wanajitahidi kujenga plenty image kimataifa.....makolo yanavuruga.
View attachment 3177828
Watu wenye Akili kama zAko sijui kwa nini huwa nawatukana kimoyomoyo Kwa hiyo ule uwanja ni.mali ya Umma ? we ukiwa na kichenparty yako utaenda kufanyia pale si ndio?Mapato yanayopatikana pale huwa mnagaiwa wewe na familia yako zinawasaidia kujikimu si ndio? kodi yako wewe inakusaidia nini kwenyeazingira ya nchi kama hizi za kiafrika? we ungekuwa nchi za dunia ya kwanza nadhani ungeona tayari uko peponi kama uko bongo na una mawazo hayo basi una safari ndefu sana.Haiingii akilini kwa kua FOOTAGE ZIPO NA MULILO kazama front hakika itajulikana TU.
Na uhakika Kodi zetu haziwezi kwenda bureee wahuni na alio watuma lazima watiwe nguvuni .
HUJUMA ZA KIJINGA KWA TAIFA LETU HAZIKUBARIKI..WATU WALIO VUNJA NA KUNG'OA VITI WAPATIKANE NA WABINYWE NYETI ZAO ILI SIKU NYINGINE WAJUE KUHESHIMU MALI YA UMMA.
Mkuu,Watu wenye Akili kama zAko sijui kwa nini huwa nawatukana kimoyomoyo Kwa hiyo ule uwanja ni.mali ya Umma ? we ukiwa na kichenparty yako utaenda kufanyia pale si ndio?Mapato yanayopatikana pale huwa mnagaiwa wewe na familia yako zinawasaidia kujikimu si ndio? kodi yako wewe inakusaidia nini kwenyeazingira ya nchi kama hizi za kiafrika? we ungekuwa nchi za dunia ya kwanza nadhani ungeona tayari uko peponi kama uko bongo na una mawazo hayo basi una safari ndefu sana.
Unagawa utamu tu,utamu nusu Au nzima🤣🤣Mimi ni Simba ...ila tumebebwa
Hakuna mwanasimba aloyeng'oa viti uwanjani?
Kabisa mkuuHaiingii akilini kwa kua FOOTAGE ZIPO NA MULILO kazama front hakika itajulikana TU.
Na uhakika Kodi zetu haziwezi kwenda bureee wahuni na alio watuma lazima watiwe nguvuni .
HUJUMA ZA KIJINGA KWA TAIFA LETU HAZIKUBARIKI..WATU WALIO VUNJA NA KUNG'OA VITI WAPATIKANE NA WABINYWE NYETI ZAO ILI SIKU NYINGINE WAJUE KUHESHIMU MALI YA UMMA.
HahahaaUbwege uboya
Si Yanga mkuu,Kagawa kwa mwarabu,Kagawa kwa msudani,Kagawa nusu uno kwa mazembe😂😂Kivip mkuu
Tulimuelewa yule aliyewaita ninyi ni masokwe /Nyani. Pua tulimuelewa aliyekuwa msemaji wenu alitewaambia Yanga wenye akili ni wawili tu. Wengine wote ukiwemo na wewe kwenye akili umepita mshipa wa mavi!. Hamna akili kabisa yaaniKwani Rage alivowaita mbumbumbu hukumwelewa?