Je, kuna uhusiano gani kati ya Simba na kung'oa viti?

Kuna mashabiki wengi wa utopolo mfano wa mchome.
Mchome anaweza kuwa ameandaliwa maalum kuichafua Simba akiwa na genge lake wanaolipwa kwa huo ujinga.
Mi nashangaa sana mashabiki na viongozi wa Simba wanaomchekea huyu na watu kama hawa.
 
Kuna mashabiki wengi wa utopolo mfano wa mchome.
Mchome anaweza kuwa ameandaliwa maalum kuichafua Simba akiwa na genge lake wanaolipwa kwa huo ujinga.
Mi nashangaa sana mashabiki na viongozi wa Simba wanaomchekea huyu na watu kama hawa.
Yule ni kolo pure ....sema tu ni vile anajitambua
 
Anaye pendekeza dakika ziongezwe ni refa na anaye hakiki dakika ambazo wachezaji wanazipoteza ni refa ina maana refa ndiye mwenye maamuzi ya mwisho uwanjani kwa mchezo husika
 
Sina majibu ya maswali yako isipokuwa nitakwambia kwa nini niliandika nilichoandika kwa level ya aina ya watu waliopo tanzania kuanzia watawala mpaka watawaliwa hakuna tofauti katika swala zima la kufikiri na kutenda wewe hapo ulipo inawezekana una maslahi fulani unayapata kutoka kwenye utawala na ndo wengi huwa mnahubiri kuhusu uzalendo na hayo mambo ya sijui mali ya umma hivi ni Umma gani unauongelea ni ule wa kupiga kura siku ya uchaguzi wakaporwa maamuzi yao juu ya mgombea wanayemtaka na hao unaowaita viongozi?au unazungumzia Umma wa kupigwa marungu na mabomu ya machozi bila huruma kama haujui linapokuja swala la maslahi ya serikali ndo huwa unasikia hizo mambo za sijui umma uzalendo lakini kiuhalisia hakuna hicho kitu acha kujidanganya kwenye nchi kama zetu za kiafrika neno Umma lipo kwenye makaratasi kiuhalisia halipo ikiwa Umma hauheshimiki kwenye kufanya maamuzi ya nani aongoze nani hatumtaki aongoze wewe unaona kuna mantiki ya kujivunia mali za serikali kuwa za Umma?Wewe kama uko daraja la juu kimaisha jaribu siku moja uende hospitali za wilaya uone raia wanachokutana nacho kuna mantiki gani mgonjwa kufia hospitali ikazuiawa mwili mpaka lilipwe deni la huduma za hospitali wewe unaona ni sawa?
 
Umeandika mambo mazito Sana Sanaa mkuu.

Nimekuelewa πŸ™
 
Ile kauli ya Rage itakuwa bado inawatesa. Maana haiji akilini mtu mzima na akili zako, eti unang'oa kiti ulichokalia na kuwatupia watu wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…