Je! kuna uhusiano wa akili (intelligence) ya mama na mtoto?

Genetically ni sahihi kabisa offspring kurith kwa wazazi hadi kwa babu zake.
Japokuwa uelewa kwa mtoto unachangiwa sana na UP-BRINGING Yake.
Andaa mazingira rafiki na masomo & social squables!
 
Reactions: EMT

Hata mimi niliwahi kuwa na jirani yangu pale Mtoni Kijichi kabla sijaja huku ughaibuni. Nayeye yule binti Story yake inafanana kabisa na hii. Au sijui ndiye yeye huyu Binti?? Pia nilikuwa ninamfundishaga na alikuwa anaonesha kuwa ana uwezo mkubwa sana kiakili.
 
Haya nimeisikiliza mwanzo mwisho...
Mama yake Doron alikuwa doctor (sikumbuki kama walisema ni PhD au medical) hapo utasema amerithi intelligence kwa baba?

Na walisema walikuwa wanatafuta clever and interested women? walikuwa wanamaanisha nini?

Kuna wamama wawili walikuwa waharifu, wakanyang'anywa watoto...na ikawa lesson...
Mbona hawakutuambia hao watoto kama waliishia kuwa nani? Maan hao ndio wangekuwa control group (japo mi sio natural scientist wala quantitative researcher haya hayanipigi chenga) experiment lazima iwe na control group...

Hii documentary hai make much sense to me as long as hao wanawake hawakupimwa level yao ya intelligence....

Na hao watoto wanaweza kuwa smart sababu wanajua kuwa wanategemewa kuwa hivyo...

Kama nilivyosema ukimuita mtoto mjinga...ata behave like one...

At least wangewapa hizo sperms bila kuwaambia kuhusu donor na mambo ya intelligence...lakini kuwa aware kume wa condition wazazi na watoto....

Umeshasoma vitabu vya Ben Carson? umeona jinsi maneno ya wazazi yanavyotoa motisha kwa watoto...ukiambiwa now and then that you are genius you will behave like one hata kama akili zako za manati...

Na kwa kumalizia hiyo study ni ya mwaka gani...je haijawa challenged? outdated?

Haya nimeisikiliza mwanzo mwisho...

Haya, twende kazi.

Mama yake Doron alikuwa doctor (sikumbuki kama walisema ni PhD au medical) hapo utasema amerithi intelligence kwa baba?

Kama baba alikuwa genius kuna kila uwezekano akawa amerithi kwa baba. Bado hujaonyesha ushahidi wowote ule kwamba mtoto hawezi kurithi akili kutoka kwa baba. Bado hujaonyesha.

Na walisema walikuwa wanatafuta clever and interested women?

Si unadai umesikiliza? Sasa kama umesikiliza kwa nini unaniuliza tena? Wewe ulichosikia ni nini? Halafu umesikiliza au umetazama?

walikuwa wanamaanisha nini?

Is this a rhetorical questions?

Kuna wamama wawili walikuwa waharifu, wakanyang'anywa watoto...na ikawa lesson...

What's this got to do with what we are discussing about?

Mbona hawakutuambia hao watoto kama waliishia kuwa nani? Maan hao ndio wangekuwa control group (japo mi sio natural scientist wala quantitative researcher haya hayanipigi chenga) experiment lazima iwe na control group...

Haya, soma hiki kipande kwa umakini (hususan hicho cha pili) na ikiwezekana rudia kusoma hata mara tatu na ambapo hutaelewa niulize nikueleweshe. Sawa? Haya soma sasa.

Hii documentary hai make much sense to me as long as hao wanawake hawakupimwa level yao ya intelligence....

Intelligence inapimwaje kwani?

Na kwanza wao wala hawakutakiwa wawe ma geniuses kama ilivyokuwa kwa ma sperm donors. Kwa akili ya kawaida tu naweza kusema walitakiwa wasiwe wendawazimu among other things lakini si kuwa extremely intelligent au "genius square".

Na hao watoto wanaweza kuwa smart sababu wanajua kuwa wanategemewa kuwa hivyo...

Hii kauli yako inapingana na madai yako kuwa watoto wanarithi akili za mama zao.

Kama nilivyosema ukimuita mtoto mjinga...ata behave like one...

Kama ana akili alizozirithi kutoka kwa mama yake kwa nini a-behave hivyo ilhali yeye si mjinga? Hizo akili alizorithi hazimtoshi kubaini kuwa ulivyomwita mjinga hayuko hivyo?

At least wangewapa hizo sperms bila kuwaambia kuhusu donor na mambo ya intelligence...lakini kuwa aware kume wa condition wazazi na watoto....

Kwa taarifa yako hao watoto walikuwa observed kuanzia wakiwa wachanga. Na sijui kama umewahi kupeleka wanao (nasadiki unao kadhaa, kama huna niwie radhi) kwa pediatrician? Pediatrcian hakuwa ana track development yao na kukupa percentile ranking?

Mara nyingi watoto wenye akili nyingi huwa wanaonyesha uwezo mkubwa tokea wakiwa wadogo sana. I have one so I know what I'm talking about. Mtoto wa miaka 2 akiwa na verbal skills za mtoto wa miaka 7 au 8 si sawa na mtoto wa miaka 2 aliye na verbal skills za mtoto wa miaka 3 au 4.

Umeshasoma vitabu vya Ben Carson? umeona jinsi maneno ya wazazi yanavyotoa motisha kwa watoto...ukiambiwa now and then that you are genius you will behave like one hata kama akili zako za manati...

Ku behave kama genius hakumfanyi mtu awe genius. Nakubali kwamba kutia mtu moyo huwa kunaleta matokeo chanya lakini pia ili hayo matokeo chanya yatokee ni lazima kuwepo na fundamentals. Kwa hiyo hata uambiwe una maakili kumzidi Einstein wewe kama hesabu hazipandi ni hazipandi tu.

Na kwa kumalizia hiyo study ni ya mwaka gani...je haijawa challenged? outdated?

Haikuwa study. Ilikuwa ni project. Na sidhani hata unasoma vizuri ninayoyaandika.

Kwa kifupi, watoto waliozaliwa kwenye hiyo project bado wapo hai. Na miezi kama miwili iliyopita CNN walirusha documentary kuhusu hiyo project na matokeo (watoto) yake.

Story highlights za hiyo documentary hizi hapa:

Sasa bonyeza hapa uende moja kwa moja kwenye tovuti ya CNN ilipo hiyo makala ambako pia kuna clips kadhaa za hiyo documentary.

Haya niliyaongelea jana na inavyoonekana hata hukuyasoma. Kama uliyasoma basi ni ama umeyasahau au hukuyaelewa.
 
Reactions: EMT
It's scientifically proven that a child takes about 80% intelligency from it's mother and 20% from the biological father..
 
Na kwanza wao wala hawakutakiwa wawe ma geniuses kama ilivyokuwa kwa ma sperm donors.

Nyani Ngabu hao wanawake hawakutakiwa wawe ma-geniuses lakini haina maana they weren't kwasababu hiyo haikuwa requirement kwao na wala hawakuangaliwa. Bado kuna uwezekano kwamba walikuwa na akili sana ama talents ambazo zinaonekana kwa baadhi ya watoto.

Hiyo project ingetoa majibu mazuri kama wangezingatia pia u-genius wa wamama ili mwisho iangaliwe kwamba u-genius wa baba na wa mama umechangia vipi u-genius wa mtoto. Hapo tungejua kwamba wababa TU ndo waliowapa watoto 'vichwa' kama wamama wote walikuwa 'vilaza' na watoto wote wamezaliwa 'vichwa'.
 
Last edited by a moderator:
Vi2 viwili vinadetermine akili ya mtoto,kwanza nature,hii n ya kurithi,anaweza rithi kwa baba au kwa mama au sehemu kwa baba sehemu kwa mama!kama ilivo katikq kurithi maumbile,rangi na tabiq mbalimbali.Kitu chq pili ni nurture,haya n mazingira anayokulia mtoto,yanaweza kuisharpen akili ya mtoto au kuidumaza,inqhusisha chqngqmoto mbalimbali na lishe pia!sasa msikomae tu nq kwamba mtoto amerithi akili ya baba au mama,kunq kitu unaweza kufanya ili kumsaidia mwanao
 
Reactions: EMT
Lakini kusema moja kwa moja kwamba watoto wanarithi akili (nyingi na ndogo) kutoka kwa mama pekee nakataa.
Hata mimi nakunali katika hili. Kama genotype wanarirhi toka kwa mama zao(kama wengi wanavyoainisha hapa) mbona physical appearance mtoto aweza rithi toka kwa mjomba, shangazi, baba mdogo... Binafsi naamini, kama phenotype inarithiwa toka kwa yoyote, basi hata genotype inaweza kurithiwa toka kwa yoyote kati ya wazazi au ndugu wa wazazi.
 
Reactions: EMT

Agree...ie Mimi nimerithi upande wa mama zaidi, hususani wajomba zangu(numbers ##&#128540😉
 
Ila kama hii kitu inarithishwa.......daa maskini mama na baba yake mulugo!
 
Halafu mi huwa naona kama vile wanawake ndio huonekana kupenda sana kufuata dini.....

Kwa observations zangu za kwenye makanisa (sijui kuhusu misikiti na mengineyo) wanawake huwa wana wa-outnumber wanaume.

Women are moral and men are rational
 
Bottom line ni kwamba, hiyo inheritance can come from either side kama ambavyo nimesema hapo awali. Unaweza ukaipata kwa baba au mama, babu au bibi, na kadhalika.

Vilevile, unaweza ukarithi toka kwa wote.

Habari za kusema baba hachangii nazikataa kata kata kwa sababu mpaka sasa hakuna ushahidi unaohitimisha hilo.

Zipo studies na madai kwamba watoto hurithi asilimia sijui 80, mara sijui 70, mara zingine zidai sijui ni asilimia 40....

Lakini hayo ni madai tu.

Kama una ushahidi unaohitimisha kuwa mtoto anarithi akili toka kwa mama tu, naomba niwekee hapa.

Je, wewe suala zima unalionaje? Mtoto hawezi kurithi akili toka kwa baba?
 
Agree...ie Mimi nimerithi upande wa mama zaidi, hususani wajomba zangu(numbers ##&#63004😉

Women are moral and men are rational

There you go!
 
Nakuuliza wewe sababu ndio uloweka hii clip ambayo ni meaningless...just a journalistic work...

Unajua unatakiwa kitu unachokitumia kama evidence uwe tayari kukitetea...? wewe unaniachia mimi burden of the proof?

Uminikumbusha juzi kati nilikuwa na discuss PhD thesis ya kijana mmoja...nikamuuliza maswali mengi kuhusu table aloweka kwenye one of his chapters...

Eti ananijibu siyo yangu; angalia chin nimeweka source...te te te...like serious...how do you use something you are not able to defend or criticize? Hii thesis ni ya mwenye table?

Lizzy umeongea ukweli...hii haiwezi itwa scientific experiment kuangalia effect ya baba kwa intelligence ya mtoto akati hakuna controll group na wala hao wazazi hatujui uwezo wao...ni very bias conclusion...But hey hawa si BBC? Hii ni journalistic work wala si scientific documentary...waandishi wa habari kuwa bias inaruhusiwa...

It's scientifically proven that a child takes about 80% intelligency from it's mother and 20% from the biological father..

Rahisi kusema hivyo lakini kutupa ushahidi wa hizo sayansi inakuwa shida.
 
Nakuuliza wewe sababu ndio uloweka hii clip ambayo ni meaningless...just a journalistic work...

Journalistic work that is meaningless? You can't be serious and I doubt you even understood what was being talked about and as a result you hide your lack of understanding behind dismissal.

Unajua unatakiwa kitu unachokitumia kama evidence uwe tayari kukitetea...? wewe unaniachia mimi burden of the proof?

Wapi nimekuachia burden of proof? Ndo maana toka jana nikakwambia wewe huna uwezo wa ku process nuance - hujui hata tofauti ya swali na kauli. Sasa hapa wapi nimekuachia burden of proof?

Uminikumbusha juzi kati nilikuwa na discuss PhD thesis ya kijana mmoja...nikamuuliza maswali mengi kuhusu table aloweka kwenye one of his chapters...

Really? Wewe huyu usiyeweza hata ku process simple nuance u-discuss PhD thesis ya mtu? Good grief!

Eti ananijibu siyo yangu; angalia chin nimeweka source...te te te...like serious...how do you use something you are not able to defend or criticize? Hii thesis ni ya mwenye table?

Siatashangaa kabisa kama hata ulikuwa humwelewi maana kama huwezi kutofautisha kati ya kauli na swali hayo mengine utayaweza kweli? Sidhani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…