Je, Kuna Uhusiano wa Dini, Kabila na Ukakamavu? Watu wa Dini, Kabila fulani, ni wazuri zaidi jeshini kuliko dini, kabila nyingine?

Swali la kichochezi mkuu Paskali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Musuguri na Kiaro walikuwa wa dini gani?!
 
Kwani Musuguri na Kiaro walikuwa wa dini gani?!
Kiswahili kigumu sana, mimi hapa sijazungumzia dini ya mtu yoyote, bali nimesema majina yanayoashiria dini fulani, na nikasema kabisa ni majina tuu kama Anna Abdalah, Asha Rose, au Jaji Ramadhani.
NB. Jina la mtu sio dini ya mtu!.
P.
 
Kiswahili kigumu sana, mimi hapa sijazungumzia dini ya mtu yoyote, bali nimesema majina yanayoashiria dini fulani, na nikasema kabisa ni majina tuu kama Anna Abdalah, Asha Rose, au Jaji Ramadhani.
NB. Jina la mtu sio dini ya mtu!.
P.
Wagumu ni watu kama kina Paskali.
 
Mkuu Retired, kwani ni rais wa nchi ndiye huwa anapeleka watu jeshini?.
P.
 
Samahani Pascal Mayalla kama gari basi leo ninathubutu kabisa kusema umelegeza bolt ya tairi ili usababishe ajari lakini sidhani kama utashinda! Ushauri tu ungeufuta mwenyewe uzi wako huu.
Mkuu Mpinzire, ajali gani?!, Hudhani kama nitashinda?, nitashinda kwenye nini kwani mashindano yoyote humu hadi nishinde?. Niufutie nini?, uzi huu una kosa gani?.
P.
 
Wagumu ni watu kama kina Paskali.
Kiukweli tukubali tukatae, kuna makabila wagumu na makabila walaini, kuna ule msemo "mzigo mzito mpe ...".
Nimepandisha uzi huu, baada ya jana kumsikia CinC akimsifia CDF, tangu inchi hii imezaliwa, kwa mara ya kwanza jeshi limetoa gaiwo serikali!. Kumbe kuna makabila ya wachapa kazi, ukimuweka CDF kutoka kabila la wachapa kazi, jeshi linachapa kazi kama ambavyo tunashuhudia sasa, sasa kwa vile Tanzania tunachotaka ni maendeleo, CDF chapa kazi amethibisha kuchapa kazi kuleta maendeleo, sio jeshi wakati hakuna vita, kazi yao ilikuwa kula kulala, sasa hakuna vita jeshi linachapa kazi ya kujenga nchi na kuleta maendeleo hadi kutoa gaiwo, sasa kuna ubaya kabila hilo ndio likwa kabila rasmi la kutoa ma CDF?.
P.
 
Hakuna uhusiano kati ya dini na ukakamavu bali ulichokionesha ni namna gani dini inazingatiwa katika kuchagua hao mageneral katika jeshi
Mkuu tilmikha, jee wewe umewahi kuiona kanzi data ya JWTZ kuonyesha wenye majina ya dini fulani pia wapo wengi wa kutosha ila hawachaguliwi kuwa majerarali?.
P.
 
Kama vyeo ndio vinajenga nchi na kufikisha tunakotaka basi kila jumapili mchague mtoe vyeo mpaka field Marshall kutoka kila kanisa wawe 30 i mean every Sunday halafu tuone kama mtatengeneza the best weapons
Jamani hebu tuache mambo haya ya udini na ukabila halitusaidii

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Ktk ulimwengu wa sasa kuwekeza ktk IQ ni dili zaid ya ukakamavu. Computerized weapons n ........
Ila mnaitaj Assad wangapi apa nchini?
 
Zamani hizo nikiwa mdogo kulikuwa na utani mmoja ulikuwa ukitumiwa na binamu yangu mmoja Wakati fulani kabla wilaya ya Tarime haijagawanywa na kuwa wilaya ya Tarime na Rorya eti walikuja watu wakisaka vijana wa kujiunga na jeshi sasa walikuwa wakiuliza tu jina, wakikuuliza jina ukataja Mwita,Chacha,Odhiambo,Otieno wanakwambia wewe mwanaume wa kazi safi,lakini ukitaja Abdalah,Saidi,Juma wanakwambia kwenda huko wewe mtu wa wali huwezi jeshi.
 
Kama huna cha kuandika ni afadhali usiandike kitu. Huu ni ujinga wa karne uliondika leo!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Ka-Torero, mtu kujua kusoma ni jambo moja, kusoma na kuelewa ni jambo jingine, hivyo ukisoma kitu usichoelewa, unaweza kuona ni ujinga wa karne, huo ndio ndio mwisho wa uwezo wako. Pole.
Wenye uelewa zaidi, wanasomo huku wakijuiliza the motive behind ya mleta bandiko ni nini?, ukiwa huna uwezo wa kusoma in between the lines, the motive behind, then utaona huu ni ujinga,wa karne, kumbe mjinga wa karne ni wewe!.
Pole!.
P
 
Mkuu Kipumbwi, kwanza asante, pili mimi ni ngozi ngumu, sio katope, hivyo siogopi mvua.
P.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…