Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
Ni kweli waafrika tumerogwa inakuwaje uongoze mechi 2-0 halafu dakika za jioni mzungu anacomeback kuwin juu
Hakuna la ajabu hapo, mpira una matokeo katili 😀Yaani dakika ya 85 unaongoza mbili na unarudishwa na kupoteza kweli, tena world cup
We ndio unaona tuna kila kituThibitisha sio, tuna kila kitu
Sawa Mkushi mwenzanguMda ukifika kombe litabebwa na afrIcan
Hii ya Senegal haina maelezo mengi.Ni upumbavu wao.Hakuna cha bahati au laana.Dakika ya 85 huko 2UP bado unarudishiwa ndani ya dakika 3 sio kweli.Taifa stars tuna timu mbovu lakini hili lisingetokeaNdo maana mimi naona kuna tatizo kubwa sana... Iweje tunakila kitu wachezaji classic lakin tunaishia initial stages tuu
Naam mda ukifika hili kombe litakuja africa, hata kama sio leo au miaka ya hivi karibuni, labda dunia isimame leo, lakin dunia bado inazunguka hilo kombe litakuja tuSawa Mkushi mwenzangu
Amini nakwambia,Sahau
Kabisa mkuu, west africa wanakiwasha sanaTimu za afrika ni nzuri kwa namna yake zimeleta sana competition katika msimu ingawa focus ya timu zetu haiko kwenye kuchukua kombe ila kwa hatua izi kiukweli ni hatua kubwa sana kwetu naimani tuna uelekeo mzuri ata kwa michuano ijayo
Nikuondoe hofu, hatuna laana yoyoteKuongea bila facts ni sawa na mtu asiye jua anaongea nn
Ukikaa karibu na uwaridi utanukia tu..Wakija huku wanakua mbali na uwaridi wanajikuta wananukia shombo ya samaki.Kuna timu za Ulaya wamejaa wachezaji weusi na wanakupa concentration ya zaidi ya DK 90. Mfano Ufaransa.
Mbona morroco kawezaTimu za afrika ni nzuri kwa namna yake zimeleta sana competition katika msimu ingawa focus ya timu zetu haiko kwenye kuchukua kombe ila kwa hatua izi kiukweli ni hatua kubwa sana kwetu naimani tuna uelekeo mzuri ata kwa michuano ijayo