Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heshima haiji kwa kusex.Hakikisha ukipata time una mtoumber vzr ht km nyapu ataitoa kwa manyatu ila ck ambayo anaitoa ichape vibaya mnooo atatia heshima tu
Mara nyingi mwanamke akiwa na kipato kikubwa huwa na dharau sana. Ndoa nyingi huanza kuwa na migogoro kipato cha mwanamke kikiwa kikubwa kuliko mwanaume.JE KUNA UKWELI WOWOTE KWAMBA KIPATO CHA MWANAMKE KIKIONGEZEKA HUWA CHANZO CHA KUONYESHA DHARAU NA KIBURI?
Swali hilo linaweza kuwa na majibu aina mbili ndiyo na hapana kwa wakati mmoja.
kwa uzoefu wangu nimewahi kukutana na wanawake wengi sana ambao wanakipato kikubwa sana, elimu,vyeo, umaarufu na nguvu ya ushawishi kwenye jamii lakini bado huonekana wenye heshima, upendo,moyo wa kujali, huonyesha unyenyekevu bila kujali hali, wadhifa na uchumi wao.
Vilevile nimewahi kukutana na wanawake ambao hawana kazi,hawajasoma ,hawana muonekano mzuri,hawana umaarufu wowote wala nguvu ya ushawishi kwenye jamii lakini bado walionekana kuwa na tabia ya ubabe, kiburi, dharau, majivuno, jeuri, ujuaji,hawashauriki,hawaambiliki,wanakuwa wakosoaji kupitiliza lakini hawana uwezo wa kustahimili kukosolewa,hata akifanya makosa makubwa huwa wanaona kuomba msamaha ni kujidhalilisha hivyo mtu anakuwa tayari kuachana na mwenza wake kuliko kuomba msamaha.
Hivyo tunaweza kuhitimisha kwamba kiburi, majivuno, jeuri na dharau kwa mwanamke yeyote huwa na tabia ya Mwanamke husika wala haina uhusiano wowote na muonekano,cheo, umaarufu,kazi,nguvu ya ushawishi,kipato kikubwa n.k
SIFA ZA MWANAMKE AMBAYE HAWEZI KUDUMU NA MWANAUME NDANI YA FAMILIA
Kwa mujibu wa vitabu vya dini ni kwamba mwanaume ni kichwa cha familia kisha Mwanamke anatakiwa kutii na kuheshimu mamlaka ya mwanaume ndani ya familia.
Lakini kwa mujibu wa itikadi za kifeminist za watu wa magharibi ni kwamba mwanaume na Mwanamke ni sawa kwa maana hakuna jinsia ndani ya familia bali kuna wenza yaani hakuna mwanaume au mwanamke bali kuna partner tu na wote wawili wanakuwa na mamlaka sawa ya maamuzi.
Hakuna mgawanyiko wa majukumu kwa maana Mwanamke anatoa 50 ya kipato cha familia na mwanaume anatoa 50% ya kipato cha familia.
Utaratibu huo unaungwa mkono sana na wanawake wa kisasa ambao hupenda kuitwa strong independent woman, super woman, wakanda forever.
vilevile utaratibu huo unaungwa mkono sana na wanaume ambao hupenda kulelewa.
Tuangalie sifa za mwanamke ambaye ni strong independent woman ambaye huwa chanzo cha migogoro ya kimapenzi/kifamilia kwa sababu ya kutaka kuwa kichwa cha familia.
1.ANAKUWA NGANGARI NA ANATAKA UHURU KUPITILIZA
Anakuwa anataka mashindano na mwanaume ndani ya nyumba,huwa hataki kuwa chini ya mamlaka ya mwanaume kwa sababu anatafsiri unyenyekevu,na utii ni utumwa na kushusha brand yake, anaamini chochote ambacho mwanaume anaweza kufanya na yeye anaweza kufanya kwa ubora huohuo.
Akiona anakosa uhuru anaweza kumlazimisha mwanaume ampe talaka,kisha maisha yakiwa magumu sana huwa anataka kurudiana na mwanaume .
Anatoka nyumbani muda wowote na kurudi nyumbani muda wowote hata ikiwa saa 8 usiku lakini hataki kuulizwa alikuwa wapi,akiulizwa tu anaporomosha matusi ya nguoni, atamdhalilisha mwanaume,atasema mwanaume yupo na wivu sana na anamfuatilia sana,akiona kelele zimezidi anabamiza mlango na kuondoka zake,au anaweza kurudi nyumbani kwao kukwepa kelele za mwanaume.
2.ANAKUWA NA MISIMAMO MIKALI SANA
Kwa sababu ya misimamo mikali sana ( rigid) anakuwa haambiliki, hashauriki, anakuwa mkali kupitiliza, anakuwa mbabe sana, anakuwa mjuaji sana hivyo akipanga jambo lolote lazima liwe vile ambavyo amepanga na kinyume chake bora mahusiano yavunjike.
atampa amri mwanaume toa fedha kiasi XYZ kama hauwezi tuachane inakuwa kauli zake.
Akipanga kwenda kuzurura na mashoga zake anatoka nyumbani hata kama amekataliwa bora waachane kuliko kufanya kitu tofauti na misimamo yake.
kutokana na misimamo mikali sana mara nyingi mwanaume huanza kuonyesha wivu wa mapenzi uliopindukia,kuanza kulia, kuomba msamaha, kupiga magoti, kutishia kujiua kumbembeleza sana.
3.HATAKI KUKOSOLEWA WALA KUAMBIWA CHA KUFANYA
Mwanamke ambaye ni strong independent woman huwa hawezi kuomba msamaha hata kama amefanya makosa,kwake kuomba msamaha ni kujidhalilisha hivyo bora mahusiano yavunjike lakini sio kuomba msamaha. Akifanya makosa akikosolewa anakuja kwa jazba anaanza kumkosoa vikali sana mwanaume kwa kumshambulia kwa maneno makali sana badala ya kukiri makosa.
Akifanya makosa makubwa sana anageuza kibao kwa mwanaume,anaweza kuanza kulia kwa kutaka kuonekana anapitia manyanyaso lakini yeye mwenyewe ndiyo anakuwa mnyanyasaji.
4.HAWEZI KUONYESHA HISIA ZA MAPENZI
Kwa sababu ya kiburi, majivuno, jeuri, ujuaji, misimamo mikali sana,hasira kupitiliza, ubabe,utemi na udikteta mara kwa mara anakuwa hana hisia zozote za mapenzi na vilevile kwake anaona ni UDHAIFU hivyo mara kwa mara anagoma kutoa unyumba kwa makusudi mpaka ugomvi unaibuka mara kwa mara.
Wanaume wengi huamua kutafuta mchepuko kama njia mbadala lakini wao mara nyingi hupata wanaume wenye tabia ya kunyenyekea sana, kusamehe makosa haraka, uvumilivu sana,kujali sana ,kuomba msamaha mara kwa mara,kulia,kupiga magoti, kutishia kujiua, kumbembeleza sana,.
5.ANAKUWA BUSY SANA
Kwa Mwanamke ambaye ni strong independent woman mara nyingi anakuwa busy kupitiliza.Simu hapokei, sms hajibu.Anaondoka nyumbani alfajiri na kurudi nyumbani usiku sana kila siku.
Mara nyingi anakuwa busy kutafuta fedha nyingi sana ili katika maisha yake asije kumtegemea mwanaume kwa kitu chochote.
lakini baada ya kusimama vizuri kiuchumi huanza kuonyesha dharau waziwazi, ataonyesha kiburi, majivuno, jeuri,ubabe.kauli za mkato.
kama akijua tu anamzidi mwanaume uchumi huanza kumpelelekesha, kumgombeza, kumtangaza vibaya, kumlaumu, kumkosoa vikali sana, kumshambulia kwa maneno makali sana kwa sababu anajua mwanaume hana fedha .
6.ANATAKA KILA KITU KIWE CHINI YAKE
Mwanamke ambaye husababisha ugomvi na migogoro ndani ya familia huwa anataka kila kitu na kila mtu awe chini yake.
Anaweza kumpa amri mwanaume wake chagua mimi au mama yako mzazi.
Au anamlazimisha mwanaume atoe password za simu kwa lazima,au atampa amri mwanaume akabidhi mshahara wake wote kisha yeye Mwanamke apange matumizi na ikiwa mwanaume atakataa basi bora waachane.
7.ANAJALI SANA MAENDELEO YA KIUCHUMI KULIKO FAMILIA
Mwanamke ambaye husababisha ugomvi na migogoro ya kifamilia huwa kipaumbele chake ni fedha tu.
Mara kwa mara anakuwa busy sana na kazi, biashara,safari za mara kwa mara hivyo familia kwake inakuwa sio kipaumbele.
wapo kwa sababu ya tabia hiyo hujikuta wamefika miaka 35 bila mume,wala mtoto wala mwanaume yeyote ambaye anaeleweka.
Wengi huwa hivyo kwa sababu anakuwa muhanga (victim) wa unyanyasaji ndani ya familia kwa sababu za kiuchumi,unakuta mama yake mzazi aliteswa sana na baba yake kwa sababu mama yake alikuwa tegemezi hivyo yeye binti anajiapiza kupambana kukabiliana na matatizo ya kiuchumi ili kuepuka kunyanyaswa na mwanaume kwa kuwa tegemezi.
8.HATAKI KUONEKANA DHAIFU
Hapa mwanamke ambaye husababisha ugomvi na migogoro ya kimapenzi huwa anaonyesha tabia ya kutoa vitisho na maagizo tu badala ya kuomba .
kwa mfano akiwa na shida ya fedha haombi pesa kwa sababu anaogopa kuonekana DHAIFU badala yake anatoa maagizo na vitisho kuwa kama hauwezi kunipa kiasi XYZ cha fedha bora tuachane.
Anafanya hivyo ili kujilinda hata kama akiachwa anakuwa tayari alitoa kauli ya kuonyesha ubabe.
Hataki kuonyesha hisia za mapenzi kwa sababu anahisi ataonekana DHAIFU.
Uso wake unakuwa hauna tabasamu muda wote isipokuwa kujilazimisha kucheka.
Anakuwa na hasira kupitiliza kwa vitu vidogo vidogo sana
NINI CHANZO CHA MWANAMKE KUTAKA KUWA KICHWA NDANI YA FAMILIA?
chanzo cha tabia hiyo
Mwanamke Kutaka kuwa kichwa cha familia huwa ni kwamba Mwanamke anakuwa hawezi kumuamini mwanaume kwa sababu ya kumbukumbu mbaya zenye kuhuzunisha na kutaka kuwa kichwa cha familia huwa ni njia ya kujilinda dhidi ya kuumizwa kihisia, kunyang'anywa mali, kufukuzwa nyumbani usiku wa manane, vipigo, matusi, kugombezwa, kukaripiwa, kutolewa dosari za muonekano, kunyimwa unyumba, kuingiliwa kinguvu au kuingiliwa kinyume na maumbile.
Mwanamke hawi kichwa cha familia ghafla bali anakuwa na trauma kama
1.Kulelewa na baba mkali kupitiliza husababisha Mwanamke kuwachukia wanaume hivyo anakuwa mkali kupitiliza kama njia ya kujilinda dhidi ya wanaume wanyanyasaji matokeo yake anakuwa na hasira kupitiliza, ubabe, utemi, dharau, majivuno, kiburi, ujuaji, misimamo mikali,anakuwa hana hisia za mapenzi madhara yake wanaume wanakuwa wanamuogopa.
2.Kulelewa na baba mpole kupitiliza huku mama anakuwa mkali kupitiliza.Mama anakuwa kichwa cha familia huku baba anakuwa kama bendera hivyo binti anajifunza kusimama ngangari kama kichwa cha familia kwa sababu tangu utotoni ameona mama yake ni kichwa cha familia huku baba anakuwa anaongozwa kama mtoto mdogo.Hivyo hawezi kukubali kuongozwa na mwanaume maishani mwake kwasababu amezoea kujiongoza tangu utotoni mwake.
3.Kulelewa na mama tu bila baba (Single mother parenting) ,binti anaweza kuonekana mbabe,mkali kupitiliza, anakuwa na hasira kupitiliza, misimamo mikali,utemi, dharau, majivuno, kiburi, ujuaji, ubishi,anakuwa anajiamulia vitu yeye mwenyewe kwa sababu tangu utotoni ameishi bila baba ndani ya familia hivyo hajui namna ya kuishi kwa kuongozwa na mwanaume.Kwake ni rahisi kujiamulia mambo yeye mwenyewe kwa sababu amezoea kujiongoza tangu utotoni.
4.Kupitia manyanyaso ndani ya mahusiano ya zamani.
Hapa matukio huwa kama vile kupitia vipigo, matusi, kugombezwa, kukaripiwa, kutolewa dosari za muonekano, kunyimwa chakula, kufukuzwa nyumbani usiku wa manane, fumanizi za mara kwa mara, kutelekezwa na ujauzito au watoto,kupokonywa mali, kudhulumiwa mali, mwanaume kumuacha ghafla.
hali hiyo husababisha Mwanamke anajenga tabia ya ubabe, ukali kupitiliza, kiburi, majivuno, jeuri na dharau,utemi, kama njia ya kujilinda dhidi ya wanaume wote wenye tabia ya unyanyasaji na udikteta.
Da!! PHD,,,,mwanangu umenifundisha na kunielimisha ELIMU kubwa mno,,,kuanzia leonikijikuta nipo na mwanamke mwenye tabia hizi,,,,,,sintoumia tena moyo,,,ila nitamkimbia spidi ya KASONGO,mkia juu.JE KUNA UKWELI WOWOTE KWAMBA KIPATO CHA MWANAMKE KIKIONGEZEKA HUWA CHANZO CHA KUONYESHA DHARAU NA KIBURI?