Je, kuna ukweli Juu ya maneno haya kwa wanawake au ni chuki Tu?

Je, kuna ukweli Juu ya maneno haya kwa wanawake au ni chuki Tu?

nazipenda tu kule kwenye sita kwa sita-huwa zina_boost mambo fulan fulan.

kwani wewe hujui??

lkn kinyume na hapo huwa sizipendi,yaan mkiongozana mtaani unakuwa kama unatembea na terminator
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Terminator๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ makubwaa
 
Chakorii Hadi uku upoo maana nilikuachaa kule kwenye siasa na vipi kuhusuu UCHEBEE DAY.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Kila mahali nipo mkuu kama upepo๐Ÿคช๐Ÿคช
 
Umejibu vizuri sanaaa sana chukua bia hapo nitalipa,

kwa kweli huwa sipendezwi kuona mwanamke unanunua kucha unabandika, sawa ni Urembo lakini hapana si mna kucha za asili alizowapa Mungu, napenda mtu mwenye kuwa asilia 100%,
Ili swala ni 50/50 wapo ambao wasipo weka izo mambo wanakuwa poa kinoma, na wapo ambao bila izo mambo hapendezi kabisa na bora atumie ili apendeze
 
Back
Top Bottom