Je, kuna ukweli kuwa waafrika weusi tumelaaniwa? (World cup rant)

Je, kuna ukweli kuwa waafrika weusi tumelaaniwa? (World cup rant)

Usije kurogwa kuamini timu za wamatumbi hata siku Moja. Africa timu ni moja tu- Morocco.

Wazo la gattuso kupunguza matimu ya Africa sio baya. Lifanyiwe kazi kuliko kujaza matimu yanayogawa utamu tu.
Italy wamefika wapi bwashee..?
 
Kuna mwandishi alisema wachezaji weusi hawawezi kukupa concentration kwa zaidi ya dakika 60. Watu wakamjia juu nadhan huko aliko anapata nguvu ya kusimamia kauli yake. South Africa, congo, ivory coast na senegal wamekufa ugonjwa mmoja.
Ugonjwa wa kideri
 
Ni rahisi kuona wenzako wanakosea ila ukipewa Jezi uingie uwanjani sifikirii , utaweza kufunga .

Hamna cha laana Mpira sio kazi nyepesi
 
Kuna mwandishi alisema wachezaji weusi hawawezi kukupa concentration kwa zaidi ya dakika 60. Watu wakamjia juu nadhan huko aliko anapata nguvu ya kusimamia kauli yake. South Africa, congo, ivory coast na senegal wamekufa ugonjwa mmoja.
Anasema wakati wanacheza walikua wanawalinda ili wasifanye makosa yatakayowapa yellow au red au kuigharimu timu!
 
Hakuna cha laana ni ujinga tu.Hivi usenge aliofanya Senegal jana nadhani hata Tanzania asingeweza kufanya.Unaongoza goli mbili mpaka dakika ya 84 bado zinarudi zote tena hatua ya mtoano.Kwanini hiyo laana haikuonekana dakika ya 1-85.Ni usenge wao

Case ya DRC na Ivory coast zinaweza kuwa tofauti lakini kwa Senegal ni upumbavu hata sio laana
Ndo maana mimi naona kuna tatizo kubwa sana... Iweje tunakila kitu wachezaji classic lakin tunaishia initial stages tuu
 
Back
Top Bottom