Je, kuna ukweli Juu ya maneno haya kwa wanawake au ni chuki Tu?

Sema huna hela ya kumpendezesha mwanamke bwana usikimbilie team natural
 
Sasa utavaa vitu vya artificial mkienda kuishi wote asubuhi mkiamka vuruguvurugu mwanaume unaanza kujiuliza hivi huyu nimempendea nini, nakupa hiyo siri ba wengine mjue hili
Mindset yako bado ya kitoto sana
Kwani we unampenda mwanamke Kwa kuvaa artificial stuffs au Kwa tabia na vitu vingine ambavyo vitakuwezesha kuishi nae??
Maana tangu kipindi cha akina Farao, Cleopatra wanawake wengi walikuwa wanavaa atificials
 
Usimbishie lete ushahidi, kama haya mambo ya artificial hayana ushetani ndani yake kucha na nywele za bandia, hivi unajua majini yanakaa sana kwenye nywele za bandia wewe unajua zimetoka wapi?
Kila kitu kikiombewa sio dhambi jamaa mbona mnakuwa wainjilisti WA dhambi au dini ya kakobe?!
Kasome Biblia kitabu cha agano jipya, Mtume Paulo alisema, hata mkila vitu vya kufisha havitawadhuru🙏
Pia mkiwekea mikono vitu vya sanamu mkaombea havitawadhuru🙏
Sasa kama hizo nywele, kucha umenunua umeviombea umefunga madhabahu ya shetani Kwa Damu ya Yesu na kuvitakasa Huyo shetani unaempigia promo atakaa wap?!🚶🚶
Acha Imani haba ndugu,🚶
 
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…