Je, kuna uhusiano kati ya IQ ya mtu na kabila lake, umasikini wake au kimo chake?

Well noted. Mimi ni mzawa wa Kagera, ni kweli tupu uliyoyaandika. Na ni rahisi tu ijulikane wakoloni walienda kuanzisha katika hiyo mikoa kutokana na nature ya hali ya hewa kuwa favourable na ile ya ulaya ambayo wameizoea.
 
Tatizo sio low IQ bali tu hawajui maana ya [HASHTAG]#RESPONSIBILITY[/HASHTAG] katika kila kitu jaribu kubeba jukumu lako kikamilifu, maana usipobeba jukumu lako kikamilifu unaangusha wengine wanaotarajia kutoka kwako. Haya mambo ya swhemu kuwa na njaa, kutokuwa na barabara, dawa hakuna ni matokeo tu ya kutokubeba jukumu lako kikamilifu. Hata huo mfano wa wanafunzi kufeli Zanzibar ni matokeo ya wanafumzi na walimu kutokubeba majukumu yao kikamilifu. Umasikini, siasa chafu, na vingine vingi ni matokeo ya kutokujua nini maana ya responsibilities, kama kila mmoja akibeba jukumu lake kikamilifu hakuna wa kumlaumu mwenzake.
 
Is there a connection between race and intelligence? Pascal Mayalla

Paskal read this debate
 
Pamoja na nchi za ulaya kuwa nchi zinazozalisha zao la mahindi kwa wingi lakini niambie ni mzungu gani anakula ugali,wenzetu wanakula vyakula vitokanavyo na ngano.

Mjerumani alipotutawala kiukoloni alikuwa akishangaa kwa nini akina mkwawa,kabaka, Kinjekitile wanasumbua sana na wana nguvu sana; akabaini hawakuwahi kula ugali maisha yao yote ndipo wakaja na mbinu za kutokomeza kilimo cha shayili na kuleta mbegu za mahindi,chakula chetu cha asili kimepotezwa na wazungu kwa kutuletea eti mara mbegu bora za kisasa ,sijui viatilifu hii yote ni historia iliyotufikisha hapa.
wazungu ni wazalishaji wazuri wa mahindi lakini ni chakula cha mifugo lakini sisi tunafanya chakula na ukishamaliza hapo unakunywa maji mengi.ulishawai kujiuliza kwa nini ukimaliza kula ugali(nguna) unaanza kulewa na kusinzia utafikiri teja.

Katika baadhi ya maeneo uliyoyataja kama bukoba ni ukweli usiopingika kuwa miaka ya nyuma hakuna mhaya aliyewahi kula ugali(nguna)labda kama alikutana nao jeshi au chuo...na lilikuwa ni tusi hata ukiwa na wenzio shule hata kula vyakula vya nafaka kama vile viazi, mhogo.

Waulize hata hao wa iringa walikuwa wanakula nini kabla ya mkoloni,chakula chao kikuu ilikuwa ni ngano.

Hata tukirejea maneno matakatifu tunaona Yesu hakugawa ugali bali aliutwaa mkate pamoja na vipande vya samaki na kuwagawia wanafunzi wake.

Hakuna taifa la kiarabu linalokula ugali(nguna), hata Gaddafi alikuwa anatumia pesa kubwa sana kuagiza tani za shayili popote pale zilipo ili watu wake waweze kupata ngano kabla hajaitoa libya kutoka kwenye jangwa kuwa kijani.

N.B ugali(nguna) ndo uliotufikisha hapa tulipo.
 
In your last paragraph is where the core of misconception lies. I concur with you brother!
 
Ktk hotuba yake ya Kwanza ya badget waziri wa FEDHA Dr P Mpango alitaja takwimu zinaonyesha kwamba mikoa mitano masikini zaidi ni : Mwanza, Kagera, Geita, Katavi na Singida naomba kuwasirisha!
 

Nimekusoma vzr sana bwana paschal my school mate lakini napenda kutofautiana na pointi moja tu ya kwamba mikoa inayochagua CCM imetopea katika Lindi la umaskini.Siyo kweli na ufanye utafiti tena.Hiyo random sampling yake imekupotosha kidogo.Ruvuma ni mkoa ambayo ni among the big five but it has never chosen a candidate from opposition party then what is your comment and also its among the region which bring the genious people.Umesoma historia ya wangoni kuwa ni mioongoni mwa makabila machache ambayo yalikuwa against colonialism na yalipigana vita mpaka tone la mwisho.Wahehe ni miongoni mbona katika bandiko hujayataja?Naomba cmments zako.Wahaya,wachaga,wanyakyusa ni wamesoma lkn kwa sasa wamefikia katika level ile ya declining point.kuna makabila sasa hivi yanakuja juu wakati hayo uliyoyataja yamebweteka.wasukuma wana umaskini uliopitiliza na hakuna wasomi wengi huko kwani wao muda wote wanafikiria kuchunga tu hata makazi yao bado ni matembe ya udongo mpaka leo hii.Fuatilia statistics za kiuchumi utaona mikoa ambayo imebobea ktk lindi la unaskini.Kigoma ni mkoa maskini sana lkn unawatu ambao ni genius jaribu kutafiti utapata ukweli hivyo kuna sababu zaidi ya hizo ulizozitaja.Ni kweli level ya umaskini pia inadumaza akili kwa sababu hata chakula wanachopata ni cha kubahitisha pia siyo balanced diet ambacho pia kinaathiri IQ.Take wamasai they are bright though they dont like to go to school.They believe in keeping catle bcause they pastolist.They are poor though they have catle.Hivyo naomba ongezea vitu vingine katika hiyo thread yako then itakuwa very clear.
 
Mhhh. Hivi IQ inarithishwa au ni mazingira? Ukimtoa Mhaya kwake,akaenda Singida wanakokula ugali,kwa maana yako je akili yake itafanana na Wanasingida?
 
Makala zingine bwana! Eti IQ unaipima kwa matokeo ya darasani. Mwandishi angejishughulisha kujua IQ inapimwaje na je, wanasayansi wa mada hii wanakubaliana? Kifupi hakuna makubaliano ya moja kwa moja na kipimo cha IQ. Hv profesa aliyefaulu masomo yake kwa kiwango cha juu kuanzia chekechea halafu akawa mlevi kupindukia na kushindwa kumudu maisha yake, huyo naye IQ yake ndogo? Au tuseme mtu anaweza kuwa na IQ kubwa akiwa kwenye malezi bora, hali bora ya maisha na ghafla mambo yakibadilika yakawa mabaya na IQ yake inashuka? Hv, mtu anazaliwa akiwa na IQ kiasi fulani au IQ inaweza kufundishwa? Kiufupi kipimo cha IQ ni subjective, inategemea na standard za anaetaka kupima. Nina mifano ya kuthibitisha hilo kutokana na hoja zilizowahi kutolewa kuhusu udhaifu wa kupima IQ lkn kwa sasa naishia hapo. siungi mkono hoja.
 
Nkamia kakamia kurudi kwenye uwaziri. Na hili debe ndiyo nyenzo yake.

IQ siyo dili uwe nayo au la kubwa unaitumiaje?
 
Kwa haraka haraka mtu anaweza kukubaliana na wewe based on the fact but ntakupinga if I use common sense kujibu hoja zako.
Ndio unaweza sema chakula and others blah blah blah kua vilikuwa vinaleta high IQ but labda pengine viliwapunguzia common sense katika uwezo wao wa kufikiri.
Vitu tu vya kujiuliza kutoka katika mifano yako ni kwanini wananchi hao hao walikua wanalishwa ngano na Gaddafi' walimsaliti? Au ni kwanini watu hao hao walimsubilisha Yesu angali walikua wanakula ngano? Jibu utakuja jua uwezo wa kufikiri hauji kwenye vyakula unavyokula japo unahitaji kushiba ili upate nguvu.
 
kuuliza uliza si ujinga! ila kuuliza sana ni upumbavu
 
Kujadili IQ inakua ni complex topic in the context of African dimensions. Kwa sababu waafrika tuna factors nyingi mno kuliko jamii nyingine duniani ambazo zinaathiri nurturing yetu from the roots to adulthood.
 

Sir;

What you wrote here's full sh!t. If you got division I, II or III in secondary or high school, please go back to you former school and ask for a refund. It seems to me you aren't educated. But before I go farther, can you please allow me to ask some questions?

1. You correlate IQ with the height of individuals. Since this comparison includes ethnicity, can you tell us why Japanese are smarter than wachagga, Wahaya, Wanyakyusa? Additionally, Can you tell us why South Sudanese are one the poorest people in the world?

2. You say that if we use uniform cut of, all secondary schools will be occupied by wachagga, Wahaya, Wanyakyusa. Could you please show us something special that separates those tribes from the rest? note that voting for opposition isn't that special. Even in America, the white forks voted for a crazy president.

3. Not all Sukumas are created equal. Can you tell us why a good number of sukumas are poor? Can you tell us why it's very easier to find Sukumas work as laborers in coastal regions?
 
Kujadili IQ inakua ni complex topic in the context of African dimensions. Kwa sababu waafrika tuna factors nyingi mno kuliko jamii nyingine duniani ambazo zinaathiri nurturing yetu from the roots to adulthood.

Actually, it isn't that complex. IQ is a number and numbers don't lie. Tanzania don't use IQ matrix and if we ask this gentleman to provide us his IQ score, he won't able to tell. So the question is where does he get his comparison?

Additionally, he can't tell the difference between knowledge tests and IQ tests. Just because somebody get division I and II, it doesn't mean the individual has higher IQ than those who get below.
 
Huu uzi hautaki kuukurupukia, ni maswali mazuri uliyojaribu kuyaulliza (hypothesis) ila kiukweli mambo ya IQ na hizo factors yanahitaji scientific research ili tupate data za ukweli. Bahati mbaya sana taifa letu linatumia pesa zake nyingi kushughulika na kujenga miundo mbinu (tuko nyuma sana, we have long way to go) na sioni kama lina muda na tafiti (of cause TWAWEZA hawajawahi kutuangusha). Tafiti kama hizi ni za msingi sana ili Taifa liweze kuchukua corrective measures. Si vyema kuwa na concentration ya watu mambumbumbu kwenye eneo moja la nchi na watu wenye akili nyingi eneo lingine. Lazima corrective measure zifanyike ku-boost akili za mambumbumbu wetu, hatuna namna.Tufanye tafiti ya hizo factors zinazo oanishwa na IQ ya watu kwenye nchi yetu ili tuweze kujua na kuchukua hatua stahiki.
 
mkuu, huu uzi wako kama mtu anausoma mwanzo mwisho, atakuwa anapata hasira ya kupanda na kushuka!
otherwise umetoa elimu nzur.
 
Akili nyingi ikizidi huondoa maarifa
Nadhani mtoa mada anazungumzia uwezo binafsi wa kuchanganua mambo maarifa,wanaitaga common sense sio elimu ya mtu ingawa nayo inahusika.Mfano mtu akiuliza kula au kulala unachagua nini............huhitaji elimu kujibu.We unachagua nini????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…