Je, kuna ukweli wowote kwamba kipato cha Mwanamke kikiongezeka huwa chanzo cha kuonyesha dharau na kiburi?

Mwanamke kipato kikiongezeka cha kwanza anakimbilia kuibomoa familia yake ni wachache sana wenye kuweza kutofautisha kipato na mahusiano
 
Hakikisha ukipata time una mtoumber vzr ht km nyapu ataitoa kwa manyatu ila ck ambayo anaitoa ichape vibaya mnooo atatia heshima tu
 
Hakikisha ukipata time una mtoumber vzr ht km nyapu ataitoa kwa manyatu ila ck ambayo anaitoa ichape vibaya mnooo atatia heshima tu
Heshima haiji kwa kusex.
Ile ni roho inborn au ni ishu ya subconscious mind malezi aliyopitia utotoni.
Kukosa upendo utotoni ndio chanzo cha wao kuwa hivyo.
Hakuna kitu cha thamani kwa mwanadamu kama kupata upendo utotoni
 
Mara nyingi mwanamke akiwa na kipato kikubwa huwa na dharau sana. Ndoa nyingi huanza kuwa na migogoro kipato cha mwanamke kikiwa kikubwa kuliko mwanaume.
----------
Kuna mchongo huu hapa kwa watumiaji wa Mtandao wa Airtel. Unapiga *149*91# unapata bando zenye Gharama nafuu. Bando hizo unajiunga mwenyewe.
Ninafurahia sana bando hizi.
NB: EPUKA MATAPELI. BANDO HIZO UNAJIUNGA MWENYEWE KWENYE LAINI YAKO. HUPASWI KUTUMA PESA ILI UUZIWE HIZI BANDO.
 

Attachments

  • rqurah.jpg
    131.1 KB · Views: 3
Da!! PHD,,,,mwanangu umenifundisha na kunielimisha ELIMU kubwa mno,,,kuanzia leonikijikuta nipo na mwanamke mwenye tabia hizi,,,,,,sintoumia tena moyo,,,ila nitamkimbia spidi ya KASONGO,mkia juu.
 
Kwanza wanawake wengi sana wameolewa au wako kwenye mahusiano na watuwa sio wapenda ila wamefata huduma na pesa za kukamilisha malengo yao.. so siku akishakuwa na pesa hawezi kuendelea kupritend kwako lazma aondoke...
\
Pili wanawake ndani kabisa katika asili yao ni viumbe wanaohitaji kutawaliwa na mtu aliemzidi kila kitu sasa pale ambapo ataona yupo sawa na wewe au kakuzidi au anaweza kuishi bila wewe basi tambua huo ndio utakuwa mwisho wenu ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…