Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Hakika.Labda wanaogopa kugundulika kuwa hawana sifa.
Mtu uliyesomea kwa msuli wako, ukafaulu kihalali, cheti ukapata bila makando kando, na elimu bado ipo kichwani, kwanini uogope usaili?
Lengo sio usaili lengo ni kuendelea kuwaibia hela hawa wajinga wanajiita wasomi tumewapiga ada sasaiv tunataka watuhonge siku za usail na hapa tutapata mahela mengi sana,,,tutahongwa sana dogo pesa ngumu lazima tutengeneze money game plan ili tupate pesaLeta hoja yako, ijikite kwenye
1. Kwanini miaka mingi kada hizi hazikuwa na usaili isipokuwa sasa.
2. changamoto kiujumla za Mchakato wa usaili kwa kada hizi
3. Faida ya kufanya na kutofanya usaili
4. Bajeti za wizara kutekeleza usaili.
5. Hitimisho.
Soma Pia: Kada ya Ualimu na Afya wafanyiwe usaili wakati kaujiriwa kama ilivyo kada zingine
Sure lo
Sawa tukirudi kwenye mada wewe binafsi unataka usaili uwepo au usiwepo na kama uwepo lete sababu kwanini uwepo na kama usiwepo lete sababu kwanini usiwepoKama msomi wa fani fulani unasema umesahau kile ulichowahi kujifunza na kufaulu darasani, halafu hapo hapo unataka upewe ajira ya kwenda kufanya kazi ya kitu kile kile ulichokisahau, nini maana yake?
Kama muajiri anapima ufahamu wa muomba ajira kwa kuangalia ni kwa namna gani amekariri ili amuajiri huwezi kumlaumu muajiri, maana ndio kipimo chake katika usaili.
Turudi kwenye mada, suala hapa ni uwepo/kutokuwepo usaili wakati wa kuomba ajira.
umeongea ukweli unaouma sanaLengo sio usaili lengo ni kuendelea kuwaibia hela hawa wajinga wanajiita wasomi tumewapiga ada sasaiv tunataka watuhonge siku za usail na hapa tutapata mahela mengi sana,,,tutahongwa sana dogo pesa ngumu lazima tutengeneze money game plan ili tupate pesa
lete hoja sio dharau kakaKwahiyo hamtaki interview? Serikali haiwezi kuwaajiri wote, nendeni mkapigwe intavyuu watakao pita ndio wapate hiyo ni mizania moja hamna wa kulaumiwa ukikosa
Kwaiyo mkuu una maana siku ajira zikiwa nyingi na waajiriwa wakiwa wachache kutakuwa hakuna umuhimu wa interview?Kwahiyo hamtaki interview? Serikali haiwezi kuwaajiri wote, nendeni mkapigwe intavyuu watakao pita ndio wapate hiyo ni mizania moja hamna wa kulaumiwa ukikosa
Hoja gani? mjibu swali kwanini hamtaki kufanya interview wakat kada zingine wanafanya interview what is so special with you, au wengine hawajasom vyuo mlivyosoma nyie mtuambielete hoja sio dharau kaka
ndivyo ilivyokuwa kwa kada ya ualimu na afya, kwani hukumbuki walimu wa upe, walimu wa Voda Fasta? ni kwa sababu kulikuwa na upungufu mkubwa, na serikali iliweka favour ulikuwa ukienda kusoma kozi ya ualimu na kozi ya sayansi mkopo ulikuwa wa lazima na ukimaliza unaenda kazini moja kwa moja tofauti na Kozi zingine ambazo uhitaji haukuwa mkubwa sana, tofauti na sasa hivi walimu ni wengi na watu wa kada ya afya ni wengi, ndio maana serikal imerudi kwenye utaratibu ili kuweka fairness kwa kada zote, yaani haiwezekani Mhasibu afanyiwe usaili halafu mwalimu asifanyiwe usaili wakati wote wako level mojaKwaiyo mkuu una maana siku ajira zikiwa nyingi na waajiriwa wakiwa wachache kutakuwa hakuna umuhimu wa interview?
Bado hujajibu swali umeleta historiandivyo ilivyokuwa kwa kada ya ualimu na afya, kwani hukumbuki walimu wa upe, walimu wa Voda Fasta? ni kwa sababu kulikuwa na upungufu mkubwa, na serikali iliweka favour ulikuwa ukienda kusoma kozi ya ualimu na kozi ya sayansi mkopo ulikuwa wa lazima na ukimaliza unaenda kazini moja kwa moja tofauti na Kozi zingine ambazo uhitaji haukuwa mkubwa sana, tofauti na sasa hivi walimu ni wengi na watu wa kada ya afya ni wengi, ndio maana serikal imerudi kwenye utaratibu ili kuweka fairness kwa kada zote, yaani haiwezekani Mhasibu afanyiwe usaili halafu mwalimu asifanyiwe usaili wakati wote wako level moja
Hakuna haja ya usaili ""Ualimu ni content"" mfano mtu kamaliza almost 10yearsLeta hoja yako, ijikite kwenye
1. Kwanini miaka mingi kada hizi hazikuwa na usaili isipokuwa sasa.
2. changamoto kiujumla za Mchakato wa usaili kwa kada hizi
3. Faida ya kufanya na kutofanya usaili
4. Bajeti za wizara kutekeleza usaili.
5. Hitimisho.
Soma Pia: Kada ya Ualimu na Afya wafanyiwe usaili wakati kaujiriwa kama ilivyo kada zingine
kwani unazijua sababu za kwanini serikal ilitumia walimu wa UPE au haujawah wasikia?Bado hujajibu swali umeleta historia
Swali: Kwahiyo siku walimu wakiwa wachache na ajira zikawa nyingi hakutakuwa na umuhimu wa interview?
Jibu:....kwanini....
Unazunguuka sana mkuu mimi sijasoma historia ungeenda direct kwenye swalikwani unazijua sababu za kwanini serikal ilitumia walimu wa UPE au haujawah wasikia?
Nilishaandika tangu mwanzo, hakuna mwajiri anaweza kuajiri watu bila kufanya USAILI. Huwezi kutenganisha mchakato wa kupata ajira na zoezi la usaili. Kitendo tu cha muajiri kutangaza ajira na kuelekeza watu wenye sifa wapeleke vyeti na yeye kupitia vyeti vyao kabla ya kuwaajiri huo tayari ni mchakato wa Usaili.Sawa tukirudi kwenye mada wewe binafsi unataka usaili uwepo au usiwepo na kama uwepo lete sababu kwanini uwepo na kama usiwepo lete sababu kwanini usiwepo
Ukijibu hilo swali nadhani utaelewa hoja zetu
Kada za Sayansi ndio zinahitaji zaidi kufanyiwa usaili, tena usaili mzito zaidi kuliko kada zingine zozote.Kada za Sayansi hakuna hajaaa.
wasomi tumekuwa wengi, kuondoa lawamaLeta hoja yako, ijikite kwenye
1. Kwanini miaka mingi kada hizi hazikuwa na usaili isipokuwa sasa.
2. changamoto kiujumla za Mchakato wa usaili kwa kada hizi
3. Faida ya kufanya na kutofanya usaili
4. Bajeti za wizara kutekeleza usaili.
5. Hitimisho.
Soma Pia: Kada ya Ualimu na Afya wafanyiwe usaili wakati kaujiriwa kama ilivyo kada zingine
Kama umepita pita shule kidgo huwez kuuliza haya maswali, Kuna tofauti kubwa sana kati ya Yale unayosoma na unayoyafanyia kazi tunasoma mambo mengi sana it ila sio yote tunaenda kuya appy kazini na hii sio afya Wala ualimu tu Bali professional zote, kama kweli unahitaji Dr mzuri mpime akiwa na mgonjwa na sio kumuuliza tuswali viwili vitatu akishindwa kufikisha marks unazozihitaji ww unamwambia hafai hi sio sawa.Sasa mtu kama amesahau mambo ya taaluma yake kwa sababu ya kukaa muda mrefu sana tangu ahitimu, sasa serikali imuajiri ili akafanye kazi gani? Yaani mtu hana ufahamu wowote, ana vyeti tu, apewe ajira ya nini?