Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
-
- #61
ππππ Terminatorππππ makubwaanazipenda tu kule kwenye sita kwa sita-huwa zina_boost mambo fulan fulan.
kwani wewe hujui??
lkn kinyume na hapo huwa sizipendi,yaan mkiongozana mtaani unakuwa kama unatembea na terminator
Ikitokea hivyo bac itapita ya kwamba girls weng ni vyombo vya Starehe havwez 2mika na m2 m1
Hata wanaume piaIkitokea hivyo bac itapita ya kwamba girls weng ni vyombo vya Starehe havwez 2mika na m2 m1
Hata haistui [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chakorii Hadi uku upoo maana nilikuachaa kule kwenye siasa na vipi kuhusuu UCHEBEE DAY.Kufail ni hatua mojawapo ya kufanikiwaππ
Kila mahali nipo mkuu kama upepoπ€ͺπ€ͺChakorii Hadi uku upoo maana nilikuachaa kule kwenye siasa na vipi kuhusuu UCHEBEE DAY.
ππππππππππ
πΆπΆπΆπΆπΆKila mahali nipo mkuu kama upepoπ€ͺπ€ͺ
SauwaComments ziwe fupi na zenye kueleweka lol.
ni kama tukivaa 'mpira' tunaweka ngozi juu ya ngozi.Vipi na wanaume kuweka mwanamke juu ya mwanamke.
Najaribu kuwaza kwa sauti
Haya bhanani kama tukivaa 'mpira' tunaweka ngozi juu ya ngozi.
HahahaHaya bhana
Haswa, hakuna tofauti yaani ngoma droo,Mbona wanaume skuhizi mnavaaga vitu artificial
Ili swala ni 50/50 wapo ambao wasipo weka izo mambo wanakuwa poa kinoma, na wapo ambao bila izo mambo hapendezi kabisa na bora atumie ili apendezeUmejibu vizuri sanaaa sana chukua bia hapo nitalipa,
kwa kweli huwa sipendezwi kuona mwanamke unanunua kucha unabandika, sawa ni Urembo lakini hapana si mna kucha za asili alizowapa Mungu, napenda mtu mwenye kuwa asilia 100%,
MakubwaIli swala ni 50/50 wapo ambao wasipo weka izo mambo wanakuwa poa kinoma, na wapo ambao bila izo mambo hapendezi kabisa na bora atumie ili apendeze