Brelim Skoro_
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 15,188
- 37,742
Hata walioko ndani na wasiokuwa na mipaka katika maamuzi ya industry hizo waaanike yale wanayoyaishi bado wajuaji tutabisha.
#Symbolism + Iconography
#Symbolism + Iconography
Kinyume cha bahati ni nini kama sio laanaBahati sio kinyume cha laana
Na
Laana sio kinyume cha bahati
Tafiti na Experience ni ardhi na mbingu.Kwamba wabongo hawaamini mpaka kiwakute?
Master bahati inweza kukaa meza moja na Baraka ?Kinyume cha bahati ni nini kama sio laana
Laana ni kuokufanikiwa
Mambo ya laana umeyaleta weweKama ni laana hata hao walioko ulaya ingewakuta.
Uzembe tu,ubinafsi,kuna wakati kocha anafanya sub za ajabu(technical bench)Ila kwenye world cup hamna kama li kule kama huna timu kweli unafungwa
What's the coleration to football, tukubali we African lack some mineralsTafiti na Experience ni ardhi na mbingu.
Chimba mzee historia za Mataifa, Majina yao yalipatikanaje , Bendera zao zilipatikanaje sijui majina ya utani chimba angle zote.
Mwisho mpira kazi nyeusi.
China hawajacheza inajulikana wazi wako viwandani wanazalisha simu, magari, bunduki, madawa n.k. sasa sisi tunafanya nini?Yaani mpira tu mchezo wa fun ndo urelate na laana kweli....labda usemee siasa mpira usche ni sport ile acha uwanja uamue ...mbona china hawajacheza
Huwezi kunishawushi kwa hali yoyote eti nikubali ni uzembe ndio uliowatoa Senegal jana.
Ni uchwawi wa mzungu ulitumika
Uliona uswizz walivyokuwa na concentration ya kutoshaWhat's the coleration to football, tukubali we African lack some minerals
😄Sasa waafrika ndo tunakuwa kama tume paralyze zikifika dakika za majeruhii
Kila bara limepangiwa idadi ya timu za kushiriki kombe la Dunia.
Kama hilo linawakera poleni.
Vipi za Asia mzee....Asia Walitolewa wote makundi akabaki Japani tu, ambaye alitolewa na Brazil zikiwa zimebaki sekunde 20...na alikuwa anaongoza!