Je, kuna ukweli kuwa waafrika weusi tumelaaniwa? (World cup rant)

Matimu ya Afrika yapunguzwe maana karibu yote ni subpar.
Zikipunguzwa au kuondolewa, litaitwa kombe la bara la Ulaya,Asia na Marekani sio la Dunia.
 
Ghana 🇬🇭 leo wako na wabishi Colombia 🇨🇴

Ova
 
Makocha WA timu za Africa wazingua sana kufanya substitution.
Mfano mechi ya RD Congo Noah sadiki na masuaku walikata pumzi dakiki za 70+ lkn kocha akafanya sub za kijinga kutoa mawinga sijui aliuza mechi!

Mechi ya Senegal hakukuwa na ulazima wa kufanya Sub. Kikosi kilibalance
Mechi ya ivory coast hakukuwa na ulazima wa kufanya sub.kikosi kilibalance
 
Zikipunguzwa au kuondolewa, litaitwa kombe la bara la Ulaya,Asia na Marekani sio la Dunia.

Hata sasa kimsingi ni hivyo hawa wengine wapo kushanga shangaa tu. Mwisho wa siku kombe linarudi zake Ulaya au South America once every blue moon.
 

Mbona ndio miaka yote Waafrika wanatolewa kwa sababu ya kutokuwa na determination muda wote wa mchezo...
 
Mbona ndio miaka yote Waafrika wanatolewa kwa sababu ya kutokuwa na determination muda wote wa mchezo...
Mkuu hakuna kingine sisi ni mazezeta tuu
Mahindi ya njano walo kula babu zetu mpaka leo yanailewesha generation
 
Jana waafrika tuliokuwa tunawategemea nao wameaga... What a pitty bora hata yeye katolewa na bingwa wa mashindano haya
 
Hao nduguzo waarabu nao si wwametokaa😂😂 lilikua swala la muda tu...
Nyani haoni kundule, tena Egypt 🇪🇬 ndo ******* kabisa wametuabisha weusi wakati wao walisha jitenga na weusi. Pumbavu zao, kipigo walicho kipata kitabaki kuwa trauma ya vizazi vijavyo😂😂
 

Bendera fuata upepo mko vizuri hahaaa...mwenye chuki, ubaguzi na roho mbaya ushawahi kumuona akifanikiwa???
 
Bendera fuata upepo mko vizuri hahaaa...mwenye chuki, ubaguzi na roho mbaya ushawahi kumuona akifanikiwa???
Ndo kitu kinacho tutafuna Africa mbona timu kama Ufaransa ina weusi tupu but wa napiga kazi? Ni sisi na laana zetu zisizo futika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…