Je, kuna uhusiano kati ya IQ ya mtu na kabila lake, umasikini wake au kimo chake?

Je, kuna uhusiano kati ya IQ ya mtu na kabila lake, umasikini wake au kimo chake?

Huyo jamaa uliyemtaja kwenye andiko lako , kuna siku nilimsikia akihojiwa BBC-swahili nilishangaa sana , huyu jamaa ni mweupe mno kichwani.
 
Paskali
Rejea
Kuwa Kichaa Sio Mpaka Kuokota Makopo!. Jee Tanzania Tuna Vichaa Wengi Kuliko Tunavyojidhania?!.
of course the answer is yes. kila binadamu ana %ya ukichaa kwa percentages. ikiwa kubwa itakuwa active ambayo tunaweza ona wengi na ikiwa inactive hiyo mpaka wataalamu kama drs psychologists na watalaamu wanaofanana na hao wanaweza watambua

suala la umasikini kupelekea low IQ possible kwani chakula bora kwa mama na mtoto especially unapozaliwa ni muhimu kwa kuujenga ubngo
 
“Iq kubwa siyo aghalabu kupatikana kwenye umasikini”, nakubaliana na hoja.

Kwenye umasikini kuna mambo mengi yanayochangia low iq.

Pia culture ina contribute hapo.

Kwenye kimo sidhani. However, kuna studies zinaonyesha watu wafupi kuwa na low self esteem.

People who experience social situations from a lower height - in other words short people - are more prone to feelings of paranoia, inferiority and excessive mistrust.

In a study in the journal Psychiatry Research, scientists showed that making a person's virtual height lower than it actually is can make them feel worse about themselves and more fearful that others are trying to harm them.
Hilo la kimo liko exegerated sana,hakuna tofauti na whites walivyowaaminisha kuwa ukiwa mweupe bus uko smart everywhere,wewe kama ni mbulula utasalia hivyo hivyo,do not expect height superiority to bring you IQ,those assumptios na conclusion zenu prove wrong to me and wajepu,wachina or Koreans etc
 
IQ za wanasiasa wa awamu hii zinadumazwa na woga. Wanasiasa hawajikiti kwenye kutafuta mbinu za kutatua matatizo ya wananchi bali wanashindana kumsifia na kumfurahisha magu ili wajihakikishie usalama na maslahi yao. Eti aongozewe muda, kwa kipi kikubwa alichowafanyia wananchi mpaka sasa?

Magu hata ateue ma PHd watupu kuongoza wilaya na mikoa na halmashauri zote bado haitaifanya awamu hii kuwa bora kiuchumi kuliko awamu zilizopita. Woga ndani ya umasikini hautaliacha taifa salama.
Na huo woga unaanza na mkulu kuogopa kivuli chake
 
Sio kweli kuwa IQ ya mtu inakuwa influenced na Kabila.

" Kabila " has nothing to do with IQ.

Kuna wengine kujua tu lugha ndio kunamfanya awe wa kabila alilo nalo baas.

Ila nutrition au Diet inaweza kuinfluence IQ ya mtu hasa mtoto.

Kwa ulaya, karne nyingi za zamani ndizo zilizotoa geniuses wengi maarufu duniani na waliofanya gunduzi mbalimbali. Kama akina Michael Faraday, Albert Einstein, Aristotle, Alexander Bell, Isac Newton, Macnon na wanafalsafa mbalimbali wakubwa.

Miaka hii ambayo kwa ulaya na Amerika chakula kimeboreshwa sana kiubora hatuoni watu wenye IQ kubwa kama zamani.

Wajapan wana IQ kubwa mno na wanasema sababu ni kuwa wanakula sana raw marine organisms

Mtu mwenye IQ kubwa anaweza kuwepo katika kabila lolote lile kiasili ila anaweza asije kujulikana kwasababu ya mazingira yanayomzunguka na jamii anayoishi nayo.

Suala la Wachaga, Wahaya na Wanyakyusa kuwa wengi katika nyanja za elimu linatokana na suala la kihistoria ambalo ni

Uanzishwaji wa makanisa,hospitali, shule, na taasisi nyingi za kielimu katika ardhi yao, uliofanywa na wakoloni

Na ndio maana kuna idadi kubwa sana ya Wakristo walio wasomi kuliko Waislam tangu enzi hizo kwasababu taasisi hizo za elimu, dini na afya zilianzishwa katika mikoa yao, mfano Kilimanjaro, Mbeya, Kagera na hata Arusha pia kuna taasisi nyingi za elimu za wakoloni.

Mikoa yenye waislam wengi (kasoro wagogo tu) ndiyo uliyoiorodhesha katika list ya wenye IQ ndogo kama Mtwara, Lindi, Kondoa(kwa warangi), Wanyaturu.

Pia ingekuwa ni suala la chakula pekee iongezayo IQ basi wasukuma, wahehe na watu wa morogoro wenye vyakula haswa nao wangekuwa wengi vyuoni ila sivyo ilivyo mpaka sasa.

This case is mainly based on historical matter.
Umesema kweli mkuu,
 
Kanda nzima wasomi hawazidi 5
Nawasihi wachangiaji wafanye utafiti ili kuwa na uhakika na wanachokiandika.

Aidha wengi wetu hata hiyo "concept" ya IQ inaelekea hatuijui.

Ndugu Pascal Mayalla, mwanzisha mada, naamini "next time" utayafanyia utafiti mambo unayoandika. Tusisukumwe na hisia zetu tu. Mtu mmoja hawezi kuwa mwakilishi wa jamii nzima. Aidha wingi si hoja! Mifano iko mingi tu.

Kila la heri.
 
Nimeipenda sana hii thread!.

*Tukija katika Suala la Elimu, Kigoma iliachwa nyuma makusudi ila watu wake wana IQ kubwa. Akisoma mtu mmoja utadhani wamesoma 100 (Zitto, Kafulilla, Mpango, Ndalichako nk)
*Tukija katika suala la umaskini, Kigoma kuna umaskini mkubwa ila waha ni wapambanaji kweli kweli. Hakuna mkoa utawakosa. wapo kila kona. Ni matajiri wa baadaye!
* Tukija katika suala la Ufupi, watu wa Kigoma wengi ni wafupi sana ila ni Wabishi kuonyesha kiwango chao kikubwa cha kufikiri - IQ. (Mwenye kubisha ana hoja)
* Pamoja na yote hayo ni Mkoa wa Kigoma pekee Upinzani umedumu Tangu kuingia mfumo wa vyama vingi. Hakuna uchaguzi kigoma ilikosa mpinzani. wana IQ kubwa. Watamchagua Magufuli au Kikwete Raisi lakini mbunge wanapima IQ yake! Haijalishi anatoka chama gani. Ni waumini wa uwezo wa mtu na sio chama!


NB: Hii inaonyesha watu wa Kigoma ni zaidi ya exceptional - Genius!!

Serikali: Pelekeni miundombinu ya uhakika. Huduma za afya za Uhakika. Anzisheni vyuo Kigoma vya Kutosha. Wekezeni Kigoma. Huko kuna ma-genius. Huko kuna wazalendo. Watu wa Kigoma sio wezi. Ni waaminifu. Nani asiyewajua akina Wachu??.
How abt Wakinga? We are smart in pesa programming than any kabila duniani,hard working only second to Koreans and generally we are short.
Ukichukua watu warefu kumi na wafupi kumi ukawapa pepa,Mara nyingi warefu wanakuwaga vilaza but utawasikia kila siku na wimbo wao,watu wafupi mna matatizo,mna akili fupi etc but they can't prove how,why wamezidiwa hoja wanaishia kujifariji na kipimo cha tape measures,huwa nacheeka!
 
Huwa najaribu kutazama bungeni uwezo wa mtu I'm kafurila ktk kujenga hoja bungeni mtu km Lissu cjui hao ni warefu...! Na wengine wengi tu,! Elimu yetu bwana...!
 
Back
Top Bottom