Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 37,333
- 50,241
Zikipunguzwa au kuondolewa, litaitwa kombe la bara la Ulaya,Asia na Marekani sio la Dunia.Matimu ya Afrika yapunguzwe maana karibu yote ni subpar.
Zikipunguzwa au kuondolewa, litaitwa kombe la bara la Ulaya,Asia na Marekani sio la Dunia.Matimu ya Afrika yapunguzwe maana karibu yote ni subpar.
Iliniuma sana japan kuondolewa tena dakika za mwishoVipi za Asia mzee....Asia Walitolewa wote makundi akabaki Japani tu, ambaye alitolewa na Brazil zikiwa zimebaki sekunde 20...na alikuwa anaongoza!
Morocco usiifananishe na team zingine, na hawa ndio tumaini letu AfricaAfrika na Asia ni tako na chupi.
Zikipunguzwa au kuondolewa, litaitwa kombe la bara la Ulaya,Asia na Marekani sio la Dunia.
Angalia, jinsi timu zinavyo hustle, zinakamia mwanzoni then baadae ni kama wanaingiwa pepo uzembe, wanaanza kuacha myanya, wanaanza kufanya makosa ya usahihi wa pasi..
Mpaka unajiuliza mbona kama ngozi nyeusi ina gundu? Au maturity ya decisions ndo chanzo..?
Hao nduguzo waarabu nao si wwametokaa😂😂 lilikua swala la muda tu...Nyie kama mmehuzunika basi mimi ndio kwanzaa nimefurahi kutolewa senegal, wabaki waarabu tupu waliokua wanaandamwa na kuombewa mabaya waondolewe kwenye mashindano. Dua la kuku halimpati mwewe, wachezaji wao wameonekana wakisoma Qur’an kabla ya mchezo, in shaa Allah watashinda mechi inayofuata n.k. nyie endeleeni na chuki na roho mbaya.
Na afcon milisemaje morocco anabebwa😄 leo morocco anawaonyesha nini maana ya mpira! Mmehamia tena ya kurogwa na mzungu.
Hata hilo kombe la afcon morocco wamestahili, wapewe kombe lao
Hao nduguzo waarabu nao si wwametokaa😂😂 lilikua swala la muda tu...
Nyani haoni kundule, tena Egypt 🇪🇬 ndo ******* kabisa wametuabisha weusi wakati wao walisha jitenga na weusi. Pumbavu zao, kipigo walicho kipata kitabaki kuwa trauma ya vizazi vijavyo😂😂
Ndo kitu kinacho tutafuna Africa mbona timu kama Ufaransa ina weusi tupu but wa napiga kazi? Ni sisi na laana zetu zisizo futikaBendera fuata upepo mko vizuri hahaaa...mwenye chuki, ubaguzi na roho mbaya ushawahi kumuona akifanikiwa???