Mama pretty
JF-Expert Member
- May 1, 2020
- 2,082
- 4,103
Ni kweli 99.9999%
Kuna mitaa tulikua tunaishi zamani.. unaambiwa hiyo nyumba majirani wanauliza tu, nyie kina fulani mwaka wa 6 huu bado mpo tu?! Maana watu hawakai wakamaliza mwezi wanahama.
Kilichosaidia kuishi hapo maombi lakini tuliyokua tunapitia Mungu ndie anaejua… wazee wenye miili ya kinyakyusa miezi miwili tofauti walichungulia shimo la mauti.. yani waliumwa mauti hii hapa unaiona…
Watoto hawasikii,
Hawasomi,
Kuumwa familia nzima,
Magomvi yasioisha,
Hakuna kitu unagusa kinaenda,
Biashara zilikufa..
Siku mama nuru ilipomshukia akaamka asee funga funga kila kitu tunahama.. tukaenda shamba huko.. potelea pwete.. saivi alhamdulillah Mungu ni mwema. Tunaishi vizuri baada ya kutoka pale.
Mauza uza yalikua mengi sana nisingeweza kumwaga code zote.