Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Hakika.Labda wanaogopa kugundulika kuwa hawana sifa.
Mtu uliyesomea kwa msuli wako, ukafaulu kihalali, cheti ukapata bila makando kando, na elimu bado ipo kichwani, kwanini uogope usaili?
Kama ulisoma kwa uhakika, una ufahamu mzuri wa fani yako, huwezi kuogopa usaili.