Je, kuna ukweli Juu ya maneno haya kwa wanawake au ni chuki Tu?

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
17,694
Reaction score
17,131
1594056994200.jpg
 
Vipi na wanaume kuweka mwanamke juu ya mwanamke.

Najaribu kuwaza kwa sauti
 
Wewe tena[emoji1][emoji1][emoji1]
Mimi mwenyewe sielewi aiseh na huwa sifurahii kabisa

Nahisi ni mpango wa shetani tu..Mungu atusaidie
Umejibu vizuri sanaaa sana chukua bia hapo nitalipa,

kwa kweli huwa sipendezwi kuona mwanamke unanunua kucha unabandika, sawa ni Urembo lakini hapana si mna kucha za asili alizowapa Mungu, napenda mtu mwenye kuwa asilia 100%,
 
Nishaanza kunywa bingwa hapa uje ulipe sasa.

🤣🤣🤣kunasiku nilijipeleka kujibandika hayo makucha bhana..kha!!nilikuwa natembembea vidole nimeweka kama mamba 😂😂😂nilishwandwaga kabisa.

Kubaki asilia ni nzuri zaidi😚😚

Ila na nyie wanaume hamueleweki saa ingine..akikatiza mdada katupia hayo makorokocho huwa mnavurugwa kabisaaa..

Cha muhimu ni kila mtu abaki vile anavyoona moyo wake unafurahi.🧚‍♀️🧚‍♀️
 
Wewe tena😄😄😄
Mimi mwenyewe sielewi aiseh na huwa sifurahii kabisa

Nahisi ni mpango wa shetani tu..Mungu atusaidie
Shetani ndio kamwambia mwanamke avae artificial?! Makubwa 🚶🚶
 
Nishaanza kunywa bingwa hapa uje ulipe sasa.

🤣🤣🤣kunasiku nilijipeleka kujibandika hayo makucha bhana..kha!!nilikuwa natembembea vidole nimeweka kama mamba 😂😂😂nilishwandwaga kabisa.

Kubaki asilia ni nzuri zaidi😚😚

Ila na nyie wanaume hamueleweki saa ingine..akikatiza mdada katupia hayo makorokocho huwa mnavurugwa kabisaaa..

Cha muhimu ni kila mtu abaki vile anavyoona moyo wake unafurahi.🧚‍♀️🧚‍♀️
Ivi wewe NI Me au ke?!
 
Back
Top Bottom