Kuna mashabiki wengi wa utopolo mfano wa mchome.Uchambuzi
Katika Hali isiyo ya kawaida Jana makolo wakiwa kwenye michuano ya loser cup wamezua taharuki na kuchafua image ya nchi ambayo Yanga anahangaika kuijenga
....wameshinda....lakini pia wakaanza kung'oa viti
NB: Yanga wanajitahidi kujenga plenty image kimataifa.....makolo yanavuruga.
View attachment 3177828
Mchome anaweza kuwa ameandaliwa maalum kuichafua Simba akiwa na genge lake wanaolipwa kwa huo ujinga.
Mi nashangaa sana mashabiki na viongozi wa Simba wanaomchekea huyu na watu kama hawa.