Basi ni hatari sana mkuuAyo ni Matokeo ya vazi la Sanda, Naiomba Serikali mechi za shirikisho kuchezwa Karume. Hazina tija yoyote kwa Taifa zaidi ya Hasara.
Kuendelea kuwaruhusu Simba kutumia Uwanja wa Ben Mkapa Kuna siku kama Taifa tutakuja Kujuta.