Wanabodi,
Usingizi umekata kutokana na mawazo ya huku kukaza kwa vyuma!, mtu unalala hujui kesho siku itaanza vipi, ukiwa totally empty!. Hivyo faraja yangu pekee ni JF. Nimesoma uzi fulani, nikaanza kuwaza na kujiuliza maswali huku mengine nikijijibu mwenyewe.
Huu ni uzi wa swali kuhusu I.Q za baadhi ya wanasiasa wetu wanaotuhumiwa kuwa na low I.Q, wakiwemo mawaziri, wabunge na wakuu wa mikoa, na vigogo wengine wengi, hivyo nikajiuliza kwanza jee ni kweli hawa wanaotuhumiwa kuwa na low I.Q, jee ni kweli wana low I.Q, au ni mtu tuu ametoa mawazo tofauti, wewe huyapendi, ndio unamtukana ana low I.Q?.
Ndipo nikaanza kujiuliza, jee kuna uwezekano watu wenye I.Q ndogo ni kutokana na makabila yao, kiwango chao umasikini kwenye makuzi, au pia heights zao have something to do with low I.Q, yaani mtu akiwa mfupi, anakuwa na akili fupi?.
Naomba kukiri zaidi ya kukosa usingizi, nimekuwa inspired na motivated kupandisha bandiko hili kutokana na hoja za mwana jf huyu, jidu-la-mabambasi, katika bandiko lake hili
Juma Nkamia ana tatizo la msingi!
Mkuu Jidu, kwa vile mimi nimefanya kazi na Mhe. Juma Mkamia alipojoin RTD, hivyo naomba nisicomment kuhusu I.Q yake, ila generally kuna uhusiano mkubwa kati ya kiwango cha I.Q na object poverty. Maeneo yenye umasikini uliotopea, I.Q za wengi ziko low!.
Angalia level ya umasikini ukanda wa Pwani, including Zanzibar, mikoa ya Singida, Dodoma, Lindi na Mtwara, au makabila yenye umasikini uliotopea kama Wagogo, Warangi, Wanyaturu, Wabarbaig, Wasandawe, Wataturu, Wahadzabe, Wazaramo, Wandengereko etc, linganisha na mikoa yanye neema, Kilimanjaro, Bukoba, Mbeya, Iringa, Mwanza, etc, angalia I.Q za Wachagga, Wahaya, Wanyakyusa etc, bila kusahau the royal tribe, Wasukuma, watu wanaokula vizuri, wanakuwa na I.Q kubwa. Makabila ya mlo mmoja, wanakuwa na low I.Q!.
Data zangu ni kwa mujibu wa random sampling ya matokeo ya mitihani ya kidato cha 4!. Hili hata Mwalimu Nyerere aliliona, hivyo hadi leo, japo Tanzania nzima wanafanya mtihani mmoja wa darasa la saba lakini cut off points za kufaulu ni tofauti mikoa na mikoa ili Watanzania wote wapate fursa za kuendelea kielimu. Tungetumia uniform cut off points, shule zote za sekondari zingejaa Wachagga, Wahaya na Wanyakysa na kuna makabila wasingegusa secondari!.
Mwalimu Nyerere aliwahi kuwasomesha kwa nguvu watoto 4 wa kabila la Wahadzabe, wote walifeli darasa la saba, lakini akalazimisha waende sekondari kwa lazima. Wakasomea pale Pugu, na wote wanne walipata Divisheni Zero!.
Niliwahi kuuliza swali hili, sikupata jibu
Inawezekana Vipi Zanzibar Hakuna Div I, Div II, wala Div III , Wao ni Div IV na Div Zero Tuu?!.
Ila pia kuna uhusiano kati ya heigh ya mtu na akili zake, mtu akiwa mfupi, anakuwa na akili fupi!' Anza kuwa observe heights za waropokaji bungeni, utaniambia!'
Hili la watu wafupi, nililizungumza hapa, wanafanya vitu vya ajabu kutafuta recognition ili ku compensate inferiority complex yao inayosababishwa na height!.
Je, kuna ukweli watu wafupi wana inferiority complex hivyo kukasirika sana wanapohisi kudharauliwa?
Hili la poverty level na low I.Q lina athari kubwa kisiasa, angalia levels za umasikini kwenye maeneo watu waliochagua upinzani, ulinganishe na ngome za CCM, utakuta kwenye umasikini uliotopea ndizo ngome za CCM, na kule kwenye ehueni, ndio wamewachagua wapinzani, angalia Kilimanjaro, Bukoba, Arusha, Tanga, Iringa, Mbeya etc, mkoa kama Dodoma hauwezi kuchagua upinzani, they are just too poor to understand wanachagua nini!. Hata Singida, Lissu is an exceptional case. Hivyo hii situation ya I.Q level ina effects kwenye siasa zetu, hivyo kuendelea kushinda kwa CCM, has something to do with this na nilisema hapa
Watanzania ni ignorants au tumelogwa? October 25, tutafanya informed decision au tutachagua tuu?
Mtazamo: Kanda ya Kaskazini, CCM imechokwa mpaka basi!
Ikitokea CCM ishinde, Je ushindi huo ni kutokana kuwekeza kwenye Maendeleo au kwenye Ignorance?
Kuichagua tena CCM, Je ni kielelezo cha kufanya informed decision, au ni Ignorance?
Hoja zote hizo zinauhusiano na I.Q, na kitu cha ajabu kabisa, kwa kadri vyuma vinavyobana, ndivyo CCM inavyoimarika, mtashuhudia 2020, karibu majimbo yote ya upinzani kama sio yote kabisa huku bara, yatairejesha CCM, upinzani utaanza tena 2025 baada ya rais Magufuli kuipeleka Tanzania kwenye uchumi wa kati, na kuumaliza umasikini.
NB. Kwenye every general rules, there is always exceptional to the case, hivyo hivyo kuna watu wa makabila masikini wenye high I.Q, na kuna watu wafupi wenye akili ndefu na kuna mijitu mibonge yenye akili fupi and vice versa!.
Paskali
Rejea
Kuwa Kichaa Sio Mpaka Kuokota Makopo!. Jee Tanzania Tuna Vichaa Wengi Kuliko Tunavyojidhania?!.
------------
Mdau field marshall1 amepanua wigo wa mjadala huu. Unaweza kusoma hoja zake na kushiriki mjadala >> Tatizo la ufukara kwa baadhi ya makabila ni mfumo wa maisha (Lifestyles)
Imeanza vizuri ila umemaliza vibaya..Sio kweli kuwa IQ ya mtu inakuwa influenced na Kabila.
" Kabila " has nothing to do with IQ.
Kuna wengine kujua tu lugha ndio kunamfanya awe wa kabila alilo nalo baas.
Ila nutrition au Diet inaweza kuinfluence IQ ya mtu hasa mtoto.
Kwa ulaya, karne nyingi za zamani ndizo zilizotoa geniuses wengi maarufu duniani na waliofanya gunduzi mbalimbali. Kama akina Michael Faraday, Albert Einstein, Aristotle, Alexander Bell, Isac Newton, Macnon na wanafalsafa mbalimbali wakubwa.
Miaka hii ambayo kwa ulaya na Amerika chakula kimeboreshwa sana kiubora hatuoni watu wenye IQ kubwa kama zamani.
Wajapan wana IQ kubwa mno na wanasema sababu ni kuwa wanakula sana raw marine organisms
Mtu mwenye IQ kubwa anaweza kuwepo katika kabila lolote lile kiasili ila anaweza asije kujulikana kwasababu ya mazingira yanayomzunguka na jamii anayoishi nayo.
Suala la Wachaga, Wahaya na Wanyakyusa kuwa wengi katika nyanja za elimu linatokana na suala la kihistoria ambalo ni
Uanzishwaji wa makanisa,hospitali, shule, na taasisi nyingi za kielimu katika ardhi yao, uliofanywa na wakoloni
Na ndio maana kuna idadi kubwa sana ya Wakristo walio wasomi kuliko Waislam tangu enzi hizo kwasababu taasisi hizo za elimu, dini na afya zilianzishwa katika mikoa yao, mfano Kilimanjaro, Mbeya, Kagera na hata Arusha pia kuna taasisi nyingi za elimu za wakoloni.
Mikoa yenye waislam wengi (kasoro wagogo tu) ndiyo uliyoiorodhesha katika list ya wenye IQ ndogo kama Mtwara, Lindi, Kondoa(kwa warangi), Wanyaturu.
Pia ingekuwa ni suala la chakula pekee iongezayo IQ basi wasukuma, wahehe na watu wa morogoro wenye vyakula haswa nao wangekuwa wengi vyuoni ila sivyo ilivyo mpaka sasa.
This case is mainly based on historical matter.
Mkuu, nimeandika kwasababu kwa hapa nchini mtu ukifaulu darasani tayari una IQ kubwa na una akili kuliko wengine woote. [emoji23]Imeanza vizuri ila umemaliza vibaya..
Kufika chuo sio kwamba una IQ kubwa
Sawa kijana wa mombasa bila shaka kula na kulala bure(wamekulipia)bila shaka wewe ni miongoni mwa wenye IQ ndogo kama ya kwangu. unasema haisadii wakati hii ni platform ya great thinkers. Si tunaweza kushauru namna ya kuweza kuondokana na tatizo hilo kwenye jamii husika ikiwemo kufanya crossbreeding na kuboresha lishe kwa wajawazito na watoto wadogo. ina maa wewe hujaweza kupata chochote kutokana na andiko hilo? bila shaka IQ yako ni ndogo yakhe.
Tanzania yangu, pole sana kwa kuwa na watu wachache wenye uwezo wa kufikiri kama akina Ronal Regan!Paskali, umechambua vizuri na umekuwa objective kuliko kawaida yako Mkuu, kudos!
Ni kweli uko uhusiano mkubwa, usio na mashaka, wa ukweli na wa moja kwa moja kati ya umaskini + ujinga = kuichagua CCM.
Ndio maana mimi ni mmoja wa hao wenye kuchangia kila inapopatikana fursa na kusema ujinga na uduni wa elimu ni mpango na kazi ya CCM 100%, ila kwa faida zao wanufaikaji tu. Hufanya hivyo ili tu ibaki madarakani na kutawala kwa urahisi. Ukiitazama Elimu ya Tanzania ni dhaifu mno kuliko ya Kenya na Uganda kwa ubora; ushahidi tazama uwezo wa wananchi wa kawaida tu katika kusikiliza, kuchambua au kutenda jambo utaona tofauti - hivyo binafsi sina tena shaka kuwa wanaoharibu elimu yetu wanafanya hivyo sio kwa bahati mbaya bali ni kimkakati na kwa lengo fulani.
Haiwezekani baada ya miaka takriban 60 ya kujitawala uwe na Taifa lenye watu wajinga na uwezo duni wa kufikiri, kwa idadi kubwa/wingi kama iliyo nayo Tanzania!
Kwa hiyo Paskali historia na sayansi zinakubaliana katika kujibu swali lako - ndio ni kweli umaskini na maeneo wanayoishi watu huadhiri au huakisi IQ zao. Na kisiasa ndio mbaya zaidi!
Data zangu ni kwa mujibu wa random sampling ya matokeo ya mitihani ya kidato cha 4!. Hili hata Mwalimu Nyerere aliliona, hivyo hadi leo, japo Tanzania nzima wanafanya mtihani mmoja wa darasa la saba lakini cut off points za kufaulu ni tofauti mikoa na mikoa ili Watanzania wote wapate fursa za kuendelea kielimu. Tungetumia uniform cut off points, shule zote za sekondari zingejaa Wachagga, Wahaya na Wanyakysa na kuna makabila wasingegusa secondari!.
Pascal,
Let me put it bluntly that your argument is totally fallacious - it is based on bias, false notions, misconceptions and distortons of facts.
Kwanza, you have misinterpreted Juma Nkamia's (defunct) move (your motivation for this posting) to table a private motion to extend presidential and parliamentary terms as an indicator of his low IQ! I would otherwise argue that Nkamia's move had strategic intent. Nkamia would personally benefit if his motion were honoured and passed as he would automatically stay longer in power - the dream of any politician. And, even if Nkamia's motion were ill-informed, that wouldn't still warrant branding him a "low IQ" politician as "in politics stupidity is not a handicap". (Napoleon Bonaforte's quote).
Pili, in your quest to link poverty to voting patterns in the country, you have wrongly referred to Pwani, (including Zanzibar), Singida, Dodoma, Lindi and Mtwara as being the poorest (in income terms) regions in Tanzania. This is a classic misrepresentation of facts. In fact, with the exception of Singida, these other regions do not feature in the actual "poorest regions" list. Besides Singida, the regions with the least per capita incomes in Tanzania are Kigoma, Geita, Kagera and Mwanza (Mikoa mitano yaongoza kwa umaskini nchini).
And you sweepingly attributed the ignorance of voters to opposition's poor showing in elections in some regions. Indeed, the reason CCM enjoys stronghold support in those regions is because the opposition has not come up with, and articulate, an alternative agenda to CCM's. I also doubt the quality of some opposition parliamentary candidates fielded verses CCM's in those areas. (Call this poor preparedness).
Tatu, generally, education provisioning in the country is in a shambles owing to perennially poor funding of the sector. The government spends less than 1% (it ought to spend at least 4%) of GDP on education annually, which is peanuts! Strictly speaking, therefore, there is no such thing as better off regions in education provisioning in Tanzania. But perhaps we can use Julius Nyerere's quote, "in the country of pigmies even the tallest man is a pigmy" to explain any education disparities among the regions.
Mwisho, intelligence should not be confused with formal education attainment. And fyi, the correlation between intelligence and school grades is only 40%. Also, some people make reference to IQ without actually realizing that IQ rests have long proven to be a flawed intelligence measuring tool. Following is the conclusion of a study of IQ tests by Richard Muller, Professor of Physics, UC Berkeley:
"Sometimes I have the impression that because it is highly flawed, most people in the US don’t consider the IQ test relevant any more. The only real enthusiasts are people who have done very well on these tests (often by special preparation), claim high IQs and join Mensa.
Personally, I think IQ tests have some value for testing the ability for mathematical and relational ability, something useful in specialized fields such as math and physics. But for general use, they really don’t measure much. Many other talents or skills are more important".
Kwanza na-declare intrest, mimi ni Mrangi, japo sijawahi kuishi sehemu nyingine zaidi ya Dar maisha yangu yote. Sehemu zenye ukame kama Dodoma ni lazima zitakuwa na uhaba wa lishe bora, na kama tujuavyo mtoto bila lishe bora hawezi kukua kiakili na kimwili kama sehemu zenye neema ya ndizi na mchele kama Mbeya, Bukoba na Kilimanjaro, consequently lishe hiyo hupelekea High/Low IQ kulingana na lishe, pia urefu / ufupi utatokana na ubora / uduni wa Lishe. Sasa wenye High IQ ni obvious watafaulu vizuri na watajiondoa kwenye umasikini, ila vice-versa ni kweli pia kwa wenye Low IQ. This is a vicious circle, all factors are interconnected.
Ila kuna suala la culture, kuna culture za uvivu ambazo huzaa umasikini, sehemu haina ukame ila utashangaa watu hawalimi na wanabaki na umasikini, mfano ni culture za wapenda ngoma na kucheza watoto wa kike kama watu wa Bagamoyo..
Basi kuanzia leo jua kuwa wasukuma wana IQ KUBWA sana , walechelewa kusoma kwasababu ya ufugaji ila kwasasa n moja ya kabila linalokuja juu sana kielemu nchini, we nenda vyuon ukaone idadi ya wasukuma na wako vizr kimasoma balaa , by da way nowdays kuna wasukuma wengi tu wasomi nchini ukilinganisha na makabila mengne na kufikia mwaka 2025 utaniambia idadi yao, mfano wakazi wa mkoa wa simiyu wako vzr sana kielimu hata kiuchumi , wakazi wake wana kipato cha kati:Ninapata mashaka Tena sana kuamini utafiti wako kwamba wasukuma Wana I Q kubwa cjui labda...! Na ctaki kuamini height ya mtu na IO