Je, kuna ukweli kuwa waafrika weusi tumelaaniwa? (World cup rant)

Je, kuna ukweli kuwa waafrika weusi tumelaaniwa? (World cup rant)

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
16,680
Reaction score
31,804
Kwa kinacho tokea world cup kuna namna kama huo msemo una coleration flani na reality

Angalia, jinsi timu zinavyo hustle, zinakamia mwanzoni then baadae ni kama wanaingiwa pepo uzembe, wanaanza kuacha myanya, wanaanza kufanya makosa ya usahihi wa pasi..

Mpaka unajiuliza mbona kama ngozi nyeusi ina gundu? Au maturity ya decisions ndo chanzo..?

Hapana, coz hao ni high class players.. Sasa linabaki swali nini shida?

Hata tukiangalia soka la vilabu pia, wanao chukua back to back huwa ni waarabu tu, na ukiangalia vikosi vyao ndo mwafrika mweusi unakuta mmoja wawili..

Juzi tu hapa tulipongezana eti kati ya timu kumi zimeenda 9 Hatu ya 32, haya kikowapi? Shida iko wapi? Juzi kipindi Ivory Coast wanatolewa ilikua kama utani vile, haya leo hawa Senegal wenye kikosi kipana na kizuri kabisa, wanaongoza mbili mpaka dakika ya 85 imagine, wanarudishiwa na kushindwa kweli?? Just 5 min za kukaza Daah sisi lini tutakuwa smart kujua nini tunatafuta na kulinda kile kidogo tumepata..

This is enough, kumbe ni bora ile Ghana ya kina Asamouh Gyann leo mpira umebaki maonesho tu, wachezaji ubinafsi na kukosa link up nzuri kwa ajili ya ushindi wanabaki kutaka kuonesha uwezo wakati this is once in 4 years..

Sasa ndo utasikia morroco wana Sema walikua sawa kutokujumuika nasi weusi
 
Usije kurogwa kuamini timu za wamatumbi hata siku Moja. Africa timu ni moja tu- Morocco.

Wazo la gattuso kupunguza matimu ya Africa sio baya. Lifanyiwe kazi kuliko kujaza matimu yanayogawa utamu tu.
 
Kwa kinacho tokea world cup kuna namna kama huo msemo una coleration flani na reality

Angalia, jinsi timu zinavyo hustle, zinakamia mwanzoni then baadae ni kama wanainhiwa pepo uzembe, wanaanza kuacha myanya, wanaanza kufanya makosa ya usahihi wa pasi..

Mpaka unajiuliza mbona kama ngozi nyeusi ina gundu? Au maturity ya decisions ndo chanzo..?

Hapana, coz hao ni high class players.. Sasa linabaki swali nini shida?

Hata tukiangalia soka la vilabu pia, wanao chukua back to back huwa ni waarabu tu, na ukiangalia vikosi vyao ndo mwafrika mweusi unakuta mmoja wawili..

Juzi tu hapa tulipongezana eti kati ya timu kumi zimeenda 9 Hatu ya 32, haya kikowapi? Shida iko wapi? Juzi kipindi Ivory Coast wanatolewa ilikua kama utani vile, haya leo hawa Senegal wenye kikosi kipana na kizuri kabisa, wanaongoza mbili mpaka dakika ya 85 imagine, wanarudishiwa na kushindwa kweli?? Just 5 min za kukaza Daah sisi lini tutakuwa smart kujua nini tunatafuta na kulinda kile kidogo tumepata..

This is enough, kumbe ni bora ile Ghana ya kina Asamouh Gyann leo mpira umebaki maonesho tu, wachezaji ubinafsi na kukosa link up nzuri kwa ajili ya ushindi wanabaki kutaka kuonesha uwezo wakati these is once in 4 years..

Sasa ndo utasikia morroco wana Sema walikua sawa kutokujumuika nasi weusi
Sisi tunachoweza ni majungu tuu, mpira tuwaachie wazungu
 
Kuna mwandishi alisema wachezaji weusi hawawezi kukupa concentration kwa zaidi ya dakika 60. Watu wakamjia juu nadhan huko aliko anapata nguvu ya kusimamia kauli yake. South Africa, congo, ivory coast na senegal wamekufa ugonjwa mmoja.
Kuna timu za Ulaya wamejaa wachezaji weusi na wanakupa concentration ya zaidi ya DK 90. Mfano Ufaransa.
 
Kinachotuponza wa Africa weusi ni roho mbaya na ubinafsi. Wewe angalia uwanjani hakuna teamwork ni kama kila mtu anapambana kivyake na hawajui wanataka nini. Makocha nao wanachangia uwezo wao ni mdogo hasa Ivory cost na Senegal hawajui kupanga kikosi na kufanya sub. Mfano kocha wa Ivory cost anamuanzisha Amad bench leo kocha wa Senegal kafanya sub za hovyo zimeigharimu team
 
Hakuna cha laana kwani akina dembele vincius Jr ni ngozi hiyo hiyo nyeusi. Angalia timu ya Ufaransa , Brazil n.k. Huyo huyo mwafrica akichezea ulaya anakuwa hatari kwelikweli. Tunahitaji uwekezaji ili hata hawa wachezaji wanapokuwa wakichezea timu za Taifa wawe na mwamko kama wanavyochezea vilabu ulaya.

Sisi tunataka matokeo bila kuwekeza . Wachezaji wanachezea timu za Taifa kama kujitolea . Ogopa mtu anaepanda ulingoni kupambana na mabosi zake
 
Kuna timu za Ulaya wamejaa wachezaji weusi na wanakupa concentration ya zaidi ya DK 90. Mfano Ufaransa.
Umeshasema timu za Ulaya.
Wakiwa wanachezea Ulaya, wachezaji weusi wanakuwa na mentality tofauti na wakichezea timu zao za Africa.

Hata kampuni hapa Africa ikiongozwa na mzungu na wafanyakazi wote wawe Waafrica inaperform vizuri na watu wanatamani wafanye kazi hapo. Ila kampuni hiyo hiyo ukimpa mwafika aongoze inafanya vibaya au kufa kabisa.
 
Sio laana ni kutojituma. Angalia Africa Kusini , DRC na Senegal
wanajituma shida ni zile dakika 10 za mwisho. mfano senegel mane alikuwa anatembea kabisa hata hakabi mpaka lukaku anakuja kufunga kulikuwa hakuna mabeki zaidi ya wa 4 golini. Ni displini imekosekana kwa sisi waafrika na kuridhika mapema kama kawaida yeetu.
 
Umeangalia kwenye nyanja ya mpira tu. Na vipi kuhusu Bara la Asia, nao wana laana? Maana ndio wametoka mapema zaidi.
.
Afrika ndio tunazalisha talents. Zipo Brazil, France, England n.k shida ni kuridhika tu nadhani, laana wanazo wazungu walioruhusu na kufurahia ushoga.
 
Back
Top Bottom