Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,680
- 31,804
Kuna mmoja alisema huko IG na watu walimshambulia vibaya mnoo ila saiz anatrend tu. Issue ni kama dakika za mwisho wanaanza kuparalys wanakuwa mazombie mizimu inasema yakishinda haya kuna watu hawata lala😁Kuna mwandishi alisema wachezaji weusi hawawezi kukupa concentration kwa zaidi ya dakika 60. Watu wakamjia juu nadhan huko aliko anapata nguvu ya kusimamia kauli yake. South Africa, congo, ivory coast na senegal wamekufa ugonjwa mmoja.
Uko sahihi kabisa mkuu,Kinachotuponza wa Africa weusi ni roho mbaya na ubinafsi. Wewe angalia uwanjani hakuna teamwork ni kama kila mtu anaoambane kivyake na hawajui wanataka nini. Makocha nao wanachangia uwezo wao ni mdogo hasa Ivory cost na Senegal hawajui kupanga kikosi na kufanya sub. Mfano kocha wa Ivory cost anamuanzisha Amad bench leo kocha wa Senegal kafanya sub za hovyo zimeigharimu team
Kocha kapata vigoli vyake viwili anamtoa Pape Gueye ambaye alikuwa amesettle vizuri Katikati tena mapema Tu anaingiza Lamine Camara ambaye mechi zile za mwisho alizoanza alikuwa Yuko vibaya kwenye composure, dogo hata dakika moja haijapita kala njano haha...Kinachotuponza wa Africa weusi ni roho mbaya na ubinafsi. Wewe angalia uwanjani hakuna teamwork ni kama kila mtu anaoambane kivyake na hawajui wanataka nini. Makocha nao wanachangia uwezo wao ni mdogo hasa Ivory cost na Senegal hawajui kupanga kikosi na kufanya sub. Mfano kocha wa Ivory cost anamuanzisha Amad bench leo kocha wa Senegal kafanya sub za hovyo zimeigharimu team
Kwani hao wakina dembele ni waafrica?Hakuna cha laana kwani akina dembele vincius Jr ni ngozi hiyo hiyo nyeusi. Angalia timu ya Ufaransa , Brazil n.k. Huyo huyo mwafrica akichezea ulaya anakuwa hatari kwelikweli. Tunahitaji uwekezaji ili hata hawa wachezaji wanapokuwa wakichezea timu za Taifa wawe na mwamko kama wanavyochezea vilabu ulaya.
Sisi tunataka matokeo bila kuwekeza . Wachezaji wanachezea timu za Taifa kama kujitolea . Ogopa mtu anaepanda ulingoni kupambana na mabosi zake
Wewe hauko sawa kabisaHakuna cha laana kwani akina dembele vincius Jr ni ngozi hiyo hiyo nyeusi. Angalia timu ya Ufaransa , Brazil n.k. Huyo huyo mwafrica akichezea ulaya anakuwa hatari kwelikweli. Tunahitaji uwekezaji ili hata hawa wachezaji wanapokuwa wakichezea timu za Taifa wawe na mwamko kama wanavyochezea vilabu ulaya.
Sisi tunataka matokeo bila kuwekeza . Wachezaji wanachezea timu za Taifa kama kujitolea . Ogopa mtu anaepanda ulingoni kupambana na mabosi zake
Jana Senegal kafanya mambo ya kichoko sana.. 2 goals ahead, unakuja kusawazishiwa ndani ya dakika 10 za mwisho haraka haraka.Kwa kinacho tokea world cup kuna namna kama huo msemo una coleration flani na reality
Angalia, jinsi timu zinavyo hustle, zinakamia mwanzoni then baadae ni kama wanaingiwa pepo uzembe, wanaanza kuacha myanya, wanaanza kufanya makosa ya usahihi wa pasi..
Mpaka unajiuliza mbona kama ngozi nyeusi ina gundu? Au maturity ya decisions ndo chanzo..?
Hapana, coz hao ni high class players.. Sasa linabaki swali nini shida?
Hata tukiangalia soka la vilabu pia, wanao chukua back to back huwa ni waarabu tu, na ukiangalia vikosi vyao ndo mwafrika mweusi unakuta mmoja wawili..
Juzi tu hapa tulipongezana eti kati ya timu kumi zimeenda 9 Hatu ya 32, haya kikowapi? Shida iko wapi? Juzi kipindi Ivory Coast wanatolewa ilikua kama utani vile, haya leo hawa Senegal wenye kikosi kipana na kizuri kabisa, wanaongoza mbili mpaka dakika ya 85 imagine, wanarudishiwa na kushindwa kweli?? Just 5 min za kukaza Daah sisi lini tutakuwa smart kujua nini tunatafuta na kulinda kile kidogo tumepata..
This is enough, kumbe ni bora ile Ghana ya kina Asamouh Gyann leo mpira umebaki maonesho tu, wachezaji ubinafsi na kukosa link up nzuri kwa ajili ya ushindi wanabaki kutaka kuonesha uwezo wakati this is once in 4 years..
Sasa ndo utasikia morroco wana Sema walikua sawa kutokujumuika nasi weusi
Hata Mm najiuliza team iliyo chukua afcon yenye wachezaji classic kabisa? So insane!Jana Senegal kafanya mambo ya kichoko sana.. 2 goals ahead, unakuja kusawazishiwa ndani ya dakika 10 za mwisho haraka haraka.
Kuwa muafrika ni laana
Sio kimpira tu hadi maisha halisi, we are doomed to be loosers.. Angalia maendeleo yalivyo stagnant, angalia jinsi tunavyo kuwa exploited, angalia uongozi...Yaani mpira tu mchezo wa fun ndo urelate na laana kweli....labda usemee siasa mpira usche ni sport ile acha uwanja uamue ...mbona china hawajacheza
Sahihi, ni mentalityUmeshasema timu za Ulaya.
Wakiwa wanachezea Ulaya, wachezaji weusi wanakuwa na mentality tofauti na wakichezea timu zao za Africa.
Hata kampuni hapa Africa ikiongozwa na mzungu na wafanyakazi wote wawe Waafrica inaperform vizuri na watu wanatamani wafanye kazi hapo. Ila kampuni hiyo hiyo ukimpa mwafika aongoze inafanya vibaya au kufa kabisa.
Team ni Morocco tu, haya mengine yanaendeshwa na mihemko. Huwezi kushindwa kuzuia dakika 10 za mwisho na unaongoza mbili.Hata Mm najiuliza team iliyo chukua afcon yenye wachezaji classic kabisa? So insane!
Uwe unasoma na kuelewa acha paparaKwani hao wakina dembele ni waafrica?
Mtu kazaliwa Brazil na Paris unawaitaje ni waafrica. Au kwako wewe mtu kuwa mweusi ndio muafrica
Nchi zenyewe hazina uzalendo na wachezaji (wananchi wao). Zinataka kuvuna pale ambapo hazijapandaTatizo hawana uzalendo na nchi zao ....
Kwamba Dembele ni mzungu? Ng'olo Kante ni Mzungu? Au wana uraia wa huko walipo?Kwani hao wakina dembele ni waafrica?
Mtu kazaliwa Brazil na Paris unawaitaje ni waafrica. Au kwako wewe mtu kuwa mweusi ndio muafrica