Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
Mkuu ungejibu kwanza then ukauliza about wanaume nasi tungekujibu.Vipi na wanaume kuweka mwanamke juu ya mwanamke.
Najaribu kuwaza kwa sauti
Sasa hapo ndipo unapofeli kunipangia cha kujibu mkuumkuu ungejibu kwanza then ukauliza about wanaume nasi tungekujibu.
Umejaribu ndiyo ila umefail [emoji38][emoji38][emoji38]Vipi na wanaume kuweka mwanamke juu ya mwanamke.
Najaribu kuwaza kwa sauti
Hivi kwanini wanawake mnapenda kuvaa vitu artificialVipi na wanaume kuweka mwanamke juu ya mwanamke.
Najaribu kuwaza kwa sauti
mkuu sijakupangia cha kujibu bt nimekuelekeza direct kwa mada ili tupate jibu.Sasa hapo ndipo unapofeli kunipangia cha kujibu mkuu
Kufail ni hatua mojawapo ya kufanikiwa😊😊Umejaribu ndiyo ila umefail [emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji38] [emoji38] [emoji38] Una mambo wewe,Kufail ni hatua mojawapo ya kufanikiwa[emoji4][emoji4]
Wewe tena😄😄😄Hivi kwanini wanawake mnapenda kuvaa vitu artificial
Nimegoma sasa kutoa majibu😊mkuu sijakupangia cha kujibu bt nimekuelekeza direct kwa mada ili tupate jibu.
🤣🤣🤣🤣🤣sanaaaaaaaaa[emoji38] [emoji38] [emoji38] Una mambo wewe,
Umejibu vizuri sanaaa sana chukua bia hapo nitalipa,Wewe tena[emoji1][emoji1][emoji1]
Mimi mwenyewe sielewi aiseh na huwa sifurahii kabisa
Nahisi ni mpango wa shetani tu..Mungu atusaidie
HahahaaVipi na wanaume kuweka mwanamke juu ya mwanamke.
Najaribu kuwaza kwa sauti
HujapangiwaSasa hapo ndipo unapofeli kunipangia cha kujibu mkuu
Mbona wanaume skuhizi mnavaaga vitu artificialHivi kwanini wanawake mnapenda kuvaa vitu artificial
Nishaanza kunywa bingwa hapa uje ulipe sasa.Umejibu vizuri sanaaa sana chukua bia hapo nitalipa,
kwa kweli huwa sipendezwi kuona mwanamke unanunua kucha unabandika, sawa ni Urembo lakini hapana si mna kucha za asili alizowapa Mungu, napenda mtu mwenye kuwa asilia 100%,
Shetani ndio kamwambia mwanamke avae artificial?! Makubwa 🚶🚶Wewe tena😄😄😄
Mimi mwenyewe sielewi aiseh na huwa sifurahii kabisa
Nahisi ni mpango wa shetani tu..Mungu atusaidie
Ivi wewe NI Me au ke?!Nishaanza kunywa bingwa hapa uje ulipe sasa.
🤣🤣🤣kunasiku nilijipeleka kujibandika hayo makucha bhana..kha!!nilikuwa natembembea vidole nimeweka kama mamba 😂😂😂nilishwandwaga kabisa.
Kubaki asilia ni nzuri zaidi😚😚
Ila na nyie wanaume hamueleweki saa ingine..akikatiza mdada katupia hayo makorokocho huwa mnavurugwa kabisaaa..
Cha muhimu ni kila mtu abaki vile anavyoona moyo wake unafurahi.🧚♀️🧚♀️