Je, kuna ukweli kuwa waafrika weusi tumelaaniwa? (World cup rant)

Je, kuna ukweli kuwa waafrika weusi tumelaaniwa? (World cup rant)

Umeshasema timu za Ulaya.
Wakiwa wanachezea Ulaya, wachezaji weusi wanakuwa na mentality tofauti na wakichezea timu zao za Africa.

Hata kampuni hapa Africa ikiongozwa na mzungu na wafanyakazi wote wawe Waafrica inaperform vizuri na watu wanatamani wafanye kazi hapo. Ila kampuni hiyo hiyo ukimpa mwafika aongoze inafanya vibaya au kufa kabisa.

Muafrika anaweza kufanya kazi yoyote ile vizuri sana kama akiwa anaongozwa na watu wengine, kama vile wazungu. Lakini wakijiongoza wenyewe, hawafiki popote.

Angalia siku za nyuma, makampuni ya Japan yalipokuwa yanatengeneza barabara Tanzania, wafanyakazi zaidi ya 90% ni watanzania, viongozi Wajapan, barabara safi kabisa. Serikali ikaanzisha kampuni ya ujenzi wa barabaraya, kilometa 1 ilikuwa inajengwa hata kwa miaka 2, ikianza kutumika, mwaka wa kwanza tu, mashimo kila sehemu.
Hata leo hii, wafanyakazi wakabakia hawa hawa huko ATCL, TANESCO, wakapewa wazungu kusimamia, utashangaa ufanisi utakavyobadilika.

Hii ndiyo ile maana ya Trump kusema:
"Africa needs to be recolonized"
 
Sio laana ni kutojituma. Angalia Africa Kusini , DRC na Senegal
Kwa nini kila mwaka yajirudie kama sio gundu na mikosi? Unafikiri wazungu kutuita sisi masokwe walikosea?
 
Sio mbaya senegal wamepita na 50k yangu kwa odd 3.9,,, sijui niache kubet maana sikutegemea kama wangerudishiwa zote na kuwekwa jingne.
Uliwafata baada ya magoli mawili au before?
 
Kuna yale mahindi ya njano tulipewa na wazungu kama msaada walikula Mababu zetu, ndo mpaka leo kizazi cha 7 wanaendeleza uzezeta
Kizazi cha 7 uzezeta! 😂😂😂😂😂 Hiii uzezeta sana neno la kuuma hili 😂😂😏
 
Kuna mwandishi alisema wachezaji weusi hawawezi kukupa concentration kwa zaidi ya dakika 60. Watu wakamjia juu nadhan huko aliko anapata nguvu ya kusimamia kauli yake. South Africa, congo, ivory coast na senegal wamekufa ugonjwa mmoja.
Halafu utaona wanaofuata wanakufa kifo hiko hiko....awali nilidhani Senegal na Congo watajifunza kupitia South Africa na Ivory Coast
 
Muafrika anaweza kufanya kazi yoyote ile vizuri sana kama akiwa anaongozwa na watu wengine, kama vile wazungu. Lakini wakijiongoza wenyewe, hawafiki popote.

Angalia siku za nyuma, makampuni ya Japan yalipokuwa yanatengeneza barabara Tanzania, wafanyakazi zaidi ya 90% ni watanzania, viongozi Wajapan, barabara safi kabisa. Serikali ikaanzisha kampuni ya ujenzi wa barabaraya, kilometa 1 ilikuwa inajengwa hata kwa miaka 2, ikianza kutumika, mwaka wa kwanza tu, mashimo kila sehemu.
Hata leo hii, wafanyakazi wakabakia hawa hawa huko ATCL, TANESCO, wakapewa wazungu kusimamia, utashangaa ufanisi utakavyobadilika.

Hii ndiyo ile maana ya Trump kusema:
"Africa needs to be recolonized"
Hili la kuongozwa kma linaukweli fulani hv🤔
 
Concept nzima ya laana ni fiction tu ya Imani/dini. Binadamu wanavyotenda ni matokeo ya genes, mazingira, makuzi, interactions, nyakati na bahati.
Sure na curse ndo unaingia humo humo, sio superficial hata kidogo...
Kwamba mtu anakuwa tinkered kuanzia kizazi cha nyuma, ni sawa na generational trauma
 
Hakuna cha laana hivi aliofanya Senegal jana nadhani hata Tanzania asingeweza kufanya.Unaongoza goli mbili mpaka dakika ya 84 bado zinarudi zote tena hatua ya mtoano. Kwanini hiyo laana haikuonekana dakika ya 1-85.

Case ya DRC na Ivory coast zinaweza kuwa tofauti lakini kwa Senegal ni upumbavu hata sio laana
 
Back
Top Bottom